Ukichelewa hiyo soon ikaisha nakufuata huko huko lol....Unipeleke nikale bamia na ugali.
Achana nao hao, let talk about us, mke mwenzangu hajambo?
Mr Rocky kwa amri toka kwa MWENYEKITI WA UWJ nakuamuru acha ndoa ya Vin Diesel ipumuwe
Mr Rocky kwa amri toka kwa MWENYEKITI WA UWJ nakuamuru acha ndoa ya Vin Diesel ipumuwe
Hajambo mwaya anakusalimia. Hao mi nawapata tahadhari tu, kuwa "naijua njia" sasa wasiulize ulize maswali lol
hahaha apo utakuwa umenipa mzuka balaa lol
Kwa hiyo utachelewa maksudi ili nije? Ntakuchaaaaapaaa
Mbona ndo rahaaaa......lol
Miss you too. Wasalimie familia yako.Nami na kusalimu kwa jina la i missed you much! Kipipi
Kazi gani tena, au memory card yangu haina memory? Mie niko poa kabisa. Miss you too!Kipipi nina kazi na wewe, remember? Mambo vp lakini? Missed you very very!
sijambo Slave,naona loya ananitaka ubaya hadharani!Passion Lady hajambo?
Achana nao hao, let talk about us, mke mwenzangu hajambo?
KOKUTONA nikiamua kutulia mara unanideep mara unanimissed call mara notification mara unanitaja taja. We kama Vin Diesel hakufai sema watu wajitolee kukusaidia
Baba V umeona eeehh
Mamndenyi nimekumissije aise mpaka natetemeka
Afu nahitaji personal secretary ujue...:A S tongue::A S tongue::A S tongue: