Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

Mbona kila kukicha habari zake zinazidi kufifia, Je, ndo mmeshakata tamaa na kumtafuta au vipi? Hivi mtu muhimu chadema anaweza kupotea tu na mkakaa kimya mpaka leo hii? Kweli hii laana Mbowe, lisu &Co. haitawaacha wazima!
Kubenea si aliandika last month kwenye gazeti lake kuwa Ben ataonekana soon. it means wanajua alipo....ingawa Malisa GJ alilaani sana andiko hilo
 
Mbona kila kukicha habari zake zinazidi kufifia, Je, ndo mmeshakata tamaa na kumtafuta au vipi? Hivi mtu muhimu chadema anaweza kupotea tu na mkakaa kimya mpaka leo hii? Kweli hii laana Mbowe, lisu &Co. haitawaacha wazima!

CHADEMA WANA DOLA? KWANZA WEWE NILICHAKUAMBIA SITAKI UANDIKE UPUMBAVU WAKO WA KISHETANI HATA MITANDAONI KWA NINI HUSIKII? HII MITANDAO NA MASHINE UNAYOTUMIA NI TECHNOLOJIA YA WAZUNGU UNAOWACHUKIA SANA. KWA NINI BADO UNAITUMIA?
 
Hivi Mnyama Faru unaweza kumfananisha na binadamu B.Saanane tena mtu aliyekitumikia Chama chenu kwa muda mrefu? Faru tunaweza kuwazalisha wengine hata 500, huyo Saanane mtamtoa wapi mwingine?

Hili swali ungemuuliza Majaliwa ningeona una akili sana!
 
Mbona kila kukicha habari zake zinazidi kufifia, Je, ndo mmeshakata tamaa na kumtafuta au vipi? Hivi mtu muhimu chadema anaweza kupotea tu na mkakaa kimya mpaka leo hii? Kweli hii laana Mbowe, lisu &Co. haitawaacha wazima!

Swali ni zuri lakini umelipeleka kwa wrong audience,ungelipeleka Polisi au Tiss
 
Hayawahusu, nyie jadilianeni kuwapoza wale waliokosa mgao wa rambi rambi.
 
Mbona kila kukicha habari zake zinazidi kufifia, Je, ndo mmeshakata tamaa na kumtafuta au vipi? Hivi mtu muhimu chadema anaweza kupotea tu na mkakaa kimya mpaka leo hii? Kweli hii laana Mbowe, lisu &Co. haitawaacha wazima!
Kamuulize SIZONJE
 
Huyo tena ndio wameshamtosa.Hata ile hashtag yake bavicha wameitoa kwenye thread yao
 
mimi simuaminiga lissu, namuonaga kama mpayukaji much know, kwa kweli chochoke anachokisema nakitiliaga mashaka.
 
[HASHTAG]#BringbackBenAlive[/HASHTAG]

He he he hawa jamaa akili zao wanazijua wao tu na kukaa kimya kote huko wanatafuta sinema la kumtolea huku akisindikizwa na heading kubwa kwa mwanahalisi au tz daima
 
Ben Saanane kimya?

Vipi kuhusu Faru John ambaye hadi tume imeundwa kwa ajili yake...?
 
Back
Top Bottom