Nyei si ndio mlisema fisadi kwenye kampeni zenu nendeni mahakamaniTutaamini vp? Ikiwa walisema Lowassa fisadi na ushahidi wanao, baadaye wakasema Lowassa msafi anayeona ni fisadi atoe ushahidi apeleke mahakamani. Leo kashasahau yote hayo anataka kutuaminisha tena mengine.
hakuna mkuu.always wapinzani lazima wawe wasafi ili serikali isipate mwanya wa kutumbua.Hivi ndani ya chadema hakuna majipu?
Majipu yapo kwenye chama chao ( CHAMA CHA MAJIPU CCM)Hivi ndani ya chadema hakuna majipu?
Pale Lumumba kuna chumba maalum cha majipuhakuna mkuu.always wapinzani lazima wawe wasafi ili serikali isipate mwanya wa kutumbua.
swissme
Bila kusahau mchungaji Msigwa, Lema, Mbowe na Dk Slaa!! Msigwa akaenda mbali zaidi kwa kusema anayemsapoti Lowassa akapimwe akili. Lema naye hakuwa nyuma kusema ni heshima kubwa kumzomea fisadi Lowassa mitaani! Na akashangaa kwa nini wananchi wanaua vibaka na kuacha Lowassa akila misele barabarani!KAMA Ilivyo Kwa Wale Waliokuwa Wakisisitiza Kuwa Wana Ushaidi Wa KUITHIBITISHIA MAHAKAMA Ufisadi Wa Mh. LOWASSA, ALISEMA Hivyo SAMUEL SITTA, HARRISON MWAKYEMBE, YUSUPH MAKAMBA, MAKONGORO NYERERE, JAKAYA KIKWETE, HUMPHREY POLE POLE, ABDALAH BULEMBO N.k .TENA Walizunguka Nchi Nzima Kusema Wana USHAIDI Wa Kuthibitisha Hilo Mbele Ya MAHAKAMA!!! SASA WATANZANIA WANASUBIRI Kuona MAFISADI WAKUBWA WALIOTAJWA Kipindi Cha KAMPENI Wakikamatwa, Wakihojiwa, Wakishitakiwa, Wakifungwa Na Wakifiisiwa Mali Zao Zooote!!!!! HATA Wale Walionunua MELI CHAKAVU Kwa Billion 8 Na KUMDANGANYA MAGUFULI Wkt Wa KUIZINDUA, Kuwa Ni MPYA!!!! YAANI "MAJIPU " Makubwa Hayajaguswa Kabisa!!
Usikute unamfananisha na mzee wa barabara za Big GMbowe naye ni jipu linalosubiri kutumbuliwa Hai
NYUMBA ZA SEREKALI SIYO BUSHA KWELI MAANA NIZAIDI YA JIPUBila kusahau mchungaji Msigwa, Lema, Mbowe na Dk Slaa!! Msigwa akaenda mbali zaidi kwa kusema anayemsapoti Lowassa akapimwe akili. Lema naye hakuwa nyuma kusema ni heshima kubwa kumzomea fisadi Lowassa mitaani! Na akashangaa kwa nini wananchi wanaua vibaka na kuacha Lowassa akila misele barabarani!
Mbowe kazi yake ni kusimamia duka(chedema)..kwa maelekezo ya mkwewe Mtei.Usikute unamfananisha na mzee wa barabara za Big G
Wakitoa ushahidi naacha siasaKAMA Ilivyo Kwa Wale Waliokuwa Wakisisitiza Kuwa Wana Ushaidi Wa KUITHIBITISHIA MAHAKAMA Ufisadi Wa Mh. LOWASSA, ALISEMA Hivyo SAMUEL SITTA, HARRISON MWAKYEMBE, YUSUPH MAKAMBA, MAKONGORO NYERERE, JAKAYA KIKWETE, HUMPHREY POLE POLE, ABDALAH BULEMBO N.k .TENA Walizunguka Nchi Nzima Kusema Wana USHAIDI Wa Kuthibitisha Hilo Mbele Ya MAHAKAMA!!! SASA WATANZANIA WANASUBIRI Kuona MAFISADI WAKUBWA WALIOTAJWA Kipindi Cha KAMPENI Wakikamatwa, Wakihojiwa, Wakishitakiwa, Wakifungwa Na Wakifiisiwa Mali Zao Zooote!!!!! HATA Wale Walionunua MELI CHAKAVU Kwa Billion 8 Na KUMDANGANYA MAGUFULI Wkt Wa KUIZINDUA, Kuwa Ni MPYA!!!! YAANI "MAJIPU " Makubwa Hayajaguswa Kabisa!!
Halijaiva tu?Mbona Magu halitumbui?Jipu LA Richmond nalo amelitaja?
Kama vile hayo hajipu yaliyotajwa hapo yakiguswa ccm kwisha habari yake maana mtavuliwa nguoMbowe kazi yake ni kusimamia duka(chedema)..kwa maelekezo ya mkwewe Mtei.
Ndio maana Suma Lee alisema kaja ukawa kuwafundisha jinsi kazi za serikali zinavyofanywa...suali hilo alishawahi kujibiwa Kubenyea na Suma lee...nenda kamuulize!NYUMBA ZA SEREKALI SIYO BUSHA KWELI MAANA NIZAIDI YA JIPU
Musika mkuu si ametajwa hapo juuHalijaiva tu?Mbona Magu halitumbui?
Sasa wewe ulivyofundishwa inamisha mgogo hapo lumumba ndio unafikiri huku watu wanafundishwa tuu huku nikwawaerevuNdio maana Suma Lee alisema kaja ukawa kuwafundisha jinsi kazi za serikali zinavyofanywa...suali hilo alishawahi kujibiwa Kubenyea na Suma lee...nenda kamuulize!
Naona jiwe limekupata ukakimbilia nyumba!!!NYUMBA ZA SEREKALI SIYO BUSHA KWELI MAANA NIZAIDI YA JIPU
