Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,447
- 3,300
KabsaLewandosk angekuwepo hii mechi ingekuwa ngumu zaidi kwa Madrid
Raphinha anakosa sana magoli
KabsaLewandosk angekuwepo hii mechi ingekuwa ngumu zaidi kwa Madrid
Raphinha anakosa sana magoli
Kaweka!?Mbape
Tulia,dawa iingieDan olmo hakupaswa kutoka pale kwa mtizamo wangu
Madrid ndo timu naishabikia mkuuTulia,dawa iingie
Gol 3 imetoa mkuuTulia,dawa iingie
Dah,kmamae walai,tamaa hizi!!..siku nikisema nifie dini nisikeshautu hazitoiGol 3 imetoa mkuu
Nilijua tu hii game 4+Dakika 83'
FCB 2 - 2 RMA
Ulibet mkuu!??Nilijua tu hii game 4+
Eeh, niliweka game 7 ikiwemo hii 3+, zingine zilitiki ikabaki hii barce akiongoza moja,nikaomba ushauri kukeshauti,wadau wakasema keshauti 3+ hakuna,nikatoa,haijapita hata dk 8 mbape kaweka,mara cha pili..dahUlibet mkuu!??
Huyu refa anataka Madrid apasuke 😃Tunaaza dakika za nyongeza 90'+6'
FCB 2 - 2 RMA