CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,461
Ahahahaaa.kwa kweli.Alikopeleka kitumbua leo kachafuliwa tu hivyo akakumbuka baadhi ya mechi zenu nyumbani ikabidi akushukuru
Ahahahaaa.kwa kweli.Alikopeleka kitumbua leo kachafuliwa tu hivyo akakumbuka baadhi ya mechi zenu nyumbani ikabidi akushukuru
Mbona unao waswasi? Angekuandikia kinyume na hapo ungesema je?Je kuna usalama kweli wakuu, niko mbali na mke wangu , then from nowhere kanitumia hoyo text
uwiii leo mnanifurahisha humu
Kwa maisha haya ya sasa na hawa wanawake wa toleo la sasa + anaishi mbali na mmewe unategemea nn hapo?Comments nyingi za wachangiaji zimeonyesha jinsi gani wanawake sio watu wa kuaminika kabisa...
Kama umewahi kuwa kwenye aina mbili tatu za mahusiano na wanawake ukazijua kidogo tabia zao utamwelewa mleta mada.😂😂 yani watu bhana mtu ukipendwa Bado napo wajikunakuna! Mkuu tuliza figo zako hapo umependwa nawe pendeka mbute kabisa sasa.
Hana uthibitisho mkuu hivyo atulize figo zake siku akipata uthibitisho Basi atanue mbawa hakuna namna.. hiyo sms haitoshi kuhukumu nachomsifu jamaa ni kuwa anawivu hii ni dalili kuwa nampenda mtu wakeKama umewahi kuwa kwenye aina mbili tatu za mahusiano na wanawake ukazijua kidogo tabia zao utamwelewa mleta mada.
Mwanamke sio wa kuamini hata kwa bahati mbayaComments nyingi za wachangiaji zimeonyesha jinsi gani wanawake sio watu wa kuaminika kabisa...
Nadhan akisoma akakuelewa hapa itakua ni vyema kwake. Mana muda mwingi tumekuwa na mawazo hasi kuhusu wenza wetu(wake/wachumba) sijui tunakua na shiga ganyani watu bhana mtu ukipendwa Bado napo wajikunakuna! Mkuu tuliza figo zako hapo umependwa nawe pendeka mbute kabisa sasa.
khaaaaaah lolAtakuwa ametoka kupigwa hii style pendwa ya kula wake za watu!
View attachment 1671061