Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

Baada ya issue ya Dangote kuwekwa wazi na mhusika(Dangote), hii ya Saa nane nayo sasa inakimbiza tamthilia!!! Wafuatiliaji tupo makini kupata mwisho wakee!!!
 
Niende moja kwa moja kwa kile nilichokiwaza, nikajiuliza maswali na kujifunza kitu kufuatia kupotea kwa Ben Saanane.
1. Hivi ni kweli BEN SAANANE alikuwa mkamilifu na mtiifu kwa 100% kwa Viongozi wake na chama chake kwa ujumla?

2. Hofu ya CHADEMA juu ya kupotea kwa Ben Saanane ni kwa sababu BEN alikuwa mkosoaji mkubwa wa Rais Magufuli (kwa mujibu wa Tamko la Chama kupitia Mwanasheria wake mkuu, Tundu Lissu) au ni kwa sababu alikuwa Mfedheheshaji, Mtukanaji na mdhalilishaji mkubwa wa rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

3. Ndiyo chama kimetoa tamko na kikubwa tulichosikia ni kwamba CHADEMA hawajui BEN alipo. Je Ile intelijensia ya CHADEMA ambayo tulihubiriwa ziku zote kuwa ni kubwa kuliko ya jeshi la Polisi yenyewe imefikia wapi na kumtafuta BEN? Idata ya ulinzi ya Wifred Lwakatare iko wapi?
4. Baada ya BEN kupotea, vijana wa BAVICHA hususan walioko mitandaoni wakiongozwa na Godlitsen Malisa, Hilda Newton na Eliza Beth wamekuwa wakitumia nguvu kubwa sana kutaka kuonesha wameguswa sana na suala la BEN huku wakitoa taarifa zenye utata juu ya BEN, Malisa akasema BEN hakuwa Mkurugenzi wa Sera na Utafiti wa CHADEMA huku Hilda akituambia BEN yuko Afrika kusini na kwamba tutulie tusiwe na wasiwasi. Malisa na HILDA wana agenda gani na kupotea kwa BEN? Wanajua nini kuhusu kupotea kwa BEN? Je ni nafasi ya BEN saanane ndiyo inatafutwa?(Mungu atawaaibisha, atamleta BEN aendelee na wadhifa wake).

FUNZO NILILOPATA:
Tunapoamua kuwa madui wa upande mmoja, basi tuhakikishe tunamoishi hatuna adui hata mmoja, ile methali kwamba Zimwi likujualo halikuli likakwisha imepitwa na wakati lakini misemo wa fimbo ya mbali haiui nyoka na ule wa UMDHANIAYE NDIYE SIYE kamwe haiwezi kupitwa na wakati. BEN ametofautiana mara nyingi sana na viongozi wake waliopo na hata waliotoka ndani ya CHAMA. BEN alikuwa anamalizia Shahada yake ya Uzamivu, alikuwa anaelekea kuwa tishio kwa nafasi kubwa kubwa ndani ya chams akiwa kama msomi. Hakika ana maadui wengi sana hasa wa ndani kuliko wa nje kama tunavyofikiria. Kuna wakati ilisemekana BEN alikuwa anaondoka CHADEMA na hata mrundikano wa vyeo ambavyo amekuwa akipewa siku za hivi karibuni ni kumpooza tu. Rais wa awamu ya nne, Jakaya mrisho Kikwete aliwahi kusema maneno ambayo hatuwezi kuyasahau akiwa katika sherehe za mei mosi na wakati mkutano mkuu wa CCM
1. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako
2. Ukitaka kula lazima uliwe kidogo
BEN SAANANE popote alipo anapaswa kutafakari kwa kina ukaribu ambao anawekewa na watu wake wa karibu ambao awali walikuwa maadui. Siku zote kuwa na madui pande mbili ni hatari sana na mara nyingi adui rafiki ni hatari sana kuliko adui wa mbali, adui rafiki anaweza kutumia faida ya uadui wako na mtu wa mbali kukudhuru.
Hili lisiwe somo kwa BEN SAANANE bali kwa vijana wote hususan hawa wanaochipukia katika siasa, Tengeneza kwanza kwako kabla haujaanza kujiona shujaa, adui yako wa awali ambaye leo ni rafiki yako anaweza kukushangilia kuwe wewe ni shujaa kumbe ana lake jambo.
 
