Freeman Mbowe, kwanini maridhiano sasa?

Freeman Mbowe, kwanini maridhiano sasa?

Siasa Za Kiafrika Ni Zakufikirika Ndo Maana Haya Yanatokea
 
Acheni unafiki kwani hakuna msilolijua. Chadema haijawahi kupambana na ccm bali vyombo vya kimamlaka vilivyoko chini ya ccm. Mf rahisi kabisa ni majuzi tu kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Chadema walikumbana na vikwazo toka kwa Watendaji Kata/Vijiji na siyo ccm.
Sasa hapo ndo umeongea nini! Unataka kusema ccm ni wema kwa chadema ila wabaya ni vyombo vilivyo chini ya ccm?
 
Naona unahaha baada ya JPM kuwakubali cdm sasa utakufa kwa njaa maana kazi yako ya kupeleka majungu kwa JPM dhidi ya CDM sasa imekwisha
Mbowe siyo mpinzani. Mbona kila mambo yakitaka kuiva anabadili gia angani? Hivi unajua asingebadili gia angani 2015 chadema ingekuwa ikikoroma JPM angekuwa anaufyata. Maana morali ya vijana ilikuwa juu sana under Dr Slaa. Walikuwa tayari kwa lolote. Baada ya yy kutoka vijana morali imekufa mnabakia na kuomba poo
 
Kama hamtaki mkajinyonge maana hamna faida kwa taifa
Wapinzani wa nchi hii ni wapumbav* sana sijawahi kuona. Inakuwa je unalinganisha Hand Shaking ya Odinga na Kenyatta na ombi la Mbowe kwa JPM?

Hivi mkiulizwa ni maridhiano gani mbowe walikuwa anaomba MNA jibu?

Msivyo na akili mtasema uminywaji wa Demokrasia. Je Chadema kuna Demokrasia?
 
Lumumba hamna kazi tena dadeeeki JPM KESHA wageuka sijui majungu yenu mtamuuzia nani
Very true...jamaa ameitazama 2020, anapojiona hana Mbunge na Hana biashara.
 
Kudadadeeeki kazi yenu ya kukaba watu sasa basi
Wapinzani wa nchi hii ni wapumbav* sana sijawahi kuona. Inakuwa je unalinganisha Hand Shaking ya Odinga na Kenyatta na ombi la Mbowe kwa JPM?

Hivi mkiulizwa ni maridhiano gani mbowe walikuwa anaomba MNA jibu?

Msivyo na akili mtasema uminywaji wa Demokrasia. Je Chadema kuna Demokrasia?
 
Huyo ni kati ya vijana hatari sana kwa mstakabali wa Amani ya taifa letu
Haya tueleze wewe mwenye akili uliyebwabwaja bila kutoa hoja yenye akili, Mbowe aliomba maridhiano gani?
 
Lile halikuwa swala la mbowe Bali kamati kuu ya chama chao.
Ofcoz ndio maana makamanda wote walikuwa wamejaa uwanjani . Sasa kazi ni kupiga ramli nini lengo lao la mkiingia kichwa kichwa jasho litawatoka. Mi sijaelewa maridhiano ya kitu gani mpaka sasa
 
Salamu wanajamvi!
Kwa muda mrefu sana nimekuwa msomaji tu wa posts za wanajamvi wengine binafsi nilikuwa sichangii chochote! Muda wote nilikuwa napenda kusoma posts za Great thinkers na kuacha za no brains!


Nini kimenisukuma kuchangia leo?
Mosi, Vijana wengi hawajui kwamba kitendo cha Mheshimiwa Mbowe kushiriki Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika kimetokana na tips anazo pata kutoka ndani ya System! Yeye anatumia kama advantage tu!! Kimsingi 2020 Nchi inaingia kwenye uchaguzi mkuu.

Kama Nchi hatuwezi kumudu gharama za Process nzima ya Uchaguzi. Tunahitaji Msaada. Wafadhili wameweka msimamo!! Masharti yanataka kuwe na Political agreement between Parties! Wapi waanzie? CHADEMA Wamevunja ukimya !! And very soon msimamo wa Jiwe utabadilika Kabisa.

