Huwezi kutega mtu anayecheza kwenye tone kama za lifecoded ni ndoto
itakuwa kama buibui ale usongo wa nyuzi zake kukamata kunguru badala ya mbu na panzi...!
Ile ni akili iliyo nje na upeo na kupita kufikiri kidini
Unachoweza wewe ni kimoja tu kutuchafulia hali ya hewa wakati spiritual diver wanapofanya yao kwenye ulimwengu wetu wa kiroho_huna kingine
Unajuwa maana ya neno "dini"?Mkuu ebu jaribu kutoka nje box, uiangalie dini kwa namna nyingine mana sio kila kitu cha kufuata
Hata tone ya maandishi yako inaakisi kisiraniUmejisahau uliposemaa haya...
Hata tone ya maandishi yako inaakisi kisirani
kujadiliana na mtu mwenye element za kii silamu ni mzigo_bora yaishe
Sio uislam tu mkuu. Mkiwa mna jadili mambo yasiyohusu dini na mwingine kuingiza imani za kidini katika mambo hayo kinachotokea hapo ni mabishano na si majadiliano yenye tija ya kujifunza. Ikishahusishwa dini hakuna muafaka mkuu. Just ignore themHata tone ya maandishi yako inaakisi kisirani
kujadiliana na mtu mwenye element za kii silamu ni mzigo_bora yaishe
Mambo ya dunia na story zake ukizifikilia sana unaweza pasuka kichwa hasa mm uwa najiuliza sana maswali haya makubwa na bado majibu yake cjayapata .
Mimi ni nani ? Kwa nini ninaishi ? Kwa nini ninakufa ? Baada ya kufa unakwenda WAPI ? Je unaamini kuna maisha baada ya kifo ? Maisha ni nini ? Kati ya maswali machache sana akini majibu yake yanahitaji mlolongo Mrefu sana wa maelezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo huwa mnaongea mambo ambayo mnayasikia kwa watu mwisho wa siku mkiulizwa maswali mnapaparika kama kifaranga kilichonusurika kuliwa na kicheche.
Ukiamua kusoma msome kweli.
Huwezi kutega mtu anayecheza kwenye tone kama za lifecoded ni ndoto
itakuwa kama buibui ale usongo wa nyuzi zake kukamata kunguru badala ya mbu na panzi...!
Ile ni akili iliyo nje na upeo na kupita kufikiri kidini
Unachoweza wewe ni kimoja tu kutuchafulia hali ya hewa wakati spiritual diver wanapofanya yao kwenye ulimwengu wetu wa kiroho_huna kingine
Bado teenager sana kwenye spiritual knowledge_tafuta Guru humu_wapo wengi tu utakufa kafirHuwezi kufikiri jambo kama lilivyo nje ya mipaka ya dini au muongozo wa dini.
Akili ni nuru yaani mwangaza unao kumulikia katika utambuzi wa mambo.
Mfano ukiwa gizani giza totoro kuna vitu huvioni ila nuru iingiapo katika giza hilo unafunukiwa au kupambaukia na yale ambayo hukuyaona gizani.
Akili hutumika kuuelewa ufunuo,lakini pindi ufunuo ukishatia nanga akili inakuwa haina nafasi. Ufunuo umekuja kujibu maswali ambayo akili ya binadamu haiwezi kuyajibu.
Ufunuo unajibu juu ya ukweli kuhusu kifo,ufunuo unajibu kuhusu maisha baada ya kifo,ufunuo unajibu kwanini tunakufa,ufunuo unajibu kwanini tunaishi.
Huyo rabi wako alikosa jambo moja la kukuasa
Labda mimi nikukumbushe tu kuwa hakuna mwisho wa utunzi wa vitabu
Sasa unaponiasa mimi kuingia katika mbio zako zisizo na mwisho_sikuelewi...!
mkuu wanapatikana kweli humu??Bado teenager sana kwenye spiritual knowledge_tafuta Guru humu_wapo wengi tu utakufa kafir
Bado teenager sana kwenye spiritual knowledge_tafuta Guru humu_wapo wengi tu utakufa kafir
wapomkuu wanapatikana kweli humu??
Sijui ulichomaanisha_au na wewe umekuwa yesu.!? fafanuaNaona nilichokiandika umekielewa.
Huu ukweli chukua "Tengeneza kiti chako kwanza kabla ya kukitia nakshi"
Mkuu fanya kuangalia PM yako tafadhaliwapo
Kunani..! ipo closed au vipi.?Mkuu fanya kuangalia PM yako tafadhali
kuna ujumbe nimekutumiaKunani..! ipo closed au vipi.?
ipo closed aiseeKunani..! ipo closed au vipi.?
Ooh sorry..!huwa siitumii sana hata option katika simu ya kuifanya iwe active_siijui.!ipo closed aisee