Freeman Mbowe, halipwi mshahara wowote na chama wala posho

Baada ya wengi sana jana kuhoji mshahara wa mwenyekiti wa chadema .mh freeman mbowe kufuati mh rais kutaja mshara wake. HILI NDIO JIBU LAKE

Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe halipwi mshahara wowote na Chama. Amekitumikia Chama kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka 20 akiwa Mjumbe wa Kamati Kuu tangu aliposhiriki kuasisi Chama 1992, Mwenyekiti wa Vijana Taifa na baadaye Mwenyekiti wa Taifa kuanzia mwaka 2004.
Mbali na mshahara, Mbowe halipwi posho wala stahiki ya aina yeyote kama gari, nyumba, mawasiliano n.k na Chama. Utendaji wake ndani ya Chama ni wa kujitolea na kutoa.

Utamaduni huu umejengwa na viongozi wengi ndani ya Chadema kuanzia ngazi ya juu hadi chini.

Wanaolipwa posho ni watendaji wachache wanaofanya kazi full time katika ngazi ya Taifa na Kanda. Wabunge na madiwani wote walio na wadhifa wowote ndani ya Chama au katika Mabaraza yake nao hujitolea kwa asilimia 100 kwa kila namna watendapo majukumu yao ndani ya Chama. Hawapokei mishahara wala posho mbili mbili.

Hivyo Mbowe na viongozi wenzake wengi wa ngazi mbalimbali hawalipwi na Chama bali wao hukigharamia Chama kiweze kukua na kutekeleza majukumu yake kadiri iwezekanavyo.

Chanzo : Afisa habari Chadema
. Tumaini Makene
Mwenyekiti halipwi mshahara wala posho ila anajilipa marupurupu yaani anaruhusiwa kuchota anavyotaka hata zile za misaada anaruhusiwa kuamua alete zipi
 
Kwa hiyo lowassa alipowaahidi kuwalipa wenyevit wa mitaa posho ilikuwa ni changa la macho...kama chama kina spirit ya kujitolea kwa nini wasijitolee hadi kwenye serikali za mitaa??

Halafu Chadema iache ulaghai...kwa nini spirit ya kujitolea isiende hadi bungeni??mbona posho za bunge hamziachi na kuamua kujitolea???

Jingine ni hili...kama anajitolea ni vipi tunasikia anakidai chama fedha za magari ya kampeni??

Kuna wakati ni heri kukaa kimya kuliko kuibua maswali zaidi.
Ilikuwa ni kujitolea pesa zake mkononi!!!
 
Mwenye mali hujipangia bajet ya matumizi hajilipi mshahara-- hicho chama kinawenyewe na wenyewe ndo kina mbowe labda ungeuliza makarani hulipwaje ungepata jibu
 
Danganya toto hiyo. Hahahaaa!!! Ajitolee bure siyo rahisi. Lazima kuna sehemu anafidia tu mtakemsitake acheni danganya watu nyie manyumbu
Najua hamuwez kuamin kwa sbb huko kwenu mmezoea rushwa na ufisadi ndo mana mnakuwa wagumu kuelewa Mh Mbowe halipwi anajitolea habari ndo hiyo we bisha ila ipo cku utaamini .
 
Acha ujuha eti halipwa ndio halipwi lakini anajichotea tu posho anayoitaka 20m,per week , ..
 
Mmmh, nyie mseme yeye ndio mmiliki, hawezi kujilipa kwenye taasisi yake.
 
Baada ya wengi sana jana kuhoji mshahara wa mwenyekiti wa chadema .mh freeman mbowe kufuati mh rais kutaja mshara wake. HILI NDIO JIBU LAKE

Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe halipwi mshahara wowote na Chama. Amekitumikia Chama kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka 20 akiwa Mjumbe wa Kamati Kuu tangu aliposhiriki kuasisi Chama 1992, Mwenyekiti wa Vijana Taifa na baadaye Mwenyekiti wa Taifa kuanzia mwaka 2004.
Mbali na mshahara, Mbowe halipwi posho wala stahiki ya aina yeyote kama gari, nyumba, mawasiliano n.k na Chama. Utendaji wake ndani ya Chama ni wa kujitolea na kutoa.

Utamaduni huu umejengwa na viongozi wengi ndani ya Chadema kuanzia ngazi ya juu hadi chini.

Wanaolipwa posho ni watendaji wachache wanaofanya kazi full time katika ngazi ya Taifa na Kanda. Wabunge na madiwani wote walio na wadhifa wowote ndani ya Chama au katika Mabaraza yake nao hujitolea kwa asilimia 100 kwa kila namna watendapo majukumu yao ndani ya Chama. Hawapokei mishahara wala posho mbili mbili.

Hivyo Mbowe na viongozi wenzake wengi wa ngazi mbalimbali hawalipwi na Chama bali wao hukigharamia Chama kiweze kukua na kutekeleza majukumu yake kadiri iwezekanavyo.

Chanzo : Afisa habari Chadema
. Tumaini Makene
Jamani habari kama hizi ni nzuri sana,lkn msizitoe,ili kuepuka viongozi wa ccm wasiugue magojwa ya moyo
 
Kwa hiyo aliyekuwa analipwa mshahara chadema ni Dr. Silaa tu eeh..
Mnadhani sie ni maboya siyo?
 
Kwani kamanda mbowe yuko na hadhi sawa na mh magufuli???
 
Tumaini Makene[/QUOTE]
Mmmmhhhh yaan Dr.Slaa awe analipwa af ye asilipwe?????
 
Mbowe kwanza atueleze ni kiasi cha fedha amepeleka kwenye benki za nje ya nchi.
 
Acha ujuha eti halipwa ndio halipwi lakini anajichotea tu posho anayoitaka 20m,per week , ..
Juha ni wewe usiyejua maana ya mshahara na posho Kwani Rais Hana posho ? Hapa tunazungumzia mshahara Kwani Rais katangaza posho yake ni sh ngapi?
 
Back
Top Bottom