MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Unamaanisha Komba? Uawaza ukawa dah! Mtakufa nyie na mishituko, presha, shinikizo, ukawa itakomboa nchi
Nchi ilishakombolewa toka miaka ya 1962?
Mnataka kukomboa nchi ipi tena? Pelekeni uhuni wenu huko!
Huo Uroho wenu wa madaraka watanzania wameshaubaini!