Niende moja kwa moja kwa kile nilichokiwaza, nikajiuliza maswali na kujijibu Mwenyewe.
1. Hivi ni kweli BEN SAANANE alikuwa mkamilifu na mtiifu kwa 100% kwa Viongozi wake na chama chake kwa ujumla

2. Hofu ya CHADEMA juu kupotea kwa Ben Saanane ni kwa sababu BEN alikuwa mkosoaji mkubwa wa Rais Magufuli (kwa mujibu wa Tamko la Chama kupitia Mwanasheria wake mkuu, Tundu Lissu) au ni kwa sababu alikuwa Mfedheheshaji, Mtukanaji na mdhalilishaji mkubwa wa rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

3. Ndiyo chama kimetoa tamko na kikubwa tulichosikia ni kwamba CHADEMA hawajui BEN alipo. Je Ile intelijensia ya CHADEMA ambayo tulihubiriwa ziku zote kuwa ni kubwa kuliko ya jeshi la Polisi yenyewe imefikia wapi na kumtafuta BEN? Idata ya ulinzi ya Wifred Lwakatare iko wapi?
4. Baada ya BEN kupotea, vijana wa BAVICHA hususan walioko mitandaoni wakiongozwa na Godlitsen Malisa, Hilda Newton na Eliza Beth wamekuwa wwkitumia nguvu kubwa sana kutaka kuonesha wameguswa sana suala la BEN huku wakito taarifa zenye utata juu ya BEN, Malisa akasema BEN hakuwa Mkurugenzi wa Sera na Utafiti wa CHADEMA huku Hilda akituambia BEN yuko Afrika kusini na kwamba tutulie tusiwe na wasiwasi. Malisa na HILDA wana agenda gani na kupotea kwa BEN? Wanajua nini kuhusu kupotea kwa BEN? Je ni nafasi ya BEN saanane ndiyo inatafutwa?(Mungu atawaaibisha, atamleta BEN aendelee na wadhifa wake).

FUNZO NILILOPATA:
Tunapoamua kuwa madui wa upande mmoja, basi tuhakikishe tunamoishi hatuna adui hata mmoja, ile methali kwamba Zimwi likujualo halikuli likakwisha imepitwa na wakati lakini misemo wa fimbo ya mbali haiui nyoka na ule wa UMDHANIAYE NDIYE SIYE kamwe haiwezi kupitwa na wakati. BEN ametofautina mara nyingi sana na viongozi wake waliopo na hata waliotoka ndani ya CHAMA. Hakika na maadui wengi sana hasa wa ndani kuliko wa nje kama tunavyofikiria. Kuna wakati ilisemekana BEN alikuwa anaondoka CHADEMA na hata mrundikano wa vyeo ambavyo amekuwa akipewa siku za hivi karibuni ni kumpooza tu. Rais wa awamu ya nne, Jakaya mrisho Kikwete aliwahi kusema maneno ambayo hatuwezi kuyasahau akiwa katika sherehe za mei mosi na wakati mkutano mkuu wa CCM
1. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako
2. Ukitaka kula lazima uliwe kidogo
BEN SAANANE popote alipo anapaswa kutafakari kwa kina ukaribu ambao anawekewa na watu wake wa karibu ambao awali walikuwa maadui.

