Freeman Mbowe kushuhudia Hukumu ya Mdude Nyagali Mahakama Kuu ya Mbeya

Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe atakuwepo Mahakamani Mbeya kushuhudia hukumu ya Mdude Nyagali , ambaye amepewa kesi ya kusafirisha na kusambaza madawa ya kulevya kutoka Pakistan na kuyaleta Mlowo Mbozi, huku akiwa hajawahi kumiliki HATI YA KUSAFIRIA .

Tayari Jiji la Mbeya lilishaanza kuzidiwa na wageni baada ya maelfu ya watu wakiwemo Waandishi wa Habari wa Kimataifa kusogea ili kujionea hukumu ya kijana huyo, ambaye amekwishatekwa mara kadhaa na kushindikana kuuawa.

View attachment 1817280
Nilitegemea Leo tutapata live update kutoka mahakamani

Naomba ufanye hivyo mkuu baadae unidai pepis big
 
JPM. Mnampenda sana. Mana kafa Lakini hamlali. Huyu mdude niliwahi soma Mabandiko yake. Matusi na ukosefu wa Normal ustaarabu ambao binadamu hata kichaa hawezi kuukosa. Sasa ndo huyu mnamwandika kama mwanaharakati. Are you people serious. Mmeumbwa tofauti sana.

Kwahiyo ukikosoa au kuandika matusi unampa mtu kesi y madawa y kulevia. Huu ni uonevu. Nakumbuka mara zote mbili alishinda kesi zote zilizohusu kukashifu utawala wa awamu y 5. Kukosoa ni haki ya mtu kikatiba. Km mmeona kwenye andiko kuna matusi basi mshitaki kwa hilo.
 
JPM. Mnampenda sana. Mana kafa Lakini hamlali. Huyu mdude niliwahi soma Mabandiko yake. Matusi na ukosefu wa Normal ustaarabu ambao binadamu hata kichaa hawezi kuukosa. Sasa ndo huyu mnamwandika kama mwanaharakati. Are you people serious. Mmeumbwa tofauti sana.
Hiyo ndiyo adhabu ya matusi?
 
JPM. Mnampenda sana. Mana kafa Lakini hamlali. Huyu mdude niliwahi soma Mabandiko yake. Matusi na ukosefu wa Normal ustaarabu ambao binadamu hata kichaa hawezi kuukosa. Sasa ndo huyu mnamwandika kama mwanaharakati. Are you people serious. Mmeumbwa tofauti sana.
Kwa hiyo hayo matusi ndio yalikuwa yanasafirisha madawa
 
Mataga wanaumia Sana siku hizi hawaoni viroba baharini,DPP akichuana makusanyo na TRA kwa kulazimisha watu kununua uhuru wao,kamatakamata ya mapolisi,Chato imekufa kibudu, intellegencia zionazo viashiria kwenye mikutano ya wapinzani pekee hazipo tena yaani raha kabisa watu wapo huru na nchi inasonga hii inawaumiza Sana Mataga.
#Mama uishi miaka mingi#
 
Back
Top Bottom