Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

wakuu..
nimepita kwenye hiyo sura inayozungumzia freemason kunako kitabu cha Sir Chande(thanks to Pundit) na sidhani kama Sir Chande anatatua tatizo lolote hapa kwenye uelewa wetu husiana na hao jamaa.
anajitetea tu na kugusia activities 'safi' za masons,hakuna zaidi.
 
Mimi nataka ku play "devil's advocate" (no pun intended, lol) hapa, only because kabla sijasoma kuhusu u-Buddha niliambiwa ma buddhist ni wachawi and all sort of devious mystic things, nilipopata courage ya kwenda kwenye a Buddhist Temple nikakutana na a buddhist monk jamaa alikuwa ni mtu mmoja poa kichizi.

Nilipoingia kwenye library yao na kuanza kusoma vitabu vyao nikaona a lot of it is actually rather scientific and it is more of a philosophy of life than organized religion (of course you have the rituals which one cannot always attribute to the founder and the original tenets)

Kwa hiyo ninaposikia freemasons ndiye anti-christ na this and that, inaweza kuwa kweli.Lakini where is the evidence? These people are supposed to be ultra secretive, how do we know this?


Of course account ya Chande iko biased na wanaeleza the positive nature (altruism etc).Kitabu kingine kinachoelezea hivi in the same light ni David McCullough's "Truman"

I regard Christ highly as an important philosopher, and would hate to see him being used to bash on other people just based on rumors of being "Anti-Christ".I can say some Christians are "Anti-Masons".In Truman's and Chande's accounts I gathered Freemasons encourage brotherhood regardless of religion, of course this could very well be a front covering some devious shenanigans, but what can be said for sure beyond innuendo?

Mara nyingi kunakuwa na phobia kwa vitu tusivyovijua.Walipokuja wazungu Afrika kwanza watu walifikiri wanakula watu (partly right), wengine wakafikiri walikuwa miungu (the root of the word mzungu is the same as mulungu or mungu, time to change this name by the way!).So people fear what they don't understand, it is natural, what I want to have here, if there is something to fear, is to fear something that we actually understand and not fear based on the fact that we do not understand Freemasonry, or because we think it is different.In a discussion based on facts -and not hearsay- I would gladly welcome measured criticism of Freemasonry.Otherwise Christians will be discriminating against a minority religious organization.

Lets safeguard our freedom of worship lest next thing all people who think Christ is a mere philosopher be branded anti Christ and from there who knows, in the wake of the ensuing liturgy's litany of lines of litigations, or to be more precise inconsequential inquisitions paralled on the Spanish one, perhaps all protestants would potentially be branded so.

I guess I better dust my volumes on the history of the crusades and the few books I have on Freemasonry.

Just when I thought the Kindle was taking over too.
 
Last edited:
unapojiunga na chuo ukimaliza unapewa degree ya kwanza , unasomea ya pili and so on -- ina mahusiano na freemasony sio ?

jamani freemason sio watu wabaya kama wengi wanavyofikiri ni cool people sema tu wana sheria na mambo yao wanayafuata ambayo mtu wa kawaida ni ngumu sana kuyatambua kwa sababu yanafanyika kwa njia ambazo sio za kawaida sio za kibinaadamu

soma kitabu kinaitwa GREATEST WORLD SECRETS utaelewa zaidi kuhusu watu hawa na jumuiya zao

ni sawa na wale AGHA KHAN , waisilamu wa madhehebu ya SHIA , wakatoliki anglicana na so on sema freemasony sio wa wazi katika mambo yao


Shy kama waweza nipatie hicho kitabu GREATEST WORLD SECRETS. Nionavyo mimi Freemasons ni hatari. Imani zao na matendo yao ndo ya kuogopa. Matambiko ni mengi ya kumwaga damu tena ya binadamu. Si imani natural hiyo? Ni ya kishetani na kuchawi niseme.
 
Yes wako kama 10 hivi

Wapo zaidi ya Kumi Sir Andy Chande, Jeet Patel, Sonil Somaiya, Chenge, Reginald Mengi, Yusuph Manji, ........ Endelea na list. Kale kahekalu kao pale Bongo kuna kijana anafanya usafi pale i.e mhudumu ukimpata atakupa data zote. Ila sina uhakika kama hajalishwa yamini asitoe siri!!!!!
 
...kuna mtu jana ameniambia kuwa Sir Chande alimshawishi Mwalimu na nusuru angemuingiza humo lakini suala la umiliki binafsi wa uchumi(tuseme ubepari) ambao freemason wanau'practice lilikuwa linabishana na ujamaa ambao Mwalimu alikuwa anausimamia.
 
