From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

Duniani vituko haviishi mkeo kukwambia tu hivyo umelileta huku kweli hauko serious amini alichokwambia kamaanisha usiwe na wasiwasi,je ww Mara ya mwisho kumtumia text nzuri ilikuwa lini?
 
Comments nyingi za wachangiaji zimeonyesha jinsi gani wanawake sio watu wa kuaminika kabisa...
Kwa maisha haya ya sasa na hawa wanawake wa toleo la sasa + anaishi mbali na mmewe unategemea nn hapo?
Mie kwanza kwa maisha haya kukaa mbali na mke eti kisa ajira kwa nini asihamie au wewe usihamie huko mkae wote ?
Usawa huu ni bora uishi na mkeo watamchapa kidogo kuliko anaishi mbali jamaa linaweza kumla tigo usiku mzima anaamka anaugulia maumivu halafu anakutext aone utamjibu nini
 
Inaeza kuwa real kakukumbuka bt asilimia 90 za akili yangu inaonesha utamaduni wa kutumiwa text za hivo haupo so labda kakosea alikua anatuma kwa mabaharia,all in all don't trust hawa viumbe mwamini kwa asilimia 2 kati ya 100,kingine mapenzi ya mbali sio mazuri hasa kama huyo ni mkeo na una ndoa naeye ila kama ni mtarajiwa akisumbua tupa kule,mungu humpa mtu sahihi kwa wakati sahihi,trust no body!!!!
 
Kama umewahi kuwa kwenye aina mbili tatu za mahusiano na wanawake ukazijua kidogo tabia zao utamwelewa mleta mada.
Hana uthibitisho mkuu hivyo atulize figo zake siku akipata uthibitisho Basi atanue mbawa hakuna namna.. hiyo sms haitoshi kuhukumu nachomsifu jamaa ni kuwa anawivu hii ni dalili kuwa nampenda mtu wake
 
yani watu bhana mtu ukipendwa Bado napo wajikunakuna! Mkuu tuliza figo zako hapo umependwa nawe pendeka mbute kabisa sasa.
Nadhan akisoma akakuelewa hapa itakua ni vyema kwake. Mana muda mwingi tumekuwa na mawazo hasi kuhusu wenza wetu(wake/wachumba) sijui tunakua na shiga gan
 
Hongera kwa kupendwa kwa dhati na mkeo.
Nawee mpende km yeye anavokupenda.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom