Kwa hizi beki 😔 Madrid msimu huu ni butu kinyamaMadrid hatuna timu
Barca: shot 6 😊 On target 3FCB wana uchu wa magoli, attempts za kutosha wanaweza kupata ushindi FCB 4-2 RMA
Sio beki tu hata forwards nazo ni kauka nikuvae.Kwa hizi beki 😔 Madrid msimu huu ni butu kinyama
Perez avunje kibubu atafute wachezaji sio huu uchafuSio beki tu hata forwards nazo ni kauka nikuvae.
Haiwezekani kuzidiwa possession kwa zaidi ya 70% tena mpinzani akiwa anacheza zaidi kwenye zone yako.
Una shuti moja nalo hilo ni off target wakati mpinzani wako kapiga 6 na nusu ya hayo yamelenga goli.
Hapo tutaendelea tu kujipa comfort ya kusema tunafunga uwanja juu kelele zisitoke halafu tunaambulia kipigo.
Hizo mjipange msimu ujao na hivi striker zenu zote ni watu wa speed hamuwezi kuzikwepaHivi ndio kusema hizi offside trick Ancelot ameshindwa kuzitegua?
Naombeni Link niangalie kwa bando langu.
Mkuu mbona najaribu inagoma.Mimi natazama kupitia 808ball
ShukranFawaNews - Your Home of Sport
Latest sports news , Eredivisie , Jupiler pro league , English Premier League , Formule 1 , Ralley , Moto GP ,Bundesliga, La Liga , NBA , NFL , NHL ... and all other european leagueswww.fawanews.com
App zipo kibao tena una stream full HDNaombeni Link niangalie kwa bando langu.
Unavyoona goli tatu zitafika,au nikeshauti hii 80k?Madrid hatuna timu
Unamaanisha kwa msimu huu au milele?Madrid wasiposhinda leo hawaji kushinda tena dhidi ya Barcelona