Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
- Mar 30, 2009
- 1,833
- 972
Huwezi kuamini kwani umejiandaa kutoamini...... Ni sawa na mtu aliyejiandaa kushindwa hawezi kushinda kamwe ila atangojea miujiza tu...Siamini
Huwezi kuamini kwani umejiandaa kutoamini...... Ni sawa na mtu aliyejiandaa kushindwa hawezi kushinda kamwe ila atangojea miujiza tu...Siamini
Ulipozungumzia kuhusu viongozi serikali za mitaa, na posho bungeni ndo nimejua uwezo wako ni kiasi gani.Kwa hiyo lowassa alipowaahidi kuwalipa wenyevit wa mitaa posho ilikuwa ni changa la macho...kama chama kina spirit ya kujitolea kwa nini wasijitolee hadi kwenye serikali za mitaa??
Halafu Chadema iache ulaghai...kwa nini spirit ya kujitolea isiende hadi bungeni??mbona posho za bunge hamziachi na kuamua kujitolea???
Jingine ni hili...kama anajitolea ni vipi tunasikia anakidai chama fedha za magari ya kampeni??
Kuna wakati ni heri kukaa kimya kuliko kuibua maswali zaidi.
aliuzia chama FUSO mbovu kwa milioni 600Ni kweli mbowe halipw mshahara na chama tuache ubishi ila yeye anajilipa kupitia chama na fedha nyingi za ruzuku zinaishia kwake na ndo mana chama hakina ofis bado wanakodi
Kuna kipindi alijiuzia mali za chama kwa bei ya kutupa
Uongo kama huu ndio maana niliondoka Chadema.Baada ya wengi sana jana kuhoji mshahara wa mwenyekiti wa chadema .mh freeman mbowe kufuati mh rais kutaja mshara wake. HILI NDIO JIBU LAKE
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe halipwi mshahara wowote na Chama. Amekitumikia Chama kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka 20 akiwa Mjumbe wa Kamati Kuu tangu aliposhiriki kuasisi Chama 1992, Mwenyekiti wa Vijana Taifa na baadaye Mwenyekiti wa Taifa kuanzia mwaka 2004.
Mbali na mshahara, Mbowe halipwi posho wala stahiki ya aina yeyote kama gari, nyumba, mawasiliano n.k na Chama. Utendaji wake ndani ya Chama ni wa kujitolea na kutoa.
Utamaduni huu umejengwa na viongozi wengi ndani ya Chadema kuanzia ngazi ya juu hadi chini.
Wanaolipwa posho ni watendaji wachache wanaofanya kazi full time katika ngazi ya Taifa na Kanda. Wabunge na madiwani wote walio na wadhifa wowote ndani ya Chama au katika Mabaraza yake nao hujitolea kwa asilimia 100 kwa kila namna watendapo majukumu yao ndani ya Chama. Hawapokei mishahara wala posho mbili mbili.
Hivyo Mbowe na viongozi wenzake wengi wa ngazi mbalimbali hawalipwi na Chama bali wao hukigharamia Chama kiweze kukua na kutekeleza majukumu yake kadiri iwezekanavyo.
Chanzo : Afisa habari Chadema
. Tumaini Makene
Aiseeee usubuhi yangu imekuwa njema kabisa,nimeandika mara nyingi sana humu kwamba bilionea mbowe ambaye ni Tajiri halali wa kutupwa ni kama zawadi kwa watanzania kutoka kwa Mungu , anatumia utajiri wake kugharamia uhuru wa nchi yake aliyozaliwa badala kuutumia kupora mali za nchi kama wafanyavyo matajiri wengi wa kiafrica , Mungu mbariki Mbowe , mpe maisha marefu .
Kumbe uko wa hovyo hivi?Mbowe anajilipa mshahara , hakuna wa kumlipa chadema
Mshahara anachukua anaotaka kwani chama n cha kwake na baba Mkwe wake
TRA walitarajia Trilion 1.3 kwa mwezi March, kamishina kimya mpaka sasaHahahaha leo ndo nimejua maana halisi ya nyumbu.
ok, sasa nimeelewa..ndio maana huyu jamaa anapiga dili mbele kwa mbele. mfano kuuzia cdm magari chakavu kama mapya, kukodisha cdm au kumuuzia mtu chama au nafasi ya kugombea urais. sote tulipata zile taarifa za mshiko aliyopewa kuuza nafasi ya kugombea urais. kwa hiyo yeye anapiga midili tu ndio faida yake. wala mtu asitudanganye. mbowe ni bepari mfanya biashara. dini ya bepari ni kutengeneza faida. yeye ni wale ndugu zetu 'wanaojitambua'Baada ya wengi sana jana kuhoji mshahara wa mwenyekiti wa chadema .mh freeman mbowe kufuati mh rais kutaja mshara wake. HILI NDIO JIBU LAKE
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe halipwi mshahara wowote na Chama. Amekitumikia Chama kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka 20 akiwa Mjumbe wa Kamati Kuu tangu aliposhiriki kuasisi Chama 1992, Mwenyekiti wa Vijana Taifa na baadaye Mwenyekiti wa Taifa kuanzia mwaka 2004.
Mbali na mshahara, Mbowe halipwi posho wala stahiki ya aina yeyote kama gari, nyumba, mawasiliano n.k na Chama. Utendaji wake ndani ya Chama ni wa kujitolea na kutoa.
Utamaduni huu umejengwa na viongozi wengi ndani ya Chadema kuanzia ngazi ya juu hadi chini.
Wanaolipwa posho ni watendaji wachache wanaofanya kazi full time katika ngazi ya Taifa na Kanda. Wabunge na madiwani wote walio na wadhifa wowote ndani ya Chama au katika Mabaraza yake nao hujitolea kwa asilimia 100 kwa kila namna watendapo majukumu yao ndani ya Chama. Hawapokei mishahara wala posho mbili mbili.
Hivyo Mbowe na viongozi wenzake wengi wa ngazi mbalimbali hawalipwi na Chama bali wao hukigharamia Chama kiweze kukua na kutekeleza majukumu yake kadiri iwezekanavyo.
Chanzo : Afisa habari Chadema
. Tumaini Makene
unaweza kutuwekea ushahidi hata wa kizushi hapa ?Mimi pia
Acha ujinga wewe mbowe ametuhumiwa Mara nyingi kutumia hela ya ruzuku ya chama vibaya
Ataelewaje wakati umemwaga uharo hadharani umebaki unanuka tiii!!!!Wewe ndio mkurupukaji...nisome na unielewe vizuri halafu ndio ujibu