Freeman Mbowe: Misimamo ya Serikali kuhusu Corona inaathiri wengi

Freeman Mbowe: Misimamo ya Serikali kuhusu Corona inaathiri wengi

Wapo watu hununa kukasirika sana endapo unakataa kumsalimia kwa kumshika mikono, lakini Serikali wakipiga marufuku salam za kushikana mikono wataacha kuwanunua kuwalaumu watu, Mbona awali Serikali walihimiza tahadhari iweje sasa hakuna tahadhari? Wanataka nini?
Mbona Kanisa Katoliki wameacha kusalimiana kwa mikono kwenye ibada na na hakuna anayenuna?
Basi chagua moja kumfurahisha mtu ama kuambukizwa Corona.
 
Mbona Kanisa Katoliki wameacha kusalimiana kwa mikono kwenye ibada na na hakuna anayenuna?
Basi chagua moja kumfurahisha mtu ama kuambukizwa Corona.
Serikali nayo itimize wajibu wake ihimize watu kunawa mikono kupaka vitakasa mikono kuvaa barakoa kuacha salam za mikono
 
Yaani unasema unataka solution but then unataka ile inayokupendeza wewe, kwa mwenye utimamu wa akili atajua wazi wewe hutaki ushauri, unajibaraguza tu.

Hii mentality yenu ndio ujinga anaouzungumzia Mbowe.
Na hatuwezi kuufata ushauri wa mbowe wa kujifungia sababu tu eti yeye na familia yake wana uwezo wa kununua chakula cha miezi sita na kuweka ndani
 
ngoja niwaulize manoropoka hovyo na kushambulia serikali

octoba 2020 corona ilikuwepo au haikuwepo?
kama ilikuwepo mbona TUNDU LISSU alizunguka nchi nzima kumtukana JPM? Hakuogopa kufa kwa corona?

kama haikuwepo ilitokaje ? hovyo kabisa
 
Acha ubwege ufala kipindi cha kampeni hakukuwa na wimbi la wageni kuja Tanzania kama ilivyokuwa mwezi wa 12 ambapo idadi kubwa ya watu tokea india kwenye covid 19 kubwa sasa walimimika Tanzania kwa wingi na pia wengine tokea mataifa mbalimbali wameleta maambukizi makubwa ndiyo maana sasa corona imepamba moto sana
Aisee,ivi mnatumiaga akili au bendera ufata upepo?
Kwaio kabla ya kampeni wageni awakuwa wanakuja,au Covid imeingia tz baada ya kampeni?
Mbowe na genge lake kabla ya kampeni walitoka bungeni kwa siku 14 kukimbia Corona kisha wakarudi tena bungeni kuifata Corona.
Mbowe kawashika akili Nyumbu wa Ufipa.
 
Kwa kuzingatia maambukizi ya corona kwenye nchi zilizoendelea, tahadhari zilizochukuliwa na mafanikio ya tahadhari hizo, idadi ya wagonjwa na idadi ya vifo vya corona kwenye nchi hizo Mbowe aje na ushauri nini kifanyike.

Wakati tunatoa lawama tuwe na solutions pia, ziwe zile zilizofaulu kupambana na hii corona bila kuiathiri jamii na kupelekea watu kufa kwa presha, sukari kupanda, njaa na upweke
Mbowe hawezi kuwa na solutions. Serikali itumie wataalamu wetu vizuri badala ya kutuaminisha umma kuwa hakuna Cov 19 Tanzania.
 
Na hatuwezi kuufata ushauri wa mbowe wa kujifungia sababu tu eti yeye na familia yake wana uwezo wa kununua chakula cha miezi sita na kuweka ndani
kwani tukijifungia ndani yeye anapoteza nini ndugu yangu?mwizi huyu.ruzuku za chama kapora,alikuwa halipi kodi.ana mihera mingi kwenye account zake.
 
Wakuu tuchukue tahadhari Corona ipo hasa maeneo ya City Center,na hii ya sasa ni balaa zaidi hauchukui siku tatu.
Duh we unasema city center..wenzio wanasema kote..kwa hiyo ukiipata city center ukatoka inabaki city center we inakuacha?
 
Shida ya viongozi upinzani ni UNAFIKI wa hali ya juu. Kipindi kile walitoka bungeni kwa hoja ya kwamba Covid inawamaliza Watanzania na kila siku miili inaokotwa barabarani huku Serikali ikiwa kimya.

lakini cha kushangaza miezi michache baadae viongozi hawa hawa wa upinzani wakafanya mikusanyiko na kuongoza mamia ya watu kumpokea Lissu pale Airport

Miezi michache mbele tena, wakaingia katika kampeni za uchaguzi mkuu ambapo huko tumeshuhudia mikusanyiko mikubwa ya watu sehemu mbalimbali

Kipindi chote hicho hakuna kiongozi wa upinzani aliyekuwa akizungumzia corona wala kutoa tahadhari kwakuwa tu walikuwa busy kutafuta malisho yao, sasa kipindi hiki ndipo wanaamka kuanza kutoa matako kuhusiana na corona.

