Freeman Mbowe, halipwi mshahara wowote na chama wala posho

Kwa hiyo lowassa alipowaahidi kuwalipa wenyevit wa mitaa posho ilikuwa ni changa la macho...kama chama kina spirit ya kujitolea kwa nini wasijitolee hadi kwenye serikali za mitaa??

Halafu Chadema iache ulaghai...kwa nini spirit ya kujitolea isiende hadi bungeni??mbona posho za bunge hamziachi na kuamua kujitolea???

Jingine ni hili...kama anajitolea ni vipi tunasikia anakidai chama fedha za magari ya kampeni??

Kuna wakati ni heri kukaa kimya kuliko kuibua maswali zaidi.
kwa hiyo awaachie za bungeni ili mzitafune?
 
CHADEMA wajitahidi kutoa habari zenye mantiki. Hivi inaingia akilini kwamba Freeman Mbowe tangu ajiunge na CHADEMA miaka ishirini yote amekuwa anajitolea? Kwamba hata posho ya kununua maji ya kunywa hajawahi kulipwa na Chama chake kwa miaka yote 20?

Halafu wanasema hata viongozi wengine nao hawalipwi chochote kwa miaka yote hiyo? Sasa kama ndivyo hela za CHADEMA zinafanya kazi gani maana hata jengo la ofisi hakuna!
hilo nalo neno.
 
Baada ya wengi sana jana kuhoji mshahara wa mwenyekiti wa chadema .mh freeman mbowe kufuati mh rais kutaja mshara wake. HILI NDIO JIBU LAKE

Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe halipwi mshahara wowote na Chama. Amekitumikia Chama kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka 20 akiwa Mjumbe wa Kamati Kuu tangu aliposhiriki kuasisi Chama 1992, Mwenyekiti wa Vijana Taifa na baadaye Mwenyekiti wa Taifa kuanzia mwaka 2004.
Mbali na mshahara, Mbowe halipwi posho wala stahiki ya aina yeyote kama gari, nyumba, mawasiliano n.k na Chama. Utendaji wake ndani ya Chama ni wa kujitolea na kutoa.

Utamaduni huu umejengwa na viongozi wengi ndani ya Chadema kuanzia ngazi ya juu hadi chini.

Wanaolipwa posho ni watendaji wachache wanaofanya kazi full time katika ngazi ya Taifa na Kanda. Wabunge na madiwani wote walio na wadhifa wowote ndani ya Chama au katika Mabaraza yake nao hujitolea kwa asilimia 100 kwa kila namna watendapo majukumu yao ndani ya Chama. Hawapokei mishahara wala posho mbili mbili.

Hivyo Mbowe na viongozi wenzake wengi wa ngazi mbalimbali hawalipwi na Chama bali wao hukigharamia Chama kiweze kukua na kutekeleza majukumu yake kadiri iwezekanavyo.

Chanzo : Afisa habari Chadema
. Tumaini Makene
hili linahitaji utulivu wa kiakili kulikubali maana wapo wanasiasa waliotuambia kwamba tusiwaamini wanasiasa.
 
Of course, hii habari itapingwa kimantiki...Leteni matumizi ya chama na vouchers za waliosaini kuchukua fedha kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Hivi kama wewe una kampuni kwani ni lazima ujilipe mshahara? Lakini hii haimananishi kwamba hutumii fedha za kampuni hiyo.
Mkuu hupendezi kuingia katika mtego humo wa malumbano. Tamko la cuama ndio hill, halipwi sasa mambo ya kuleta vocha za malipo hapa JF yanatoka wapi? Hesabu za vyama huwa ziko wazi kwa msajili wa vyama na kwa CAG yanini malumbano watu sii waende kuleta ushahidi hapo ili Makene aumbuliwe?
 
nimeandika mara nyingi sana humu kwamba bilionea mbowe ambaye ni Tajiri halali wa kutupwa ni kama zawadi kwa watanzania kutoka kwa Mungu , anatumia utajiri wake kugharamia uhuru wa nchi yake aliyozaliwa badala kuutumia kupora mali za nchi kama wafanyavyo matajiri wengi wa kiafrica , Mungu mbariki Mbowe , mpe maisha marefu .
Kwa kifupi unahitaji maombi makubwa.
 
Mkuu hupendezi kuingia katika mtego humo wa malumbano. Tamko la cuama ndio hill, halipwi sasa mambo ya kuleta vocha za malipo hapa JF yanatoka wapi? Hesabu za vyama huwa ziko wazi kwa msajili wa vyama na kwa CAG yanini malumbano watu sii waende kuleta ushahidi hapo ili Makene aumbuliwe?

Nashakuru kwa ushauri...thank you
 
hahaha nimesoma hii habari uku natabasam mana nikichkesho yule mangi et hana anachofaidika nacho hahaha
 
Baada ya wengi sana jana kuhoji mshahara wa mwenyekiti wa chadema .mh freeman mbowe kufuati mh rais kutaja mshara wake. HILI NDIO JIBU LAKE

Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe halipwi mshahara wowote na Chama. Amekitumikia Chama kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka 20 akiwa Mjumbe wa Kamati Kuu tangu aliposhiriki kuasisi Chama 1992, Mwenyekiti wa Vijana Taifa na baadaye Mwenyekiti wa Taifa kuanzia mwaka 2004.
Mbali na mshahara, Mbowe halipwi posho wala stahiki ya aina yeyote kama gari, nyumba, mawasiliano n.k na Chama. Utendaji wake ndani ya Chama ni wa kujitolea na kutoa.

Utamaduni huu umejengwa na viongozi wengi ndani ya Chadema kuanzia ngazi ya juu hadi chini.

Wanaolipwa posho ni watendaji wachache wanaofanya kazi full time katika ngazi ya Taifa na Kanda. Wabunge na madiwani wote walio na wadhifa wowote ndani ya Chama au katika Mabaraza yake nao hujitolea kwa asilimia 100 kwa kila namna watendapo majukumu yao ndani ya Chama. Hawapokei mishahara wala posho mbili mbili.

Hivyo Mbowe na viongozi wenzake wengi wa ngazi mbalimbali hawalipwi na Chama bali wao hukigharamia Chama kiweze kukua na kutekeleza majukumu yake kadiri iwezekanavyo.

Chanzo : Afisa habari Chadema
. Tumaini Makene
thubutuu yan bosi ndo mwenye mali alf vibarua wake mseme bosi hajilipi chochote bali anatutafutia mishahara sisi vibarua wake shame
 
Huenda ni kweli halipwi bali anajichotea atakavyo.
 
Baada ya wengi sana jana kuhoji mshahara wa mwenyekiti wa chadema .mh freeman mbowe kufuati mh rais kutaja mshara wake. HILI NDIO JIBU LAKE

Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe halipwi mshahara wowote na Chama. Amekitumikia Chama kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka 20 akiwa Mjumbe wa Kamati Kuu tangu aliposhiriki kuasisi Chama 1992, Mwenyekiti wa Vijana Taifa na baadaye Mwenyekiti wa Taifa kuanzia mwaka 2004.
Mbali na mshahara, Mbowe halipwi posho wala stahiki ya aina yeyote kama gari, nyumba, mawasiliano n.k na Chama. Utendaji wake ndani ya Chama ni wa kujitolea na kutoa.

Utamaduni huu umejengwa na viongozi wengi ndani ya Chadema kuanzia ngazi ya juu hadi chini.

Wanaolipwa posho ni watendaji wachache wanaofanya kazi full time katika ngazi ya Taifa na Kanda. Wabunge na madiwani wote walio na wadhifa wowote ndani ya Chama au katika Mabaraza yake nao hujitolea kwa asilimia 100 kwa kila namna watendapo majukumu yao ndani ya Chama. Hawapokei mishahara wala posho mbili mbili.

Hivyo Mbowe na viongozi wenzake wengi wa ngazi mbalimbali hawalipwi na Chama bali wao hukigharamia Chama kiweze kukua na kutekeleza majukumu yake kadiri iwezekanavyo.

