baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,663
- 18,090
Mbowe amezidiwa na Lipumba baada ya kustaafishwa siasa na Lissu sasa kaamua kumaliza siasa kama Ryatonga Mrema. Huruma yangu kwa watoto wa watu waliofariki wakijua Mbowe ni mwanamabdiliko ya kweli 😂😂 Huyu mzee anaweza kua nyuma ya mauaji yote na ya Mzee ally kibao na wengine wote Ben saa 8. Lissu amekuja kukomesha siasa za kitapeli na Udalali kudanganya umma na demokrasia ya uongo. Lissu angekua ni mcheza mpira ni Mess au Ronaldo ndo level zake Ronaldo aliwahi kushusha mauzo ya soko la Coca-Cola. Lissu kasababisha Nchi kukosa misaada baada ya kujua wazungu walikua wanapigwa change la macho la uchaguzi hewa na democrasia hewa. Mbowe amegeuka kichekesho kawa Ryatonga Mrema