Nawashauri viongozi wa upinzani kuweni na misimamo thabiti juu ya mienendo yenu, kwasababu mnawachanganya sana Wafuasi wenu.
Hii haina uhusiano na Corona ya sasa acha story porojo acha kusaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani muogope mungu, kubali corona ipo sasa fanyia kazi mazingira ya sasa usiishi kwa story za huko nyuma katika mazingira Hatari ya sasa, watu wanataka waepushwe na hili janga sasa siyo story za huko nyuma mwambie mtukufu atoke chato arejee Dodoma ahimize tahadhari kwa kutangaza kuwa corona ipo
 
Serikali nayo itimize wajibu wake ihimize watu kunawa mikono kupaka vitakasa mikono kuvaa barakoa kuacha salam za mikono

Serikali nayo itimize wajibu wake ihimize watu kunawa mikono kupaka vitakasa mikono kuvaa barakoa kuacha salam za mikono
Kila kitu mnataka serikali ihimize.
Kunawa mikono baada ya kujisaidia serikali ihimize,
Matumizi ya choo bora serikali ihimize,
Tohara kwa watu wazima serikali ihimize,
Kujikinga dhidi ya Corona serikali ihimize.
Kuna njia nyingi za kufa kwahiyo mtu asipochukua tahadhari mwache ajifie maana hamna namna wala haja ya kubembelezana.
 
ngoja niwaulize manoropoka hovyo na kushambulia serikali

octoba 2020 corona ilikuwepo au haikuwepo?
kama ilikuwepo mbona TUNDU LISSU alizunguka nchi nzima kumtukana JPM? Hakuogopa kufa kwa corona?

kama haikuwepo ilitokaje ? hovyo kabisa
Lisu baada ya kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni alienda zake Ubelgiji kula bata,na alipofika akukutwa na Corona,ilhali ametoka kwenye nchi yenye hali mbaya ya Corona kama Mbowe anavyojaribu kuongopa.
 
kwani tukijifungia ndani yeye anapoteza nini ndugu yangu?mwizi huyu.ruzuku za chama kapora,alikuwa halipi kodi.ana mihera mingi kwenye account zake.
Mi hata sielewi hawa wanasiasa wa upinzani..wao wanaleta siasa hadi kwenye mambo ya msingi.
 
Ni watoto wangapi unaowafahamu wamekufa kwa Corona?

Bhanae, maisha siyo lelemama tuacheni tufanye kazi.
Kama mwenendo wa nchi unawakera nanyie hamieni Ubelijiji.
Acha ufala endelea kuvuta Bangi mpaka uwe chizi, Yaani kila anayekufa uletewe taarifa hapo gheto kwako unaposhinda ukivuta Bangi? Maisha yapi siyo lelemama hayo ya kuvuta Bangi kuja kusumbua watu mitandaoni? Tukuache ufanye kazi ipi?kazi ya kuacha watanzania wafe kwa Corona?
 
Lisu baada ya kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni alienda zake Ubelgiji kula bata,na alipofika akukutwa na Corona,ilhali ametoka kwenye nchi yenye hali mbaya ya Corona kama Mbowe anavyojaribu kuongopa.
Na mikusanyiko mikubwa ya watu kwa miezi mitatu.
 
Vijana wa Lumumba baada ya kukosa mtu wa kubishana naye baada ya uchaguzi uliopita ambao waliiba bila aibu, sasa wamefurahi kuona Mbowe katoa kauli ili wamshambulie, wasikike na bwana mkubwa awaone!
Wrong pick this time!
 
Acha ufala endelea kuvuta Bangi mpaka uwe chizi, Yaani kila anayekufa uletewe taarifa hapo gheto kwako unaposhinda ukivuta Bangi? Maisha yapi siyo lelemama hayo ya kuvuta Bangi kuja kusumbua watu mitandaoni? Tukuache ufanye kazi ipi?kazi ya kuacha watanzania wafe kwa Corona?
Bila shaka minyoo imeanza kula ubongo ndio maana huwezi kufikiri sawasawa.
 
Lisu baada ya kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni alienda zake Ubelgiji kula bata,na alipofika akukutwa na Corona,ilhali ametoka kwenye nchi yenye hali mbaya ya Corona kama Mbowe anavyojaribu kuongopa.
Acha ujinga kipindi cha kampeni corona haikuwa kubwa kama sasa kwani hata Ndege zilikuwa zinakuja kwa uchache mno, lakini mwezi wa 12 Ndege zimeleta wageni wengi tokea mataifa mbalimbali ndiyo wameleta maambukizi mengi makubwa Tanzania, ni kitu gani kinawazuia Serikali kutangaza kuna corona?
 
Vijana wa Lumumba baada ya kukosa mtu wa kubishana naye baada ya uchaguzi uliopita ambao waliiba bila aibu, sasa wamefurahi kuona Mbowe katoa kauli ili wamshambulie, wasikike na bwana mkubwa awaone!
Wrong pick this time!
Mkuu siyo kila anayetetea serikali kwenye baadhi ya mambo ni Lumumba.
Kwenye issue ya Corona kila mtanzania anatakiwa kuunga mkono msimamo wa serikali.
Mkiendelea kupinga kila kitu mtazidi kujivua nguo zaidi maana sasa hivi mmebakiza nguo ya ndani tu.
Corona siyo hoja ya kujishikiza.
 
Back
Top Bottom