Mwambie kuwa kuna wajanja kuliko yeye mara nyingi tu.
Mamndenyi mwache huyo Vin Diesel azunguke kama mlevi aliyekata senta bolt
Last edited by a moderator:
Mwambie kuwa kuna wajanja kuliko yeye mara nyingi tu.
Inategemea coz bios topic zake nyingine ni balaa tupu thats y nimeguna!
Mwalimu gfsonwin huwa yeye hajali topic zote anafundisha kwa vitendo na mnakuwa pair kabisa
Mamndenyi mwache huyo Vin Diesel azunguke kama mlevi aliyekata senta bolt
Mwambie huyo... make mi nimejitahidi kumueleza naona hata hana habari!!! Afu mbona sikupati kwa hewa!!!!! :yo:
Vin Diesel ni king'ang'a balaa!!!!!!!!
mi napatikana miss.
Umesahau tulivyokuwa tumeng'ang'aniana zamani?
Kumbe mlikuwa na nyie kipindi kile?????
Haya yote si yaliisha siku moja tu.....na mpaka leo hajanisamehe
yaliishia muhimbili au wapi???
Alinifuma na msg za bibie mwingine.....kichaa kiliamka ndo mpaka kesho...
Aendelee hivo hivo hadi kesho kutwa......!!!!!!!!!
Ongea nae basi anisamehe.....
hawezi kukubali ana babu lake la kizungu!!!!!!!!
yes ubaya ubaya tu nami kesho nauanika hapa. copy: Ben SaananeKifupi nimeshampa Slave ule ujumbe ulinituma kwa Ben Saanane kuwa muonane pale
Evelyn Salt mwaliko ulikuwa wa kheri au shari tupu?Kisa nilikataa mwaliko wako mwenyekiti au kuna kingine nilichokukosea?
I love you Slave
Evelyn Salt mwaliko ulikuwa wa kheri au shari tupu?
Si litakufa soon....
wenye hela hawafagi wewe.......