Ubatili mtupu,mambo yote ni ubatili...mtu ana faida gani ya kazi yake yote aifanyayo chini ya jua..???
Hata hao wafanyao kwa siri wanajilisha upepo tuu.
Una maanisha nini ?
Ubatili mtupu,mambo yote ni ubatili...mtu ana faida gani ya kazi yake yote aifanyayo chini ya jua..???
Hata hao wafanyao kwa siri wanajilisha upepo tuu.
unahisi Mungu anafananaje....??
You must believe in imagination of what you believe...
Unahisi Mungu anafananaje...?? mkuu kutokana na uelewa wako mpaka hapo ulipofikia katika maswala ya imani...unahisi Mungu anafanana na umbo gani...??
Sent using Jamii Forums mobile app
nimemuliza yule aliyeniuliza swaliKwanini umeuliza swali "Unahisi Mungu anafananaje ?"
Mungu wa dizaini ipi mkuu sijakuelewa...
Mungu mwenye umbo la mtu au Mungu mwenyr umbo gani...??
nieleweshe hapa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshindwa kuelewa Z??Una maanisha nini ?
Umeshindwa kuelewa Z??
Nitakuelewesha,..Haswaa nimeshindwa kuelewa ndio maana nimekuuliza.
Nitakuelewesha,..
Mkuu Life coded mimi naamini katika uwepo wa mungu lakini siamini sana hizi dini
Yaan dini hizi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
human being ni source of energy....
we are not born but we are growing somewhere ....
Ukilijua hili ndo utajua kuwa haya maisha tunayopewa ni kukeep busy illusion tujue kuwa tunaadvance but we are growing somewhere ...
our mind interprete katika mazingira tofauti sana...ila kiukweli there is a purpose behind kwanini tupo hapa duniani...
you serve a purpose for beneficial purpose mkuu....
Ndani ya ulimwengu huu kuna maisha yanaendelea aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
probably and that matters coz kuna watu wanajua kila kitu...
mkuu kwanza sipendi sana mtu anayeuliza kwa majigambo makubwa huku akijua mwisho wa siku atashinda...napenda uulize katika misingi ya kuelewa usichokijua...ifanye akili yako ipokee mapya hata kama una imani yako juu ya jambo flani ...Hapa una maanisha nini hasa ?
Unaweza kunipa mfano wa mtu hata mmoja anae jua kila kitu ?
Mtu kutambua ya kuwa kuna lengo maalumu linalo fanya sisi tuwepo haoa duniani ni hatua kubwa sana na ni jambo la dharura.
Tatizo linakuja ni ile namna ya kuzungumzia uhalisia wa lengo hilo.
The first thing is to believe kwanza kuwa kuna purpose you came to save ...Duh kwa hii post mkuu nakupa BIG UP
mkuu kwanza sipendi sana mtu anayeuliza kwa majigambo makubwa huku akijua mwisho wa siku atashinda...napenda uulize katika misingi ya kuelewa usichokijua...ifanye akili yako ipokee mapya hata kama una imani yako juu ya jambo flani ...
Kwanza naomba nikufahamishe tu kuwa kuna elimu ya siri ambayo hutolewa kwa watu wachache kwa manufaa ya wengi au wachache wale wale...
kwanza tuanzie hapa kama unatambua hili useme na kama hutambui hilo kuwa muwazi ili upate mapya...make ukiendelea kubisha wakati hujui kitu utakuwa bado unakomaaa pale pale
Je unafahamu juu ya Esoteric knowledge au teachings???
Sent using Jamii Forums mobile app
jibu la swali la kwanza ni kwamba I believe in hidden doctrines zinazoelezea things in oposite the way ukweli unavyokuwa umewekwa kwenye jamii..Huu ni mwanzo mzuri. Kwanza sijauliza kwa mtindo huo unao usema wewe sababu swali langu liko wazi sana.
Nacho jua mimi ni kuwa hakuna kiumbe chini ya jua anaejua kila kitu,hili halihitaji ushahidi wa kutumia akili sana sanjari na nguvu kiasi.
Nina fahamu machache kuhusu Teachings.
Ila hili zingatia. Umeniuliza maswali yako nimekujibu,naomba sana nikikuuliza maswali yangu unijibu pia.
Nina maswali mawili kwako
1. Huwa unatumia nyenzo gani kuujua ukweli ?
2. Kuna vyanzo vingapi vya ELIMU vya mwanadamu ?
Nipo ...
jibu la swali la kwanza ni kwamba I believe in hidden doctrines zinazoelezea things in oposite the way ukweli unavyokuwa umewekwa kwenye jamii..
Jibu la swali la pili ni kulingana na ufafanuzi katika jibu la swali la kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
jibu la swali la kwanza ni kwamba I believe in hidden doctrines zinazoelezea things in oposite the way ukweli unavyokuwa umewekwa kwenye jamii..
Jibu la swali la pili ni kulingana na ufafanuzi katika jibu la swali la kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app