Freeman Mbowe awasili Tabora kuimarisha chama

Freeman Mbowe awasili Tabora kuimarisha chama

Maskini mzee slaa kanyimwa hela za kuzunguka kufanya harakati za kujiuza sijui atafanya nini tena make mbowe ndiyo anajipanga kugombea.

Kweli wenye vichwa panzi kama wewe mnahesabika hapa jukwaani.
Pole kijana wa lumumba buku 7 kachukuwe,si umeshapost!!!!
 
Utawaona wakitoa povu hapa wana lumumba mpk leo hawana mgombea
 
Maskini mzee slaa kanyimwa hela za kuzunguka kufanya harakati za kujiuza sijui atafanya nini tena make mbowe ndiyo anajipanga kugombea.

Endelea na uboya Wako wakati chadema wanapiga kazi kama siafu. Ukombozi WA Tanzania upo mlangoni...... Ulikuwa miaka, miezi, siku na sasa masaa Tu.

Big Up Kamanda WA Anga, Mungu yupo pamoja nawe pambanaaaaaaa!!!!
 
Maskini mzee slaa kanyimwa hela za kuzunguka kufanya harakati za kujiuza sijui atafanya nini tena make mbowe ndiyo anajipanga kugombea.

Ccm safari hii kama watu wenyewe ndio kama ninyi basi october tumpeleke ee ccm kwenye jumba la mileleee .....
 
Lakini kumbukeni huko Tabora ndiyo nyumbani kwa musa tesha mliyemwagia sumu na yule mama mliyempiga.

Hakiya Mungu wewe ungekuwa mke wangu kwa jinsi ulivyo mpumbavu hakika ningejiuzulu kufanya mapenzi
 
Ccm safari hii kama watu wenyewe ndio kama ninyi basi october tumpeleke ee ccm kwenye jumba la mileleee .....

hahahaha...... Watu tulishaanza kuchimba kaburi la ccm, watu tutaimba nyimbo za maombolezo huku makunyanzi yakiwa uchochoroni wakichungulia kwa hofu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom