Freeman Mbowe, halipwi mshahara wowote na chama wala posho

Mmmmmh, mwenzangu hizo taarifa uliziamini? Mbona Mkuu wa Mawasiliano Ikulu wakati ule alikanusha?

Haaa kumbe kakanusha bila ushahidi ama uthibitisho kwamba rais analipwa kiasi gani? Hivi ni halali kuhoji ushahidi wa mbowe kwamba halipwi mshahara wakati huo huo iwe si sawa kuhoji ushahidi kwamba Magufuli anajilipa mshahara wa milioni 400! Whether Tanzanians no wonder hao wahisani wametuchoka kwa usanii kama huu!
 
Na Dr. Slaa alikuwa anajitolea au alikuwa alipwi mshahara? Mbowe anajitolea vipi wakati ruzuku anakusanya yeye kimsingi Mbowe ndiyo mmiliki wa Chadema nani sasa anamlipa mshahara ndiyo maana alikuwa anamlipa Dr.Slaa mshahara wa milioni 11 nyumba na gari Dr.Slaa alikuwa muhajiriwa wa Mbowe
Hehehe hawa wanajichanganya tu
 
Maisha marefu wakati yeye ndiyo anakusanya ruzuku ya chama na kuipangia matumizi.
Ritz hata kama tunatofautiana mitazamo Mbowe kwa kweli anajituma sana hivyo hata kama nikiambiwa hapokei mshahara naweza kukubaliana nae kabisa.
 
Hehehe anajitolea lipi sasa!!
Ku badili katiba
 
  • Thanks
Reactions: nao
Ritz hata kama tunatofautiana mitazamo Mbowe kwa kweli anajituma sana hivyo hata kama nikiambiwa hapokei mshahara naweza kukubaliana nae kabisa.
Ng'wanapagi

Ni kweli anajituma sikatai lakini ili la ruzuku kukusanya yeye mbona linakuwa gumu watu kulikubali.
 
Baada ya wengi sana jana kuhoji mshahara wa mwenyekiti wa chadema .mh freeman mbowe kufuati mh rais kutaja mshara wake. HILI NDIO JIBU LAKE

Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe halipwi mshahara wowote na Chama. Amekitumikia Chama kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka 20 akiwa Mjumbe wa Kamati Kuu tangu aliposhiriki kuasisi Chama 1992, Mwenyekiti wa Vijana Taifa na baadaye Mwenyekiti wa Taifa kuanzia mwaka 2004.
Mbali na mshahara, Mbowe halipwi posho wala stahiki ya aina yeyote kama gari, nyumba, mawasiliano n.k na Chama. Utendaji wake ndani ya Chama ni wa kujitolea na kutoa.

Utamaduni huu umejengwa na viongozi wengi ndani ya Chadema kuanzia ngazi ya juu hadi chini.

Wanaolipwa posho ni watendaji wachache wanaofanya kazi full time katika ngazi ya Taifa na Kanda. Wabunge na madiwani wote walio na wadhifa wowote ndani ya Chama au katika Mabaraza yake nao hujitolea kwa asilimia 100 kwa kila namna watendapo majukumu yao ndani ya Chama. Hawapokei mishahara wala posho mbili mbili.

Hivyo Mbowe na viongozi wenzake wengi wa ngazi mbalimbali hawalipwi na Chama bali wao hukigharamia Chama kiweze kukua na kutekeleza majukumu yake kadiri iwezekanavyo.

Chanzo : Afisa habari Chadema
. Tumaini Makene
Natamani ningeupata ule waraka wa Marehem Chacha Wangwe uwekwe humu ili watu waumbuke,Kuna upigaji mwingine ni bora mtu alipwe tu mshahara.
 
Danganya toto hiyo. Hahahaaa!!! Ajitolee bure siyo rahisi. Lazima kuna sehemu anafidia tu mtakemsitake acheni danganya watu nyie
 
Ng'wanapagi

Ni kweli anajituma sikatai lakini ili la ruzuku kukusanya yeye mbona linakuwa gumu watu kulikubali.
Nashukru kwa kukubali ukweli kuwa anajituma,sasa kaka hapo kwa vile hakuna kati yetu nayefahamu kuwa Mbowe anapiga juu kwa juu basi tusimhukumu.
 
Haaa kumbe kakanusha bila ushahidi ama uthibitisho kwamba rais analipwa kiasi gani? Hivi ni halali kuhoji ushahidi wa mbowe kwamba halipwi mshahara wakati huo huo iwe si sawa kuhoji ushahidi kwamba Magufuli anajilipa mshahara wa milioni 400! Whether Tanzanians no wonder hao wahisani wametuchoka kwa usanii kama huu!
MMMMMh, malumbano au mijadala mingine bwana ni shiiida kwa heri bwana...
 
Wengi watapinga ila ndio ukwel

Nawaomba walete
Mshahara wa mwenyekit wa ccm pmj na katibu mkuu jangili tuone
 
Hata Makanisani wachungaji wanalipwa mishahara! Mwenyekiti wa Chama tawala kitarajiwa baada ya karne nne ndiyo asilipwe mshahara kweli? Wadodosaji wa mishahara Lissu na Zitto leteni maoni yenu kuhusu hili!
 
Baada ya wengi sana jana kuhoji mshahara wa mwenyekiti wa chadema .mh freeman mbowe kufuati mh rais kutaja mshara wake. HILI NDIO JIBU LAKE

Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe halipwi mshahara wowote na Chama. Amekitumikia Chama kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka 20 akiwa Mjumbe wa Kamati Kuu tangu aliposhiriki kuasisi Chama 1992, Mwenyekiti wa Vijana Taifa na baadaye Mwenyekiti wa Taifa kuanzia mwaka 2004.
Mbali na mshahara, Mbowe halipwi posho wala stahiki ya aina yeyote kama gari, nyumba, mawasiliano n.k na Chama. Utendaji wake ndani ya Chama ni wa kujitolea na kutoa.

Utamaduni huu umejengwa na viongozi wengi ndani ya Chadema kuanzia ngazi ya juu hadi chini.

Wanaolipwa posho ni watendaji wachache wanaofanya kazi full time katika ngazi ya Taifa na Kanda. Wabunge na madiwani wote walio na wadhifa wowote ndani ya Chama au katika Mabaraza yake nao hujitolea kwa asilimia 100 kwa kila namna watendapo majukumu yao ndani ya Chama. Hawapokei mishahara wala posho mbili mbili.

Hivyo Mbowe na viongozi wenzake wengi wa ngazi mbalimbali hawalipwi na Chama bali wao hukigharamia Chama kiweze kukua na kutekeleza majukumu yake kadiri iwezekanavyo.

Chanzo : Afisa habari Chadema
. Tumaini Makene
Hata kichaa hawezi kukubali ujinga uliouandika humu.
 
Kwa hiyo lowassa alipowaahidi kuwalipa wenyevit wa mitaa posho ilikuwa ni changa la macho...kama chama kina spirit ya kujitolea kwa nini wasijitolee hadi kwenye serikali za mitaa??

Halafu Chadema iache ulaghai...kwa nini spirit ya kujitolea isiende hadi bungeni??mbona posho za bunge hamziachi na kuamua kujitolea???

Jingine ni hili...kama anajitolea ni vipi tunasikia anakidai chama fedha za magari ya kampeni??

Kuna wakati ni heri kukaa kimya kuliko kuibua maswali zaidi.
Achana nao hao, wanajitekenya na kucheka wenyewe
 
Baada ya wengi sana jana kuhoji mshahara wa mwenyekiti wa chadema .mh freeman mbowe kufuati mh rais kutaja mshara wake. HILI NDIO JIBU LAKE

Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe halipwi mshahara wowote na Chama. Amekitumikia Chama kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka 20 akiwa Mjumbe wa Kamati Kuu tangu aliposhiriki kuasisi Chama 1992, Mwenyekiti wa Vijana Taifa na baadaye Mwenyekiti wa Taifa kuanzia mwaka 2004.
Mbali na mshahara, Mbowe halipwi posho wala stahiki ya aina yeyote kama gari, nyumba, mawasiliano n.k na Chama. Utendaji wake ndani ya Chama ni wa kujitolea na kutoa.

Utamaduni huu umejengwa na viongozi wengi ndani ya Chadema kuanzia ngazi ya juu hadi chini.

Wanaolipwa posho ni watendaji wachache wanaofanya kazi full time katika ngazi ya Taifa na Kanda. Wabunge na madiwani wote walio na wadhifa wowote ndani ya Chama au katika Mabaraza yake nao hujitolea kwa asilimia 100 kwa kila namna watendapo majukumu yao ndani ya Chama. Hawapokei mishahara wala posho mbili mbili.

Hivyo Mbowe na viongozi wenzake wengi wa ngazi mbalimbali hawalipwi na Chama bali wao hukigharamia Chama kiweze kukua na kutekeleza majukumu yake kadiri iwezekanavyo.

Chanzo : Afisa habari Chadema
. Tumaini Makene
Kila ninayemwambia ananibishia ngoja nimwite mjukuu wangu anayesoma VIDUDU nimweleze atanielewa kabisa
 
Back
Top Bottom