Mdude_Nyagali
Member
- Dec 11, 2022
- 60
- 1,237
Mungu ni mwema, kesi ya haki ya kuandamana imesikilizwa leo mahakama kuu Mbeya. Mawakili wa serikali waliweka mapingamizi ya awali matatu;
1. Wanadai tumefika mahakamani bila kusubiri rufaa yetu kwa waziri. Kama mtakumbuka baada ya OCD kuzuia maandamano yetu tulikata rufaa kwa waziri na waziri hajawahi kujibu mpaka leo.
2. Hatujamuunganisha IGP. Wanadai aliyepaswa kushtakiwa ni IGP na sio OCD licha ya kwamba OCD ndiye anayehusika na masuala yote ya maandamano na mikutano.
3. Tarehe ya maandamano imepita. Hivyo wanadai hata mahakama ikitupa haki ya kuandamana tarehe husika ya maandamano ilishapita.
Jaji atatoa uamuzi 14th December 2023.
Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu