Humu jf watu mi ma-wacky sana. Wamefanya jamaa kakimbia uzi wake.Kama mleta mada bado yupo hai sijui.
Nami nimewahi kushuhudia mke wa mtu katoka kupiga mechi za ugenini, halafu baada ya tukio akampost mume wake mtandaoni, nimelishuhudia hili kabisa kiongoziNgoja nitoe uzoefu kidogo,
Niliwahi tumiwa meseji ya aina hiyo tulikuwa tupo mbalimbali km miezi miwili hivi, kwa bahati siku ananitumia hiyo text nlikuwa safarini narudi ila nilitaka kumshtukiza tu. Nilipofika nyumbani hakuwepo, simu akawa hapokei. Aliporudi nikataka kumla, aiseeh hakukubali katu. Nikajua hapa sina changu, nikapiga chini nkamove on.
Humu jf watu mi ma-wacky sana. Wamefanya jamaa kakimbia uzi wake.
Naungana na ww mkuu. Mwanamke akitoka kutiwa huwa anakuwa na upendo kwa mu e wake hatar... huyo atakuwa ndio ametoka ku.ko.j.o.l.wa muda sio mrefu. Wana akili za ajabu sometimes.
... tena mshkaji anasema mahaba ya ghafla! Tofauti na wanaume ambao wana uwezo mkubwa wa kupotezea, wake za watu wakitoka kufanyiwa huo mchezo nafsi zinawasuta sana. Ili "kutema nyongo" inayomsuta hizo ndio zao kujishaua bila sababu.Naungana na ww mkuu. Mwanamke akitoka kutiwa huwa anakuwa na upendo kwa mu e wake hatar
Hiyo iko waziKiufupi ushato.mbe..wa
[emoji23][emoji23], kaamua aliamshe muda huu akafumanie[emoji23].
Ngoja nitoe uzoefu kidogo,
Niliwahi tumiwa meseji ya aina hiyo tulikuwa tupo mbalimbali km miezi miwili hivi, kwa bahati siku ananitumia hiyo text nlikuwa safarini narudi ila nilitaka kumshtukiza tu. Nilipofika nyumbani hakuwepo, simu akawa hapokei. Aliporudi nikataka kumla, aiseeh hakukubali katu. Nikajua hapa sina changu, nikapiga chini nkamove on.
Atakuwa ametoka kupigwa hii style pendwa ya kula wake za watu![emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1671061