Sio lewandoski Ni Balde tuu angekuwepo Lewando Torres anakaba nafasi yake vzr sanaLewandosk angekuwepo hii mechi ingekuwa ngumu zaidi kwa Madrid
Raphinha anakosa sana magoli
Hivi Lewandosk ana pancha?Sio lewandoski Ni Balde tuu angekuwepo Lewando Torres anakaba nafasi yake vzr sana
Wik 2 hatunayeHivi Lewandosk ana pancha?
Iko vizuri sanaIpo clear kweli!?
Eeh kaumia atalud second leg zid ya milanHivi Lewandosk ana pancha?
Kwenye tukio lipi?Refa anaibeba sana Madrid
Sema Inter sio wagumu kihivyo ni basi tu walikutana na Bayern akiwa kwenye siku zake.Eeh kaumia atalud second leg zid ya milan