From the desk of the Chairman Baba v.

From the desk of the Chairman Baba v.

kwa taarifa ni kaka damu tokatoka kamba ni kwa mtazamo wako wewe chunga kimywa nitakwenda kuchukua PF3 kwa ajili yako unajua umefanya kosa la jinai kumwita kaka yangu kamba tena ktk kifungu cha sheria Ibara ya 52:nannukuu "kinasema kuwa ni kosa la jinai kumdhalilisha, kumtusi au kumwangalia ivibaya mwenzio kama utafanya kosa hilo sheria kali zitachukuliwa" sasa unataka tufanye hivyo niruhusu kaka Erickb52 nimpeleke mahakamani huyu
Huyo ni kaka au kamba?
 
Last edited by a moderator:

Kumbe wote ni wale wale....mie nitamlaumu aliekunywa uji wa mgonjwa na sio mpishi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom