SALUM S HEMED
JF-Expert Member
- Mar 4, 2016
- 1,437
- 1,863
[HASHTAG]#Bring[/HASHTAG] Back Freeman Mbowe
Hivi Watanzania tumekuwa mazuzu wa kufikiri kiasi hiki? Kama raia au mtu yeyote akipotea na ikatolewa taarifa kwamba kapotea, NI JUKUMU LA SERIKALI na vyombo vyake kuhakikisha anapatikana au inamtafuta. Tunaweka serikali madarakani ili ilinde Uhai na mali zetu. Hilo ndilo jukumu kuu la serikali na siyo jukumu la chama cha siasa kiwe ni CCM au CHADEMA. Ni jukumu la kwanza la serikali na ndiyo maana tunaipa serikali vyomba vya kuisaidia kutimiza wajibu wake huo. Serikali isiyotimiza wajibu wa kunilinda akaniacha nikatishwa na jirani zangu, wawe wa hapa nchini au wa nje, imepoteza uhalali wa kuwepo. Hili siyo jambo la kijinga. Kama kupotea mtu ni jambo la kijinga la kielevu ni lipi? Ebu tuweke mihemuko pembeni na tusiipe akili yetu likizo isiyo na malipo. In such matters, Let us use our Reason and not our Hearts.Kinachonishangaza zaidi katika sakata Ili Ben Saanane ni ukimya wa muajiri wake hata baada ya taarifa hiyo kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kimataifa. Haiwezekani Katibu Myeka wa Mwenyekiti apotee kwa siku zaidi ya 20 mwajiri usishtuke. Leo mnataka kupaka matope serikali kwa kwa issue ya kijinga kama hii.
ipo facebook kwenye account yake km vp kaichekPost ya Malisa mkuu kama uliiscreenshot
Angekuwa ndugu yako usingeropoka hivi. Tuwe na uchungu na wenzettuHivi Watanzania tumekuwa mazuzu wa kufikiri kiasi hiki? Kama raia au mtu yeyote akipotea na ikatolewa taarifa kwamba kapotea, NI JUKUMU LA SERIKALI na vyombo vyake kuhakikisha anapatikana au inamtafuta. Tunaweka serikali madarakani ili ilinde Uhai na mali zetu. Hilo ndilo jukumu kuu la serikali na siyo jukumu la chama cha siasa kiwe ni CCM au CHADEMA. Ni jukumu la kwanza la serikali na ndiyo maana tunaipa serikali vyomba vya kuisaidia kutimiza wajibu wake huo. Serikali isiyotimiza wajibu wa kunilinda akaniacha nikatishwa na jirani zangu, wawe wa hapa nchini au wa nje, imepoteza uhalali wa kuwepo. Hili siyo jambo la kijinga. Kama kupotea mtu ni jambo la kijinga la kielevu ni lipi? Ebu tuweke mihemuko pembeni na tusiipe akili yetu likizo isiyo na malipo. In such matters, Let us use our Reason and not our Hearts.
Yaani anampita hadi Lema na Lissu mwenyewe?2. Hofu ya CHADEMA juu kupotea kwa Ben Saanane ni kwa sababu BEN alikuwa mkosoaji mkubwa wa Rais Magufuli (kwa mujibu wa Tamko la Chama kupitia Mwanasheria wake mkuu, Tundu Lissu) au ni kwa sababu alikuwa Mfedheheshaji, Mtukanaji na mdhalilishaji mkubwa wa rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Ebu sema alimtukana matusi gani? hata tusi moja tu linatosha. ili Tuwe objective! Tuanzie hapo
Tendency ya kufuata wadogo kwenye mitandao ime dominate! Vitu vidogo vidogo serikali hii inavifuatilia sana na kuacha vikubwaYaani anampita hadi Lema na Lissu mwenyewe?
Kwanza hata angefanya hivyo alikuwa na impact gani ya kumzidi Lema au Tundu? Alikuwa kijana mdogo tu, a minor, asiye na cheo chochote cha maana ndani ya chadema na asiyejulikana na wengi.
Sasa iweje yeye apotezwe na serikali na kuachwa hao wenye influence kama Lema na Tundu? Haiingii kichwani.
maneno yasiokua na kichwa wala miguu mwansheria wa chama unasema saa name alitumia meaege na mtu ambaehajulikani huo ni upuuzi kwa wanachama na kuapumbaza
Duniani kote hamna democrasia ya kutukana watu matusi.Nyumbu wanatakiwa wajieshimu.Kwa hili hongera sana Mbowe
na wewe naweee...Mbowe ameongea hayo akiwa wapi? una ushahidi wapi wa hayo maneno kasema/kaandika mbowe? Poor youDuniani kote hamna democrasia ya kutukana watu matusi.
Nyumbu wanatakiwa wajieshimu.
Kwa hili hongera sana Mbowe
Roho inaniuma.Ben namjua Ni Kijana makini NA mstaarabu.Ungekuwa S.Africa ingejulikana.Bring Back our Ben.
Ben wetu ninaamini bado uko hai na soon utarudi tu[HASHTAG]#Tunamhitaji[/HASHTAG] Ben akiwa hai