Nchi masikini in ngumu sana kujitegemea. Wazungu wanalijua hill vizuri. Wanajua wakati sahihi wa kukubana.
 
Nchi masikini in ngumu sana kujitegemea. Wazungu wanalijua hill vizuri. Wanajua wakati sahihi wa kukubana.
Safi sana kwa bandiko kama gharama za uchaguzi tu zinatushinda mpaka tutembeze bakuli kwa hao tunowaita Mabeberu si aibu sana hii.
 
Kama ingewezekana neno chadema lifutwe kabisa linaumiza limetuletea shida sana yaaani imetufanya hata kufikiri kawaida tumeshindwa msajili tuokoe baba
 
CHADEMA wangekuwa wapinzani wa kweli hiyo ndio ilikuwa nafasi pekee ya kusimamia ajenda hasa kupata tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya.

Bahati nzuri wananchi tayari walishaonyesha kuwaunga mkono, hata Jumuiya ya kimataifa ilikuwa pamoja nao..

kitendo cha kugoma kujiandikisha kugoma kupiga kura na kuwakataa baadhi ya wateule huko mitaani ilikuwa pigo kubwa kwa CCM.

Ila sasa wamewapa CCM pumzi mpya mbele ya jumuiya ya Kimataifa.

Ila kwa sababu wanajali matumbo yao ndio maana wanatupuuza wananchi...
 
CHADEMA wangekuwa wapinzani wa kweli hiyo ndio ilikuwa nafasi pekee ya kusimamia ajenda hasa kupata tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya.

Ila kwa sababu wanajali matumbo yao ndio maana wanatupuuza wananchi...
Sasa unalaumu tu wakati hujui hayo maridhiano yatalenga wapi labda ndio mwanzo wa kupata tume huru na katiba mpya who knows.
 
CHADEMA wangekuwa wapinzani wa kweli hiyo ndio ilikuwa nafasi pekee ya kusimamia ajenda hasa kupata tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya.

Ila kwa sababu wanajali matumbo yao ndio maana wanatupuuza wananchi...
Mkuu mwanzo wa ngoma ni lele. Au ulitaka Mbowe azungumze hayo yote kwenye hadhara ile aliyopewa sekunde chache za kusalimia?
 
Wafadhili wameweka msimamo!! Masharti yanataka kuwe na Political agreement between Parties! Wapi waanzie? CHADEMA Wamevunja ukimya !! And very soon msimamo wa JPM utabadilika Kabisa.
Mkuu Jerusalem, karibu
Siamini kama ni Wazungu bali ni Magufuli is changing for the better towards the best
P
 
JERUSALEMU,
Kichwa cha habari ni kizuri

Umeanza utangulizi mzuri, umebonga katikati na mwishoni. Ukweli Nchi haiwezi kushindwa kufanya uchaguzi, uchaguzi utafasanyika sawa na huu wa serikali za mitaa. Zaidi ya hapo hukuhitaji blaaa blaa kwa kichwa cha habari kinajitosheleza, hauhijaji maneno mengi mengine.
 
Sasa CHADEMA wanampa Magufuli. nafasi ya kupumua badala ya wao kuzidisha kimonyo ili aheshimu demokrasia.

Naanza kuamini kuwa CHADEMA ni chama ruzuku, kinataka uchaguzi ufanyike ili mradi ya kufanyika ili kiendelee kupata ruzuku. Pengine hakina nia ya dhati wala shauku kali ya kushika dola

Yaani pamoja na walivyofanyiwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, wanakwenda kukenua meno mbele ya JPM mwanza eti kwa hoja ya maridhiano, maridhiano yepi?

Chadema hawaombi maridhiano wanaomba huruma wasionewe, na huo ni unyonge mkubwa.

Katika vitu ambavyo Chadema hawakutakiwa kufanya this time ni kuonyesha unyonge, kutaka huruma, kulialia etc

Kete ya Uchaguzi mkuu ilitakiwa itumike kumlazimisha JPM atende haki.

Sasa hivi JPM yuko embolden, anawaona CHADEMA kama makinda ya ndege yanayoomba kuhurumiwa yarushiwe tonge
 
Back
Top Bottom