From the green world to a black world

From the green world to a black world

Mkuu lifecoded nilimsikia DAVID ICKE akisema "The greatest hypnotist in the planet earth is an oblong box in the corner of the room. It is constantly telling us what to believe is really". Namfatilia sana huyu bwana na kuna huwa unavisema nikifatilia nayagundua mengi sana kimsingi dunia haipo kama wengi wanavyoitazama. Japo wengi wetu tunatawaliwa na ubishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
yaap mkuu ni kweli...jamaaa anajitahidi sana kuwa open mind watu juu ya mambo yanavyofanyika huku jamii ikiwepewa mambo tofauti nà uhalisia wenyewe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,
Dunia ilipofika sasa ni kwenye stage ya "high manipulation zone" ni hatua ambayo wanadamu asilimia kubwa wako easily controlled na so called "hidden system" ambayo huona output zake na sio input zake.

Dunia ya sasa ni dunia ambayo walimwengu wako dependent kwa technology ilhali hawajui mwisho na hatima ya technology ni IPI,hawajui nini maana ya wao ,"humanity",ni masikitiko makubwa sana kuwa wanadamu wamekuwa kuku ambao wanafuata punje moja baada ya nyingine mpaka kwenye chumba cha machinjio na hakika watachinjwa wengi.

Green world ancestors or our fore fathers waliweza kuongea ama kusikia sauti za higher devine ila kwenye mwelekeo wa black world sauti imezima kabisa,watu wa zamani waliweza kuwa close na higher devine sisi sasa tumeachwa wenyewe.

Now tushaingia kwenye danger zone,ili uweze kuwa safi na salama you just have two ways,either uishi nje ya mfumo huu wa dunia ama ufe ukikataa mfumo dhalimu wa ulimwengu.

Media,security,sports,religion,science,food,drugs,drinks,love,sex,movies,cartoons,NASA,theology,education,economy,wars,governments,wealth,music and etc make the world meaningful according to some individuals but in reality these all are dots that create you,build you ,teach you,make you happy,install your belief,make you a slave and finally abond you forever .

Don't ask me how just try figure it out,nachoandika si sheria ila unaweza ukatafakari au kupuuzia ,Uhuru ni wako.

Ina maana gani Mimi kutokea ulimwenguni?Mimi ni nani au nini?kwasababu gani nipo?kwanini nife?je nimekuja kula ,kuishi na kufa au kufanya nini?kwanini tupo ili iweje,kwanini tuondoke INA maana gani??majibu unayo mwenyewe.

SAMAHANINI KWA LUGHA NILIYOTUMIA HUWA SIPENDI KUTOA HOJA KWA KIJIKO BALI KWA KUKUAMBIA TUMIA MKONO WAKO

ASANTENI

View attachment 989768

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni vile pengine umezaliwa kwenye hizi zama kila kitu kinakwenda kwa kubonya kitufe..., au mhenga umekua ukaiona tofauti ya vizazi 3 (babu na mjukuu wake) na ndio ukaweza kujenga hoja!!
Vyovyote vile iwavyo kila kitu ni ubatili mtu!

Uwe ni Steve Jobs au ni mvuta bangi wa mtaani au iwe ni USA au Tz life goes on!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bible is just another level of illusion encoded within phrases...

the bible is real but coded inside, but what is translated is not real at all...

Unaposikia mbingu saba kwenye bible mtu anajua kabsaa ni mbingu za njuu angani but kinachoongelewa mule ni chakras

Ndo mana nikasema the bible has nothing inside by its illusion translation as portrayed to the people ila ina codes ambazo huwezo kuzielewa katika mazingira ya moja kwa moja ....

You need another msahafu ukuelezee reality ilivyo not in the bible...

Simply because hajiapangiliwa vizuri kama watu wanavyofikilia ....mbaya zaidi kadri siku zinavozidi kwenye coding kwenye bible zinazidi kuwa katika infinite permutation coding system yani kuujua ukweli mpaka uconnect mistali zaidi ya 10 kutoka vifungu tofauti kisha ndo uje utafsiri katika reality ndo utajua kinachoongelewa mule ndani...

It has lots of codes ambazo huwezi ukajua chochote kwa sasa coz mtririko wake wameutoa na kutoa baadhi ya maneno kisha kuinverse sasa hapo unategemea kuelewa nini...

Sent using Jamii Forums mobile app
Watakuelewa wachache sana mkuu nona hapo umegusia CHAKRA ( energy centre) katika mwili wa binaadamu ni something very powerful na inahitaji elimu kubwa sana watu kulielewa hili. Una shusha nondo ngumu sana mkuu level yako ya ufahamu ni kubwa sana. Nimekuwa nikisoma threads zako na hata comment nyingi unazovhangia katika nyuzi tofauti. Nikupe hongera sana mkuu ila pia nitoe ushauri kwako mkuu, una vingi vizuri na unajitahidi kutafuta maarifa ila jaribu kutumia lugha nyepesi itakayowasaidia wenye uelewa mdogo ambao hawajui chochote kuhusu kile ambacho kipo ndani yao. Heshima kwako mkuu
 
Shukrani mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu atudadavulie

Hawa jamaa miyeyusho sana,tatizo lao kubwa ni kukimbia maswali magumu.

Maswali yangu huwa hawayajibu sasa sijui ni ya kipuuzi hayana maana au magumu sana.

Ila tu nawakumbusha hawa jamaa Elimu haiongopi na huo msamiati wao mara Esoteric Knowledge mara Exoteric Knowledge mara Chakra (Internal Energy/Spiritual Energy) ni mambo madogo sana ambayo yote hukomea kwenye uongo,uoga na wasi wasi tele. Sasa msingi wa maswali yangu huwa nataka wawe wana yajibu ili tuwapeleke huko wanakotaka wao.

Asili ya hizo waziitazo hidden doctrines ni ujinga na mwisho wake huwapelekea kwenye ushirikina.

Hizi lugha zao huwa wanazitumia kwa maslahi yao binafsi ili kuja kuwapiga watu wasio jishughulisha na elimu,ilo waweke matabaka yaliyo asisiwa katika uongo na ujinga,ili wawafanye watu fulani waonekane bora kuliko wengine kisa eti wana elimu zilizofichikana/elimu za siri/hidden doctrines/علم الباطن.

Hakuna binadamu katika uso huu wa dunia anaejua elimu ya mambo yaliyofichikana,Elimu hii hata mitume na manabii hawakupewa seuze hawa wasio jua kwanini kuna usiku na mchana au wasio jua ni zipi lazi za nyota.

Nimewakumbusha tu.
 
kafanye utafiti then rudi

Mkuu uislam haukufungi kutafuta maarifa mengine. Na ukiona hawakujibu si kwa kuwa maswali yako magumu bali unaongelea vitu ambavyo huna experience navyo. Kama hapo unazungumzia chakra ilhali inaonyesha hakuna unachojua kuhusu chakra. Huna experience ya hiyo knowladge sasa unategemea watu wakujibu nini mkuu?? Unasema ni ushirikina na naamini unajua kabisa shirk ni nini na inakuwaje mpaka unafikia hatua ya kuwa mushrik. Allah ana sema katika quran imma ushukuru ama ukufuru so watch out your intention katika kuyaende mambo. Nia yako na uelewa wako ndio unakuwa counted katika shirk.
 
Hili ndio tatizo ambalo huwa naliona kwa watu. Shirki haishii tu kwa waganga wenye kuagua au kuroga na matunguri.

Sio kila elimu ukiijua au ukiisoma lazima uifanyie kama inavyotaka elimu hiyo,bali kuna wakati tunazijua elimu zisizo faa kwa lengo la kuziepuka elimu hizo.

Lakini ku experience au kuto experience hakubatilishi ukweli juu ya uovu wa kitu husika. Leo hii huwezi kuniambia nisiseme ukweli kuhusu uchawi eti kisa labda mimi sitendi uchawi au sijadhurika na uchawi. Ufahamu ni wa kitoto na unaenda kinyume na elimu inavyotaka.

Mfano leo hii tunasikia ya kuwa wachawi wanawaambia watu ya kuwa "Fulani nitakugeuza paka". Yule asie jua hakika ya uchawi lazima ataogopa wakat uhalisia hakuna binadamu anae weza kumgeuza binadamu mwenzie kuwa paka au mfano wake.

Kaka unaposema uislamu haujamzia mtu kuchukua maarifa,kauli yako haijakamilika sababu suala la elimu katika uislamu ni pana sana. Uislamu unamtaka mtu kuchukua elimu yenye manufaa na si kinyume chake na si kila elimu unatakiwa uchukue au uisome.

Sasa,sababu hapa tunajadilian la kielimu,leteni hoja zenu kama nyinyi mnasema ukweli,kisha tukiwauliza maswali myajibu.
 
Kama ungenielewa nilivyoigusia shirk hapo usingerelate na waganga mkuu. Unapotelea mfano wa uchawi si lazima uwe umekutokea wewe unaweza kuwa umeuona ama kulithibitisha kwa kuwepo kwa waganga na wachawi. Turudi kwenye msingi wa hoja yetu kuhusu knowladge amabyo wewe umeihusanisha na uchawi ( shirk) unaweza kunipa uthibitisho wa hilo??
 
Mkuu uislam haukufungi kutafuta maarifa mengine. Na ukiona hawakujibu si kwa kuwa maswali yako magumu bali unaongelea vitu ambavyo huna experience navyo. Kama hapo unazungumzia chakra ilhali inaonyesha hakuna unachojua kuhusu chakra. Huna experience ya hiyo knowladge sasa unategemea watu wakujibu nini mkuu?? Unasema ni ushirikina na naamini unajua kabisa shirk ni nini na inakuwaje mpaka unafikia hatua ya kuwa mushrik. Allah ana sema katika quran imma ushukuru ama ukufuru so watch out your intention katika kuyaende mambo. Nia yako na uelewa wako ndio unakuwa counted katika shirk.

Inaonekana hujaelewa hoja yangu niliyoielezea hapo mwanzo.

Ukiambiwa jambo fulani hupelekea kwenye shirki au ushirikina unaelewa nini ?

Hapa nakupa mfano ili ukiwa unasoma maneno uwe unaelewa.

Unapoambiwa kuombeleza juu ya kifo cha mtu fulani hupelekea kwenye shiki unaelewa nini ?

Au ukiambiwa kujionyesha ni shirki unaelewa nini ?

Kama maswali haya hujayaelewa rejea maelezo yangu ya mwanzo nilipokuwa nataja hizo knowledge.
 
Habari wakuu,
Dunia ilipofika sasa ni kwenye stage ya "high manipulation zone" ni hatua ambayo wanadamu asilimia kubwa wako easily controlled na so called "hidden system" ambayo huona output zake na sio input zake.

Dunia ya sasa ni dunia ambayo walimwengu wako dependent kwa technology ilhali hawajui mwisho na hatima ya technology ni IPI,hawajui nini maana ya wao ,"humanity",ni masikitiko makubwa sana kuwa wanadamu wamekuwa kuku ambao wanafuata punje moja baada ya nyingine mpaka kwenye chumba cha machinjio na hakika watachinjwa wengi.

Green world ancestors or our fore fathers waliweza kuongea ama kusikia sauti za higher devine ila kwenye mwelekeo wa black world sauti imezima kabisa,watu wa zamani waliweza kuwa close na higher devine sisi sasa tumeachwa wenyewe.

Now tushaingia kwenye danger zone,ili uweze kuwa safi na salama you just have two ways,either uishi nje ya mfumo huu wa dunia ama ufe ukikataa mfumo dhalimu wa ulimwengu.

Media,security,sports,religion,science,food,drugs,drinks,love,sex,movies,cartoons,NASA,theology,education,economy,wars,governments,wealth,music and etc make the world meaningful according to some individuals but in reality these all are dots that create you,build you ,teach you,make you happy,install your belief,make you a slave and finally abond you forever .

Don't ask me how just try figure it out,nachoandika si sheria ila unaweza ukatafakari au kupuuzia ,Uhuru ni wako.

Ina maana gani Mimi kutokea ulimwenguni?Mimi ni nani au nini?kwasababu gani nipo?kwanini nife?je nimekuja kula ,kuishi na kufa au kufanya nini?kwanini tupo ili iweje,kwanini tuondoke INA maana gani??majibu unayo mwenyewe.

SAMAHANINI KWA LUGHA NILIYOTUMIA HUWA SIPENDI KUTOA HOJA KWA KIJIKO BALI KWA KUKUAMBIA TUMIA MKONO WAKO

ASANTENI

View attachment 989768

Sent using Jamii Forums mobile app
Solution: Islam.
 
Allah ana sema katika quran imma ushukuru ama ukufuru

Siku nyingine ujifunze kunukuu aya kikamilifu,sababu aya huwa ina mwanzo wake na mwisho wake na ina ukamilifu wake.

Sasa rejea katika aya uisome kikamilifu kisha ulete munasaba wa wewe kuileta hapa.
 
Hawa jamaa miyeyusho sana,tatizo lao kubwa ni kukimbia maswali magumu.

Maswali yangu huwa hawayajibu sasa sijui ni ya kipuuzi hayana maana au magumu sana.

Ila tu nawakumbusha hawa jamaa Elimu haiongopi na huo msamiati wao mara Esoteric Knowledge mara Exoteric Knowledge mara Chakra (Internal Energy/Spiritual Energy) ni mambo madogo sana ambayo yote hukomea kwenye uongo,uoga na wasi wasi tele. Sasa msingi wa maswali yangu huwa nataka wawe wana yajibu ili tuwapeleke huko wanakotaka wao.

Asili ya hizo waziitazo hidden doctrines ni ujinga na mwisho wake huwapelekea kwenye ushirikina.

Hizi lugha zao huwa wanazitumia kwa maslahi yao binafsi ili kuja kuwapiga watu wasio jishughulisha na elimu,ilo waweke matabaka yaliyo asisiwa katika uongo na ujinga,ili wawafanye watu fulani waonekane bora kuliko wengine kisa eti wana elimu zilizofichikana/elimu za siri/hidden doctrines/علم الباطن.

Hakuna binadamu katika uso huu wa dunia anaejua elimu ya mambo yaliyofichikana,Elimu hii hata mitume na manabii hawakupewa seuze hawa wasio jua kwanini kuna usiku na mchana au wasio jua ni zipi lazi za nyota.

Nimewakumbusha tu.

Mkuu ebu jaribu kutoka nje box, uiangalie dini kwa namna nyingine mana sio kila kitu cha kufuata
 
Back
Top Bottom