From the green world to a black world

Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
3,961
Likes
4,308
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
3,961 4,308 280
Mkuu ebu jaribu kutoka nje box, uiangalie dini kwa namna nyingine mana sio kila kitu cha kufuata
Hili swali la msingi. Kufikiri nje ya box kukoje ?
Ni kupotosha ukweli au kufikiri kijinga au ?

Je ni upi uhusiano kati ya kufikiri nje ya box na kukosea ? Yaani je kufikiri nje ya box kume epukana na makosa au ?

Je ni upi ukomo wa kufikiri nje ya box ?

Hili swali natilia mkazo nilipoegemea,je unawezaje kuuelezea chanzo cha uhai nje ya box ?

Nipo....
 
kelvinlewis

kelvinlewis

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2018
Messages
208
Likes
106
Points
60
kelvinlewis

kelvinlewis

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2018
208 106 60
Mambo ya dunia na story zake ukizifikilia sana unaweza pasuka kichwa hasa mm uwa najiuliza sana maswali haya makubwa na bado majibu yake cjayapata .

Mimi ni nani ? Kwa nini ninaishi ? Kwa nini ninakufa ? Baada ya kufa unakwenda WAPI ? Je unaamini kuna maisha baada ya kifo ? Maisha ni nini ? Kati ya maswali machache sana akini majibu yake yanahitaji mlolongo Mrefu sana wa maelezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emerald47

Emerald47

Senior Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
182
Likes
208
Points
60
Emerald47

Emerald47

Senior Member
Joined Dec 16, 2016
182 208 60
Hili swali la msingi. Kufikiri nje ya box kukoje ?
Ni kupotosha ukweli au kufikiri kijinga au ?

Je ni upi uhusiano kati ya kufikiri nje ya box na kukosea ? Yaani je kufikiri nje ya box kume epukana na makosa au ?

Je ni upi ukomo wa kufikiri nje ya box ?

Hili swali natilia mkazo nilipoegemea,je unawezaje kuuelezea chanzo cha uhai nje ya box ?

Nipo....
Mkuu ulishawah kujiulza kwa nini kuna dini nyingi? Ulishawah kujiulza kwa nini unaamini hapo ulipo ni sahihi? Ulishawah kujiuliza Kama hapo ulipo ni sahihi je vipi kuhusu hawa ambao sio Imani yangu?
Maswali ni mengi ya kujiuliza na kuuliza endapo ukiwa nje ya box
....
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,283
Likes
29,169
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,283 29,169 280
Waislamu hawana mfano mzuri wa kuiga

sidhani uislamu kama ni chanzo kizuri cha suluhisho la matatizo
Si kweli.

Isitoshe, sijaongelea "Waislam" nimeongelea Uislam.

Nipe mafundisho ya Kiislam ambayo unaona wewe kuwa si suluhisho. Japo moja tu.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,283
Likes
29,169
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,283 29,169 280
Maajabu...! unawezaje kuwa uislamu bila ya waisilamu...!?
Uislam ni mfumo kamili wa maisha na wanaofata mfumo huo na mafundisho ndiyo wanaitwa Waislam.

Hujajibu hoja yangu hapo juu, narudia...

Nipe mafundisho ya Kiislam ambayo unaona wewe kuwa si suluhisho. Japo moja tu.
 
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
879
Likes
721
Points
180
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
879 721 180
Uislam ni mfumo kamili wa maisha na wanaofata mfumo huo na mafundisho ndiyo wanaitwa Waislam.
Unamaanisha nini unaposema mfumo kamili wa maisha ndio uislamu..?

Ninachofahamu mimi kuhusiana na uislamu na waislamu ni kupitia imani yao iliyojengeka katika kitabu chao cha Qur'an wanachokiamini na hadithi pamoja na sunna zao_au uislamu unamaana zaidi ya hiyo.?

Hujajibu hoja yangu hapo juu, narudia...

Nipe mafundisho ya Kiislam ambayo unaona wewe kuwa si suluhisho. Japo moja tu.
Sidhani kama ulijenga hoja_wewe ulitoa hatma ya mambo yote kwamba suluhu yake ni uislamu

Na kuhusiana na mafundisho yapi yanafaa na yapi hayafai ni juu yenu wenyewe waislamu na yeyote anayedai mafundisho yake ni sahihi au suluhu

Sisi watu wa kawaida huwa tunaangalia matokeo ya kile kilichopondikizwa kwa watu kinaakisi vipi kwenye uhalisia wa maisha ikiwemo faida na khasara

sasa katika yote hayo ndio nimefikia 'mimi' kuona kuwa uislamu haufai _labda uwe na maana nyengine zaidi ya hiyo juu ya uislamu
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
3,961
Likes
4,308
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
3,961 4,308 280
Mkuu ulishawah kujiulza kwa nini kuna dini nyingi? Ulishawah kujiulza kwa nini unaamini hapo ulipo ni sahihi? Ulishawah kujiuliza Kama hapo ulipo ni sahihi je vipi kuhusu hawa ambao sio Imani yangu?
Maswali ni mengi ya kujiuliza na kuuliza endapo ukiwa nje ya box
....

Sasa haya mbona maswali mepesi sana na kama hivi ndivyo kufikiri nje ya box,mbina mnakupa hadhi sana kufikiri nje ya box ?

Jibu ni ndio na nina jua kwanini hali iko hivyo.
 
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
879
Likes
721
Points
180
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
879 721 180
Huo ulikuwa mtego mzee. Mjitusu mjibu maswali yangu muone.
Unajitega mwenyewe_ hakuna mwenye mda huo wa kukomaa na maswali yako

wala hawapo mbali sana na kile mlichoaminishwa ila sema kongwa la marabi wenu ndio tatizo_na kwakuwa waislamu wengi kwa asili wanachukia kingereza yaani inakuwa tabu tupu
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
3,961
Likes
4,308
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
3,961 4,308 280
Mkuu ulishawah kujiulza kwa nini kuna dini nyingi? Ulishawah kujiulza kwa nini unaamini hapo ulipo ni sahihi? Ulishawah kujiuliza Kama hapo ulipo ni sahihi je vipi kuhusu hawa ambao sio Imani yangu?
Maswali ni mengi ya kujiuliza na kuuliza endapo ukiwa nje ya box
....

Hayo maswali niliyo kuuliza naomba uyajibu.
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
3,961
Likes
4,308
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
3,961 4,308 280
Unajitega mwenyewe_ hakuna mwenye mda huo wa kukomaa na maswali yako

wala hawapo mbali sana na kile mlichoaminishwa ila sema kongwa la marabi wenu ndio tatizo_na kwakuwa waislamu wengi kwa asili wanachukia kingereza yaani inakuwa tabu tupu

Hapo kaka kiingereza sio kikwazo mzee na tunasoma vitabu vya kiingereza kama kawaida,ila kuna lugha bora kuliko nyingine na hili halikwepeki.

Siwezi kujitega mwenyewe katika hili,sababu ninajua nini ninacho kimaanisha na kama ukijibu nina jua wapi pakukumata.

Nipo ....
 
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
879
Likes
721
Points
180
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
879 721 180
Hapo kaka kiingereza sio kikwazo mzee na tunasoma vitabu vya kiingereza kama kawaida,ila kuna lugha bora kuliko nyingine na hili halikwepeki.

Siwezi kujitega mwenyewe katika hili,sababu ninajua nini ninacho kimaanisha na kama ukijibu nina jua wapi pakukumata.

Nipo ....
Huwezi kutega mtu anayecheza kwenye tone kama za lifecoded ni ndoto

itakuwa kama buibui ale usongo wa nyuzi zake kukamata kunguru badala ya mbu na panzi...!

Ile ni akili iliyo nje na upeo na kupita kufikiri kidini

Unachoweza wewe ni kimoja tu kutuchafulia hali ya hewa wakati spiritual diver wanapofanya yao kwenye ulimwengu wetu wa kiroho_huna kingine
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,283
Likes
29,169
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,283 29,169 280
Waislamu hawana mfano mzuri wa kuiga

sidhani uislamu kama ni chanzo kizuri cha suluhisho la matatizo
Unamaanisha nini unaposema mfumo kamili wa maisha ndio uislamu..?

Ninachofahamu mimi kuhusiana na uislamu na waislamu ni kupitia imani yao iliyojengeka katika kitabu chao cha Qur'an wanachokiamini na hadithi pamoja na sunna zao_au uislamu unamaana zaidi ya hiyo.?

Sidhani kama ulijenga hoja_wewe ulitoa hatma ya mambo yote kwamba suluhu yake ni uislamu

Na kuhusiana na mafundisho yapi yanafaa na yapi hayafai ni juu yenu wenyewe waislamu na yeyote anayedai mafundisho yake ni sahihi au suluhu

Sisi watu wa kawaida huwa tunaangalia matokeo ya kile kilichopondikizwa kwa watu kinaakisi vipi kwenye uhalisia wa maisha ikiwemo faida na khasara

sasa katika yote hayo ndio nimefikia 'mimi' kuona kuwa uislamu haufai _labda uwe na maana nyengine zaidi ya hiyo juu ya uislamu
Umejisahau uliposemaa haya...

Waislamu hawana mfano mzuri wa kuiga

sidhani uislamu kama ni chanzo kizuri cha suluhisho la matatizo
Nikakwambia: Nipe mafundisho ya Kiislam ambayo unaona wewe kuwa si suluhisho. Japo moja tu.

Badala ya kujibu hoja hiyo, umekuja na porojo ndeefu.

Hili jukwaa siyo la porojo, unapoulizwa au unapotakiwa ufafanue kauli yako au unapotakiwa ulete reference inatakiwa ufanye hivyo, kama huna unasema wazi kuwa huna na ni mawazo yako tu.

Sasa kabla hujaja na maswali mengine na porojo ndefu kwanza jibu hilo ili mnakasha unoge.
 
Forum statistics

Threads 1,250,106
Members 481,224
Posts 29,720,833