Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
- #81
Kuondoa wale waliokula wa hawamu ya 4 na kuweka walaji wa hawamu ya 5Kama Mbowe ni jipu, haiondoi hao aliowataja. Ikithibitika watumbuliwe tu, maana PM alisema namnukuu maneno yake-Wakati wa Kutumbua Majipu, Hatutamuonea Mtu,mwisho wa kunukuu.
Hivyo kila anaestahiki jipu atumbuliwe tu!
Ila falsafa hii ya jipu sijaipata kinagabaga lengo ni nini?!:-
1. Kuondoa wabadhirifu
2. Kuwashtaki Wabadhirifu
3.Kuondoa wazembe
4. Kuunda Team Mpya
Au hasa ni nini?