Freeman Mbowe, halipwi mshahara wowote na chama wala posho

Kwa hiyo lowassa alipowaahidi kuwalipa wenyevit wa mitaa posho ilikuwa ni changa la macho...kama chama kina spirit ya kujitolea kwa nini wasijitolee hadi kwenye serikali za mitaa??

Halafu Chadema iache ulaghai...kwa nini spirit ya kujitolea isiende hadi bungeni??mbona posho za bunge hamziachi na kuamua kujitolea???

Jingine ni hili...kama anajitolea ni vipi tunasikia anakidai chama fedha za magari ya kampeni??

Kuna wakati ni heri kukaa kimya kuliko kuibua maswali zaidi.

hahaaaaaaa,si mlitaka jibu.sasa mmepewa mnaanza ooh heri angekaa kimya,viwavi bhana
 
Mbona Baba yake Mbowe alimfadhili Nyerere kwenda kwa malkia kudai, uhuru jee nyerere alimlipa nini?
huo ni uzushi ambao unaziba ukweli uliopo, mbowe anahaja ya kusema analipwa sh ngp? hzo blablaaa azipeleke kwa Kubenea, hapa hapana kabisa, mfano tunaanzaje sasa kumwamini Mbowe?
 
Magufuli ameongea mwenyewe,;isitoshe amesema ataonesha salary slip yake.
Toka tulipoletewa Lowassa siamini tena viongozi wangu bila ushahidi wa kutosha.
Haya mambo yakutuambia tunajitolea kumbe nyie mnatumbua ruzuku/riziki wenyewe siyakubali tena.
Kama wote tunajitolea ruzuku huwa inaenda wapi?
 
Mbowe alipwi na CHADEMA....?utani huo.....bas kama hulipwi utakua unajilipa
 
Yeye ndiye mmiliki wa chadema sasa atalipwaje mshahara au posho.
Ni sawa kusema Mengi analipwa mshahara na IPP.

Yeye anachota tu fedha za ruzuku za Chadema takayethubutu kumuhoji anamfukuza uanachama.
Hebu Rudia kusoma hiki ulichoandika mara tano, kama usipoifuta hii post yako, basi wewe hukujaaliwa ufahamu!
 
  • Thanks
Reactions: nao
Kwa hiyo lowassa alipowaahidi kuwalipa wenyevit wa mitaa posho ilikuwa ni changa la macho...kama chama kina spirit ya kujitolea kwa nini wasijitolee hadi kwenye serikali za mitaa??

Halafu Chadema iache ulaghai...kwa nini spirit ya kujitolea isiende hadi bungeni??mbona posho za bunge hamziachi na kuamua kujitolea???

Jingine ni hili...kama anajitolea ni vipi tunasikia anakidai chama fedha za magari ya kampeni??

Kuna wakati ni heri kukaa kimya kuliko kuibua maswali zaidi.
Kwa hiyo lowassa alipowaahidi kuwalipa wenyevit wa mitaa posho ilikuwa ni changa la macho...kama chama kina spirit ya kujitolea kwa nini wasijitolee hadi kwenye serikali za mitaa??

Halafu Chadema iache ulaghai...kwa nini spirit ya kujitolea isiende hadi bungeni??mbona posho za bunge hamziachi na kuamua kujitolea???

Jingine ni hili...kama anajitolea ni vipi tunasikia anakidai chama fedha za magari ya kampeni??

Kuna wakati ni heri kukaa kimya kuliko kuibua maswali zaidi.
Jamaa yangu inaonesha kuwa uelewa wako Ni mdogo sana.Nikusaidie tu kwamba amesema kuwa yeye halipwi wala hapati posho yoyote ndani ya chama ila ndani ya CHAMA kuna watu wanalipwa kulingana na majukumu yao kuwa ya kila cku.Kazi ya mbunge Ni ya kila cku na asipokuwa na posho wala mshahara hawezi kuyamudu majukumu hayo.
 
Baada ya wengi sana jana kuhoji mshahara wa mwenyekiti wa chadema .mh freeman mbowe kufuati mh rais kutaja mshara wake. HILI NDIO JIBU LAKE

Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe halipwi mshahara wowote na Chama. Amekitumikia Chama kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka 20 akiwa Mjumbe wa Kamati Kuu tangu aliposhiriki kuasisi Chama 1992, Mwenyekiti wa Vijana Taifa na baadaye Mwenyekiti wa Taifa kuanzia mwaka 2004.
Mbali na mshahara, Mbowe halipwi posho wala stahiki ya aina yeyote kama gari, nyumba, mawasiliano n.k na Chama. Utendaji wake ndani ya Chama ni wa kujitolea na kutoa.

Utamaduni huu umejengwa na viongozi wengi ndani ya Chadema kuanzia ngazi ya juu hadi chini.

Wanaolipwa posho ni watendaji wachache wanaofanya kazi full time katika ngazi ya Taifa na Kanda. Wabunge na madiwani wote walio na wadhifa wowote ndani ya Chama au katika Mabaraza yake nao hujitolea kwa asilimia 100 kwa kila namna watendapo majukumu yao ndani ya Chama. Hawapokei mishahara wala posho mbili mbili.

Hivyo Mbowe na viongozi wenzake wengi wa ngazi mbalimbali hawalipwi na Chama bali wao hukigharamia Chama kiweze kukua na kutekeleza majukumu yake kadiri iwezekanavyo.

Chanzo : Afisa habari Chadema
. Tumaini Makene
Ni kweli haLipwi mshahara lakin anajilipa perduem za 19m kwa wiki kwa kisingizio za shughuli za chama
 
Vipi Jakaya anavuta ngapi naye? Au ni kama Mbowe?!
 
Kwa hiyo lowassa alipowaahidi kuwalipa wenyevit wa mitaa posho ilikuwa ni changa la macho...kama chama kina spirit ya kujitolea kwa nini wasijitolee hadi kwenye serikali za mitaa??

Halafu Chadema iache ulaghai...kwa nini spirit ya kujitolea isiende hadi bungeni??mbona posho za bunge hamziachi na kuamua kujitolea???

Jingine ni hili...kama anajitolea ni vipi tunasikia anakidai chama fedha za magari ya kampeni??

Kuna wakati ni heri kukaa kimya kuliko kuibua maswali zaidi.
...mbona unaweweseka kama kuku aliyekatwa shingo.!!
 
Watu wengi akili zao sijui zipo makalioni jibu limeshapatikana mbowe halipwi.
 
Kwa hiyo lowassa alipowaahidi kuwalipa wenyevit wa mitaa posho ilikuwa ni changa la macho...kama chama kina spirit ya kujitolea kwa nini wasijitolee hadi kwenye serikali za mitaa??

Halafu Chadema iache ulaghai...kwa nini spirit ya kujitolea isiende hadi bungeni??mbona posho za bunge hamziachi na kuamua kujitolea???

Jingine ni hili...kama anajitolea ni vipi tunasikia anakidai chama fedha za magari ya kampeni??

Kuna wakati ni heri kukaa kimya kuliko kuibua maswali zaidi.

Umeelewa swali la msingi na jibu lake lakini?
 
Back
Top Bottom