Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,828
- 5,968
Muda utaongea
Sure, hatuhitaji msaada!Hivi bajeti ya uchaguzi mkuu huwa sh. Ngapi, sidhani kama tunahitaji msaada wapesa za kufanyia uchaguzi
Unatania wewe CCM watoe tume huru ya uchaguzi kwenye kisahani.?Sasa unalaumu tu wakati hujui hayo maridhiano yatalenga wapi labda ndio mwanzo wa kupata tume huru na katiba mpya who knows.
Kaka vita vimekwisha toka msituni tujenge nchi.Mkuu umeongea vema.
Mbowe na wanao mpondea hili wazo lake la maridhiano nawafananisha Luther King Jr na Malcolm X.
Mbowe ni kama Luther King Jr na wakosoaji wake ni kundi la Malcolm X.
Wakati fulani lazima utumie njia za kidiplomasia zaidi kulingana na mazingira ya vita na aina ya adui wako na nyenzo zake.
Nasimama na Mbowe, maridhiano sio kushindwa vita.
Kweli kabisa umenena Rais aendelee kuchapa kazi tu, eti maridhiano !Maridhiano yaje baada ya uchaguzi 2020. Tumeshagundua janja yenu mnajua mwaka kesho hampati hata mbunge mmoja. Rais Magufuli usikubali janja ya nyani...!!
Hii nchi kwa sasa haina upinzani, kuna CCM A na BKesha waacheni solemba nyinyi waramba miguu sasa yeye na upinzani ni 100%
Hii nchi kwa sasa haina upinzani, kuna CCM A na B

SIASA NI JAMBO LINALOONGOZWA KWA NYAKATI? kwahiyo NYAKATI za Sasa Ni kuwasaliti uliovuja nao jasho na kutanguliza maslahi yako binafsi?
Inavyoonekana umesoma uzi Ila hujaelewa au umepita na kuchagua maeneo ambayo unaweza ukayajengea hoja japo hoja zenyewe imejikita katika fasihi badala ya mada.
Wakiomba watasamehewa hakuna shida wote ni wa TZ.Hichi kinachoitwa maridhiano na hawa jamaa sijui ni kitu gani a see..
Wao ndio waliotamka nchi haitawaliki..bado kuna Yule Msanii wa Maigizo na uchekeshaji Mr.Tundu kutwa kuzurura kuichafua nchi.
Waombe radhi kwanza
Maridhiano juu ya nini? Sema Chadema imenyoosha mikono. Imeushindwa muziki wa Jiwe sasa wanaomba poo kiaina, eti maridhiano. Na vijana wa Chadema mliojana humu mmeshupalia maridhiano, maridhiano! Yapi? Ninyi si mna msemo "mpaka kieleweke"? Vipi sasa kubembeleza maeidhiano!!!?Usipotoshe nia nzuri ya Mbowe
Maridhiano ndiyo njia pekee ya kistaarabu kufikia maelewano
Ngoja nikuulize swali dogo tu, hivi kina Mandela walifkia maridhiano Afrika Kusini, kuna mtu alilaumu uamuzi huo??
Hivi Uhuru Kenyatta wa Kenya kufanya maridhiano na Odinga, kuna watu wanalaumu??
Unapoweka nchi mbele zaidi ya ubinafsi, unaweza ukafikia maridhiano, lakini unaooweka ubinafsi mbele ni lazima hutapendekeza yafikiwe maridhiano
Kwa hiyo wapinzani wa nchi hii wanalazimika kumpongeza Mbowe, kwa kuamwambia Rais Magufuli kuwa wao upinzani wako tayari kwa maridhiano..........
Kwa hiyo kazi kwake yeye Rais Magufuli, kama ataweka mbele.maslahi ya Taifa, ataridhia ombi hilo la Mbowe na kama ataweka mbele maslahi binafsi yake yeye mwenyewe binafsi, atayakataa
Hii ndio falsafa ya wasio na hoja! Yaani mawazo yenu mgando hamtaki wenye akili kubwa kuyakandia! Kwa taarifa yako, huyo ndiye rais wako ajaye 2020! Lamba jivu upooze kiungulia!Huyo msaliti wa nchi anapashwa kutoswa kabisa akae huko huko!