Kuna watu ambao wamefumbwa macho ' by years of brainwashing,'kiasi kwamba hawataki kuona upande wa pili wa shilingi.Mambo ambayo 'FREEMASONS' wametufanya na ambayo wanaendelea kufanya ni mabaya mno.Kwa vile kila mtu anajua kusoma naomba kila mtu asome mwenyewe http://members.iimetro.com.au/~hubbca/cartels.htm.Once you are there please also read 'The secret covenant".Kama una pressure naomba usisome,mambo wanayotufanyia yanatisha mno.
 
Kuna watu ambao wamefumbwa macho ' by years of brainwashing,'kiasi kwamba hawataki kuona upande wa pili wa shilingi.Mambo ambayo 'FREEMASONS' wametufanya na ambayo wanaendelea kufanya ni mabaya mno.Kwa vile kila mtu anajua kusoma naomba kila mtu asome mwenyewe http://members.iimetro.com.au/~hubbca/cartels.htm.Once you are there please also read 'The secret covenant".Kama una pressure naomba usisome,mambo wanayotufanyia yanatisha mno.

Nimejafibu kufungua hapafunguki, mkuu unaweza kutupa hayo mambo hapa hapa.
 
Matatizo yetu watanzania ndio hayo, hatutaki kusoma.Sasa tumeshaingizwa mkenge hata bila kujua.Mambo ni mengi sana kama hiyo website haifunguki basi nitatatafuta muda ni waandikie.
 
Kuna watu ambao wamefumbwa macho ' by years of brainwashing,'kiasi kwamba hawataki kuona upande wa pili wa shilingi.Mambo ambayo 'FREEMASONS' wametufanya na ambayo wanaendelea kufanya ni mabaya mno.Kwa vile kila mtu anajua kusoma naomba kila mtu asome mwenyewe Cartels Once you are there please also read 'The secret covenant".Kama una pressure naomba usisome,mambo wanayotufanyia yanatisha mno.



Nimeiweka vizuri hiyo link, sasa inafunguka. Bofya kwenye blue.



.
 
Ukienda kwenye hiyo post yako, click edit, ufanye marekebisho.
Utaona Edit, Quote, ....etc



.
 
hakumshawishi Mwalimu kweli naye aingie kwenye list of shame?

Nyerere alishawishiwa sana na hawa jamaa wakati huo Chande was nobody in the society. Thanks to his strong Catholic devotion aliwapiga chenga. Lakini wenzake Mwalimu wengi walikuwemo na hata wenye nchi wengi wa sasa ni wanachama ingawa for them its more for power than anything....

Kitabu cha Chande kinamapungufu mengi. Mwanzoni kilikuwa kiwe na kurasa 1600 lakini ikabidi kipunguzwe sana ili kulinda maslahi ya Society na hata ya wenye nchi....

Ni muhimu wakajitokeza wasomi kubobea katika ujuvi wa kundi hili haswa hapa nyumbani maana ukweli lina mkono mzito katika usalama na maslahi ya nchi yetu

Tanzanienjama
 
Wapo zaidi ya Kumi Sir Andy Chande, Jeet Patel, Sonil Somaiya, Chenge, Reginald Mengi, Yusuph Manji, ........ Endelea na list. Kale kahekalu kao pale Bongo kuna kijana anafanya usafi pale i.e mhudumu ukimpata atakupa data zote. Ila sina uhakika kama hajalishwa yamini asitoe siri!!!!!

This kind of infromation may cost the boys' life!!! Hi ni kutokana na haya ninayoyasoma huku kwenye hii thread.
 
Wana JF hawa freemasons kwa mara ya kwanza niliwasikia Arusha shule moja inaitwa MUKIDOMA SEC SCHOOL mdogo wangu anasoma pale. Wanafunzi wengi ktk skuli hiyo walikuwa wamekuwa member wa hao watu na shuleni kwao yakawa yanatokea mambo mengi ya ajabu naya kutisha ilifikia wakati wakawa wanafunzi wakiingia darasani asubuhi wanasinzia darasa zima ikaendelea walipokuja kushituka kuwa ni siriazi problem wakaita Muuhubiri aje kuwafanyia maombi WALIKEMEA sana baadaye baadhi ya wanafunzi wakajitokeza nakusema wanashirikiana nao hao freemasons.Zaidi tafuta mwanafunzi au mwalimu yeyote anayesoma pale atakupa detail zaidi.
Kwa kifupi wanaaabudu Shetani.
ningeeleza mengi ila majukumu hapa job yananibana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom