lifecoded
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 1,424
- 4,325
Unataka niamini kama ulivyokalilishwa wew ??Sasa nachambua jibu lako la kwanza. Kwanza umehusisha Imani na Uongo. Sababu kinyume cha ukweli ni uongo na hakuna kilicho baina ya viwili hivyo isipokuwa ni UTATA,na sisi jambo lenye utata salama huwa ni kutoshughulika nalo.
Sababu umekiri mwenyewe ya kuwa wewe huwa una amini katika hidden doctrines ambazo huwa ziko kinyume na ule ukweli uliowekwa kwenye jamii,bila shaka wewe huwa unaelezea watu mambo ya uongo,na kwanini umeamua kuwa muongo ? Kama ukikataa kama wewe sio muongo unatakiwa uikane hiyo kauli yako na ututhibitishie ya kuwa hayo unayo yasema ni ya kweli.
Nipo ...
Sent using Jamii Forums mobile app