Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

Yaani wakubwa ndio wanataka habari kama hizi tuwe tunazisoma mtandaoni; hivi hi si ni sawa na kuongeza matahira nchini!?
 
Nimefuatilia kwa makini tamko la CHADEMA lililotolewa na Mh. Tundu Lissu kuhusu kupotea kwa Ben Saanane, Katibu Myeka wa Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA na pia Mkuu wa sera na utafiti katika Chama hicho.

Kusema kweli sijaridhika kabisa na tamko la Tundu Lissu na inatia uchungu kuona watu wazima wanafanya maigizo na maisha ya mtu. Ben ni mtanzania mwenzetu bila kujali itikadi ya vyama. Haingii akilini kuwa ujumbe wa SMS aliyoonesha Lissu ndiyo chanzo cha Ben kupotea. Huu ni ujinga unaoweza kuelezwa wajinga tu watu wenye akili hawawezi kukubaliana ujinga huu.

Niliwaambia humu JamiiForums kuwa Mbowe, Mushi, wanajua Ben alipo. Lakini cha hiyo post iliondolewa haraka humu JamiiRorums. Kuna Dada anayedaiwa kuwa karibu Ben Saanane anayejulikana kwenye mitandao kwa jina la Hilda Newton CHADEMA aliwahi kupost kwenye page yake ya fb alopoulizwa kuwa Ben yuko Africa Kusini alipotumwa kikazi.

Kinachonishangaza zaidi katika sakata Ili Ben Saanane ni ukimya wa muajiri wake hata baada ya taarifa hiyo kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kimataifa. Haiwezekani Katibu Myeka wa Mwenyekiti apotee kwa siku zaidi ya 20 mwajiri usishtuke. Leo mnataka kupaka matope serikali kwa kwa issue ya kijinga kama hii.

Kama SMS za vitisho tumezipata nyingi, mimi mwenyewe nimetishwa Sana mpaka vikao vizito vimekaliwa na viongozi wa chama chenu kunijadili. Mwanasiasa yeyote kutishwa ni issue ya kawaida. Ni kweli serikali inawajibu wa kumlinda kila Raia lakini hiyo haiondoi wajibu wa familia, mwajiri kumlinda mtu wao. Ndiyo maana Tundu Lissu amejenga uzio kwenye nyumba yake.

Kinachotia shaka zaidi ni pale Chama kinapozuia Makada na marafiki wa Ben kujadili suala hilo na kumlazimisha kada wake Malisa GJ kufuta post yake aliyoilaumu gazeti la Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanzania Daima. Mimi naamini suala la Saanane ni la kimkakati wa kisiasa kutaka kuchafua serikali machoni pa kimataifa.

Viongozi CHADEMA Wanamfahamu alipo Ben. Mbowe Mrudishe Saanane akiwa hai.
 
mbona umesoma?
Ndio wakubwa wanacho taka; ila tu waandishi au watu wenye mawazo ya aina hi wakiongezeka tusishangae wazembe wa kufikiri wakiongezeka, kila kitu kina mwanzo wake na mwanzo wa fikra finyu ndio hu sasa umeanza!
 
Sheria ya mkataba wa kazi yake labda ila vinginevyo hata anhejificha miaka 100 ni maisha yake hamna sheria inayombana.
 
Atakuwa mwendokasi akijificha. Hata wazazi wake wasijue?
 
Kama mmemtoa kafara kule jamaa yenu Nigeria aliyowapa utabiri fake mseme tujue
 
Nimefuatilia kwa makini tamko la CHADEMA lililotolewa na Mh. Tundu Lissu kuhusu kupotea kwa Ben Saanane, Katibu Myeka wa Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA na pia Mkuu wa sera na utafiti katika Chama hicho.

Kusema kweli sijaridhika kabisa na tamko la Tundu Lissu na inatia uchungu kuona watu wazima wanafanya maigizo na maisha ya mtu. Ben ni mtanzania mwenzetu bila kujali itikadi ya vyama. Haingii akilini kuwa ujumbe wa SMS aliyoonesha Lissu ndiyo chanzo cha Ben kupotea. Huu ni ujinga unaoweza kuelezwa wajinga tu watu wenye akili hawawezi kukubaliana ujinga huu.

Niliwaambia humu JamiiForums kuwa Mbowe, Mushi, wanajua Ben alipo. Lakini cha hiyo post iliondolewa haraka humu JamiiRorums. Kuna Dada anayedaiwa kuwa karibu Ben Saanane anayejulikana kwenye mitandao kwa jina la Hilda Newton CHADEMA aliwahi kupost kwenye page yake ya fb alopoulizwa kuwa Ben yuko Africa Kusini alipotumwa kikazi.

Kinachonishangaza zaidi katika sakata Ili Ben Saanane ni ukimya wa muajiri wake hata baada ya taarifa hiyo kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kimataifa. Haiwezekani Katibu Myeka wa Mwenyekiti apotee kwa siku zaidi ya 20 mwajiri usishtuke. Leo mnataka kupaka matope serikali kwa kwa issue ya kijinga kama hii.

Kama SMS za vitisho tumezipata nyingi, mimi mwenyewe nimetishwa Sana mpaka vikao vizito vimekaliwa na viongozi wa chama chenu kunijadili. Mwanasiasa yeyote kutishwa ni issue ya kawaida. Ni kweli serikali inawajibu wa kumlinda kila Raia lakini hiyo haiondoi wajibu wa familia, mwajiri kumlinda mtu wao. Ndiyo maana Tundu Lissu amejenga uzio kwenye nyumba yake.

Kinachotia shaka zaidi ni pale Chama kinapozuia Makada na marafiki wa Ben kujadili suala hilo na kumlazimisha kada wake Malisa GJ kufuta post yake aliyoilaumu gazeti la Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanzania Daima. Mimi naamini suala la Saanane ni la kimkakati wa kisiasa kutaka kuchafua serikali machoni pa kimataifa.

Viongozi CHADEMA Wanamfahamu alipo Ben. Mbowe Mrudishe Saanane akiwa hai.
Wewe umemuua Ben, Frey, mrudishe Ben
 
Kinachotia shaka zaidi ni pale Chama kinapozuia Makada na marafiki wa Ben kujadili suala hilo na kumlazimisha kada wake Malisa GJ kufuta post yake aliyoilaumu gazeti la Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanzania Daima. Mimi naamini suala la Saanane ni la kimkakati wa kisiasa kutaka kuchafua serikali machoni pa kimataifa.

Idondoshe hapa mkuu
 
Sasa wewe Frey ni kitu gani kimekushitua sana Chadema wanaposema wanataka zile maiti za Rufiji zipimwe DNA ili tuhakikishe Ben sio mmoja wao?
 
Kwanza inawezekana wanajua walichomfanya make majambazi specialist Ndiyo walinzi wa Mkiti wa chadema
 
Kwa maelezo yako mazuru,yenye mwanga,nafikiri police wakukamate wakuminye utanyoosha maelezo yako,wameshapata pa kuanzia,Kuna kitu unajua
 
Back
Top Bottom