peter phillip
Senior Member
- Nov 12, 2016
- 152
- 75
Watesi wa Dr.Ulimboka vipi,au nawe una mkono wako? Kama no mtaka haki fuatilia hill na mengine ya awali ndo umalizie na lajuzi.Hivi Mnyama Faru unaweza kumfananisha na binadamu B.Saanane tena mtu aliyekitumikia Chama chenu kwa muda mrefu? Faru tunaweza kuwazalisha wengine hata 500, huyo Saanane mtamtoa wapi mwingine?