Tunayemjua anamshilia Ben ni yule kada wa CCM aliyemtumia ujumbe wa kumpeleka Mabwepande.Na lazima mtatueleza tu,mmempeleka wapi mtoto wa Mwenzenu.Chama Cha Majangili tunamihatji kijana Ben HAI
 
Ebu sema alimtukana matusi gani? hata tusi moja tu linatosha. ili Tuwe objective! Tuanzie hapo
 
nasikia real Madrid Jana wameshinda kombe la club bingwa wa dunia
 
kumbe "lileta" mada ni hili *@"'# linalojoita tatamadiba....ningejua nisingefungua hii thread....wadau lipotezeeni....ipuuzieni hii thread yake.
Acha upuuzi........HILI SUALA LA BEN cdm HAMWEZI LIEPUKA KABSA...na ndio maana hata hamlichukulii kwa uzito unaostahili....Tulitegeea mpaka sasa M/KITI na hata KATIBU wametoa hata tamko kuonyeshwa kuguswa na hili JAMBO lakini kimya...ila kilichobaki nikuinyooshea SERIKALI MKONO..........mmemtumia kijana wa watu kutukana VIONGOZI huku mkiwa na lengo lenu kichwani mwisho wa siku hionekani ni SERIKALI ndio imehusika na kupotea kwake,,,,,
 
2. Hofu ya CHADEMA juu kupotea kwa Ben Saanane ni kwa sababu BEN alikuwa mkosoaji mkubwa wa Rais Magufuli (kwa mujibu wa Tamko la Chama kupitia Mwanasheria wake mkuu, Tundu Lissu) au ni kwa sababu alikuwa Mfedheheshaji, Mtukanaji na mdhalilishaji mkubwa wa rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Ebu sema alimtukana matusi gani? hata tusi moja tu linatosha. ili Tuwe objective! Tuanzie hapo
MSIJIFANYE HAMFAHAMU HILI......kila mtu kaona na nyie ndio mlikuwa mnamtumia kijana wa watu maana siamini kama BEN hili la kumwandika vibaya la RAISI ilikuwa ni ajenda yake,,,,,ILA NI AJENDA YA cdm
 
Ushahidi wa unachokisema uko wapi. Taja tusi lolote alilomtukana . Siwezi kumtetea mtukanaji. Taja tusi lolote.
 
Tunayemjua anamshilia Ben ni yule kada wa CCM aliyemtumia ujumbe wa kumpeleka Mabwepande.Na lazima mtatueleza tu,mmempeleka wapi mtoto wa Mwenzenu.Chama Cha Majangili tunamihatji kijana Ben HAI
TUNDU LISSU hakusema 0768797982 ni ya kada wa CCM. Anaweza kuwa CHADEMA pia. Ila kiukweli mimi nina wasiwasi na MAWENYEKITI wetu
 
Damu ya mtu ni mbaya sana huwezi kulala kwa raha huwa inamaliza usingizi.
BAVICHA muwe mnaacha jokes wakati tunahoji mambo ya msingi kama haya. Haiwezekani mlete utani wakati Mwenyekiti, Intelijensia na uongozi mzima mmekaa kimya, kweli Lissu ni mtu wa kutumwa kuja kitueleza ule upupu?
 
2. Hofu ya CHADEMA juu kupotea kwa Ben Saanane ni kwa sababu BEN alikuwa mkosoaji mkubwa wa Rais Magufuli (kwa mujibu wa Tamko la Chama kupitia Mwanasheria wake mkuu, Tundu Lissu) au ni kwa sababu alikuwa Mfedheheshaji, Mtukanaji na mdhalilishaji mkubwa wa rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Ebu sema alimtukana matusi gani? hata tusi moja tu linatosha. ili Tuwe objective! Tuanzie hapo
Yataje matusi unayoyajua wewe nitakwambia ametukana lipi kati ya hayo. Matusi siyo yale yalioko ndani ya nguo ya ndani mzazi wako, la hasha.
 
Labda hii filamu ndio operation kata funua tuliyotangaziwa!! Ngoja tuone, time tells no lies
 
Yataje matusi unayoyajua wewe nitakwambia ametukana lipi kati ya hayo. Matusi siyo yale yalioko ndani ya nguo ya ndani mzazi wako, la hasha.
Mimi sijawahi kumsikia anatoa tusi ndio maana nakuomba wewe uliyesema katukana uyataje. Kweli matusi siyo ya nguoni tu. Madiba sijui umesoma kiwango gani, we need to define our terms before embarking on Syllogism backed type of argument. Tusi ni nini? Tukubaliane hapo
 
Back
Top Bottom