Chanzo : Afisa habari Chadema
. Tumaini Makene
Na Dr. Slaa alikuwa anajitolea au alikuwa alipwi mshahara? Mbowe anajitolea vipi wakati ruzuku anakusanya yeye kimsingi Mbowe ndiyo mmiliki wa Chadema nani sasa anamlipa mshahara ndiyo maana alikuwa anamlipa Dr.Slaa mshahara wa milioni 11 nyumba na gari Dr.Slaa alikuwa muhajiriwa wa Mbowe
 
Of course, hii habari itapingwa kimantiki...Leteni matumizi ya chama na vouchers za waliosaini kuchukua fedha kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Hivi kama wewe una kampuni kwani ni lazima ujilipe mshahara? Lakini hii haimananishi kwamba hutumii fedha za kampuni hiyo.
Ndio maana tunataka hadi Magufuli naye aoneshe hadharani kwa pay slip kwamba yeye analipwa milioni 9.5 kwa mwezi! Vyenginevyo atakuwa kaliongopea Taifa. So far tunajua Magufuli yeye anajilipa mshahara wa milioni 400 kwa mwezi as per some tabloids revealed. Hio ndio demokrasia ya kweli tunahoji ushahidi pande zote. Sio upinzani ama serikali pekee. Sawa ndugu.

Sent from my SM-G920W8 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana tunataka hadi Maguli naye aoneshe hadharani kwa pay slip kwamba yeye analipwa milioni 9.5 kwa mwezi! Vyenginevyo atakuwa kaliongopea Taifa. So far tunajua Magufuli yeye anajilipa mshahara wa milioni 400 kwa mwezi as per some tabloids revealed. Hio ndio demokrasia ya kweli tunahoji ushahidi pande zote. Sio upinzani ama serikali pekee. Sawa ndugu.

Sent from my SM-G920W8 using JamiiForums mobile app

Heeeh, makubwa...milioni 400?! Nchi hii ipo kazi...
 
Mkuu kumbe hata hufuatilii taarifa. Hivi hujui ya kwamba Rais wa Tanzania ni among the African top five highly paid president? Kama sikosei kamshinda hata Zuma kwa mshahara!

Sent from my SM-G920W8 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya wengi sana jana kuhoji mshahara wa mwenyekiti wa chadema .mh freeman mbowe kufuati mh rais kutaja mshara wake. HILI NDIO JIBU LAKE

Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe halipwi mshahara wowote na Chama. Amekitumikia Chama kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka 20 akiwa Mjumbe wa Kamati Kuu tangu aliposhiriki kuasisi Chama 1992, Mwenyekiti wa Vijana Taifa na baadaye Mwenyekiti wa Taifa kuanzia mwaka 2004.
Mbali na mshahara, Mbowe halipwi posho wala stahiki ya aina yeyote kama gari, nyumba, mawasiliano n.k na Chama. Utendaji wake ndani ya Chama ni wa kujitolea na kutoa.

Utamaduni huu umejengwa na viongozi wengi ndani ya Chadema kuanzia ngazi ya juu hadi chini.

Wanaolipwa posho ni watendaji wachache wanaofanya kazi full time katika ngazi ya Taifa na Kanda. Wabunge na madiwani wote walio na wadhifa wowote ndani ya Chama au katika Mabaraza yake nao hujitolea kwa asilimia 100 kwa kila namna watendapo majukumu yao ndani ya Chama. Hawapokei mishahara wala posho mbili mbili.

Hivyo Mbowe na viongozi wenzake wengi wa ngazi mbalimbali hawalipwi na Chama bali wao hukigharamia Chama kiweze kukua na kutekeleza majukumu yake kadiri iwezekanavyo.

Chanzo : Afisa habari Chadema
. Tumaini Makene
Mungu ampe maisha marefu
 
Mkuu kumbe hata hufuatilii taarifa. Hivi hujui ya kwamba Rais wa Tanzania ni among the African top five highly paid president? Kama sikosei kamshinda hata Zuma kwa mshahara!

Sent from my SM-G920W8 using JamiiForums mobile app

Mmmmmh, mwenzangu hizo taarifa uliziamini? Mbona Mkuu wa Mawasiliano Ikulu wakati ule alikanusha?
 
Back
Top Bottom