Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi za Makao Makuu Mapya ya Chama Mikocheni

CHADEMA YAONA CCM IMENUIA TAIFA LETU KUTEKWA NA KUNDI MOJA LA WATU WACHACHE

1705110530050.png

Picha maktaba : Freeman Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Taifa zima linajitayarisha kusikiliza kauli ya mwenyekiti kamanda Freeman Aikael Mbowe kufuatia mkwamo mwingine baada ya mazungumzo ya maridhiano kukwamishwa.

Na sasa nafasi nyingine iliyokuwa imebaki, bunge la chama kimoja kongwe dola CCM kupitia wakala wake yaani Kamati ya Kudumu ya Bunge ya masuala mazito yaani utawala, sheria na katiba ya bunge kuonekana nayo mwenendo wake unatia shaka kubwa ya kutishia umoja na mtengamano wa tafa letu Tanzania.
 
Kwanini nisiumie miaka 22 ruzuku tunapokea Act wazalendo juzi tu wameshusha kitu Cuf wanalo hekalu la buguruni tumekosa nini sisi bora hata tungefanyia kule machame!
Kipindi hicho wakiwa ufipa kwa miaka yote tueleze ulipungukiwa na nini? Hukubeba mimba? Mumeo alikuwa hakufikishi? Ulikuwa huingii period?
 
Kipindi hicho wakiwa ufipa kwa miaka yote tueleze ulipungukiwa na nini? Hukubeba mimba? Mumeo alikuwa hakufikishi? Ulikuwa huingii period?
Kubeba mimba nilikuwachia wewe naona umezaa bila mpangilio kila bamvua mwana haya umefaidika na nini tumia uzazi wa mpango dada!
 
Back
Top Bottom