Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 7,376
- 16,539
Google fawanews ipo clear bila wenge,huhitaji appNaombeni Link niangalie kwa bando
Google fawanews ipo clear bila wenge,huhitaji appNaombeni Link niangalie kwa bando
CricfyGoogle fawanews ipo clear bila wenge,huhitaji app
Hii ulaji mb ukoje?Google fawanews ipo clear bila wenge,huhitaji app
Kuna Moja nimeipataApp zipo kibao tena una stream full HD
ChapUnavyoona goli tatu zitafika,au nikeshauti hii 80k?
Asante mkuuGoogle fawanews ipo clear bila wenge,huhitaji app
Ndiyo hivyo, japo hampendiWatashinda?
Dah kmaamake,zikitoka 3+ napiga 120+k ujue, nishauri vizuriChap
Ipo clear kweli!?Asante mkuu
Mbona mkono unawasha, kuna chuma cha pili nini huko!?Ndiyo hivyo, japo hampendi
BadoMbona mkono unawasha, kuna chuma cha pili nini huko!?
Nshakeshauti,sitaki usengeReal Madrid anapelekewa moto
Cash out mwananguUnavyoona goli tatu zitafika,au nikeshauti hii 80k?
Chapu!Cash out mwanangu
Lewandosk angekuwepo hii mechi ingekuwa ngumu zaidi kwa MadridPengo la lewandowski
Kama haujaridhika na hiyo 80k endelea kukaza ila tambua lolote hutokea.Dah kmaamake,zikitoka 3+ napiga 120+k ujue, nishauri vizuri
Nshatoa,nimeweka buku wafungane goli nneKama haujaridhika na hiyo 80k endelea kukaza ila tambua lolote hutokea.
Ila kama pesa uliyoitia imerud kwa faida nzuri,kidogo chetu itoe chapu ufikirie mambo mengine Sasa hivi.
Papara mno huyo dogo,hapo hakabwi na timber wala skellyLewandosk angekuwepo hii mechi ingekuwa ngumu zaidi kwa Madrid
Raphinha anakosa sana magoli