Freeman Mbowe kushuhudia Hukumu ya Mdude Nyagali Mahakama Kuu ya Mbeya

Nadhani hata akisema tu madawa ayapeleke kwenye anwani fulani Ubungo au Rorya nako pia ni kusafirisha, na kupokea malipo kwa tigopesa nako pia; hata kama safari ilianzia Vwawa ikaishia Kundus nchini Pakistan huko nako ni kusafirisha. Zamani walitumia ngamia jangwani au meli baharini siku hizi ni Google. Tushukuru nji yetuTanzania ni nchi yenye katiba inayolinda raia wake na kuwapa nafasi ya kujitetea nahakamani. China au Kenya angekula risasi wakati akikamatwa.
Hadithi nzuri sana, kama tu, yasinge kuwa yanajulikana yaliyo nyuma ya pazia!
Kuhusu risasi, Lisu alifyatuliwa makao Makuu ya nchi bila kukutwa na madawa yoyote!
 
Kwa maombi ya watanzania kesho mdude mda Kama huu atakuwa anaungana na mamilioni ya Tanzania kwenye social media huku akifurahia ukuu wa Mungu daima
 
Mdude Nyagali , ambaye amepewa kesi ya kusafirisha na kusambaza madawa ya kulevya kutoka Pakistan na kuyaleta Mlowo Mbozi , huku akiwa hajawahi kumiliki HATI YA KUSAFIRIA .
Chalamila Mungu anamuona.
Nyana nhana
Ulakafa wichaye
God will curse you
Kyala aikunguna.
 
Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe atakuwepo Mahakamani Mbeya kushuhudia hukumu ya Mdude Nyagali , ambaye amepewa kesi ya kusafirisha na kusambaza madawa ya kulevya kutoka Pakistan na kuyaleta Mlowo Mbozi , huku akiwa hajawahi kumiliki HATI YA KUSAFIRIA .

Tayari Jiji la Mbeya lilishaanza kuzidiwa na wageni baada ya maelfu ya watu wakiwemo Waandishi wa Habari wa Kimataifa kusogea ili kujionea hukumu ya kijana huyo , ambaye amekwishatekwa mara kadhaa na kushindikana kuuawa .

View attachment 1817280
Kama mtu mwenyewe anaitwa Mdude ataachaje kusafirisha madawa?
 
Magu fool alikua shetani
Usimfananishe shetani na vitu vya kijinga na kipumbavu.
Shetani pamoja na kumuasi MUNGU hajaweza hata kumfikia nusu magu fool.
Yule mzee alikuwa ni zaidi ya shetani, na alivyo mnafiki linabeba rozali linaingia kanisani na linapokea sacrament.
Mi nafikiri huko hukumuni inabidi wawashe moto mpya ambao ni mkali *100000000 ya moto uliopo ili achomwe huyo dikteta
 
JPM. Mnampenda sana. Mana kafa Lakini hamlali. Huyu mdude niliwahi soma Mabandiko yake. Matusi na ukosefu wa Normal ustaarabu ambao binadamu hata kichaa hawezi kuukosa. Sasa ndo huyu mnamwandika kama mwanaharakati. Are you people serious. Mmeumbwa tofauti sana.
KUWA MSTAMILIVU MAANA YAKE NINI? Kama kiongozi hawezi kuwa mstahimilivu maana yake atawamaliza watu wake maana katika hao unaowaongoza wamo VICHAA,WALEVI WA KILA AINA,MALAYA,WACHAWI,WAONGO,WANAFIKI,WATU WEMA, WEZI,WAHUJUMU UCHUMI,WACHA MUNGU,WAKIMYA,WANENAJI -NK,NK. Wote hawa ni watu wako na kama hutaki hupendi na hutaki kuwavumilia kiongozi,
 
Magufuli alikuwa hafai kanisani wala mbinguni,aendelee kusota kaburini milele na milele amina
 
Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe atakuwepo Mahakamani Mbeya kushuhudia hukumu ya Mdude Nyagali , ambaye amepewa kesi ya kusafirisha na kusambaza madawa ya kulevya kutoka Pakistan na kuyaleta Mlowo Mbozi , huku akiwa hajawahi kumiliki HATI YA KUSAFIRIA .

Tayari Jiji la Mbeya lilishaanza kuzidiwa na wageni baada ya maelfu ya watu wakiwemo Waandishi wa Habari wa Kimataifa kusogea ili kujionea hukumu ya kijana huyo , ambaye amekwishatekwa mara kadhaa na kushindikana kuuawa .

View attachment 1817280

Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe atakuwepo Mahakamani Mbeya kushuhudia hukumu ya Mdude Nyagali , ambaye amepewa kesi ya kusafirisha na kusambaza madawa ya kulevya kutoka Pakistan na kuyaleta Mlowo Mbozi , huku akiwa hajawahi kumiliki HATI YA KUSAFIRIA .

Tayari Jiji la Mbeya lilishaanza kuzidiwa na wageni baada ya maelfu ya watu wakiwemo Waandishi wa Habari wa Kimataifa kusogea ili kujionea hukumu ya kijana huyo , ambaye amekwishatekwa mara kadhaa na kushindikana kuuawa .

View attachment 1817280
Tangu anakamatwa, anashtakiwa na akiwa rumande, Mwamba Mbowe HAKUWAHI kuonekana. Kesho Mdude anahukumiwa, Mwamba Mbowe anakwenda kushuhudia kama analimwa mvua nyingi au kama ni kidogo Mwamba Mbowe akate rufaa! Viva Mbowe Viva!!!
 
Wakuu nataraji mumeamka salama popote pale mlipo, nadhani mnamfamu kijana Mdude anaekabiliwa na kesi katika mahakama ya Mbeya ikiwa leo ni siku ya hukumu yake, nawaomba tumuombee nusra ya kupata uhuru wake kiubinadamu bila kujali itikadi zetu za vyama, dini na ukanda.
 
Wakuu nataraji mumeamka salama popote pale mlipo, nadhani mnamfamu kijana Mdude anaekabiliwa na kesi katika mahakama ya Mbeya ikiwa leo ni siku ya hukumu yake, nawaomba tumuombee nusra ya kupata uhuru wake kiubinadamu bila kujali itikadi zetu za vyama, dini na ukanda.View attachment 1818117
Ushindi wako leo Mungu amekutembelea na Leo unauona mkono wake?
 
Back
Top Bottom