Freeman Mbowe awasili Tabora kuimarisha chama

Freeman Mbowe awasili Tabora kuimarisha chama

Mojawapo ya kazi atakayofanya hapa Tabora ni uzinduzi wa Redbrigade kwa kanda hii

Asee.... mtamuua mwenezi wa ccm kwa puresha wajameni... Nape huko jasho linamtoka tu tehe teh
 
Hizi dakika za majeruhi mkuu Molemo , tafadhalini endeleni na amsha amsha mpaka tuingie magogoni mwaka huu na kuinyoosha nchi iliyopindishwa na mafisadi CCM hawa.

Kweli kabisa mkuu Ndikwega .... ni mwendo wa kuamshana tu, hakuna kulala tena manake haya mafisi yanavizia watu walale wachakachue...mwaka wao wa mwisho huu, watanzania wamechoka sana, wanatamani uchaguzi ufanyike kesho
 
Last edited by a moderator:
Molemo niko Tabora tayari nitatuma update watu wa hamasa sana sana
 
Mbowe badala ya kupeleka maji kwenye jimbo lake la Hai, anazurura tu kwenye majimbo ya wenzake, asubiri october aone, ubunge atausikia redioni tu
 
Mbowe badala ya kupeleka maji kwenye jimbo lake la Hai, anazurura tu kwenye
majimbo ya wenzake, asubiri october aone, ubunge atausikia redioni tu

Hehehe, utakufa nacho kijiba cha roho... waambie waliochota pesa esikuro wapeleke maji hai nunda wewe
 
Mbowe badala ya kupeleka maji kwenye jimbo lake la Hai, anazurura tu kwenye majimbo ya wenzake, asubiri october aone, ubunge atausikia redioni tu

kikwete aliahidi maisha bora kwa kila mtanzania ikiwemo maji safi,elimu,na ajira chini ya serikali yake,sasa kwanini suala hili usimlalamikie kikwete yeye ndo mwenye dhamana na anaongoza serikali na wanakusanya kodi yeye mbowe kama mbunge kazi yake ni kuisimamia serikali na kuwakilisha matatizo ya wananchi kwa serikali,
 
Mbowe badala ya kupeleka maji kwenye jimbo lake la Hai, anazurura tu kwenye majimbo ya wenzake, asubiri october aone, ubunge atausikia redioni tu
Teh teh teh Wewe kuwadi kukariri kumemeza hata uelewa mdogo wa kufukia barabara uliopewa.
 
safi sana , CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .
 
ccm imepigwa na butwaa ! eti chama gani hakichoki ? ikumbukwe kwamba cdm haikuwahi kulala wala kusinzia tangu 2010 .
 
CCM wakisikia hili jina la Mbowe wanatetemeka mwili mzma kama yule mbunge wa monduli.
 
Hehehe, utakufa nacho kijiba cha roho... waambie waliochota pesa esikuro wapeleke maji hai nunda wewe

Mbowe uwezo wake kiuongozi ni finyu sana, yaani kajimbo kadogo tu ka hai kamemshinda ndio anataka apewe nchi ,dah, hizi bange na viroba ni hatari kwa afya ya akili
 
Mbowe badala ya kupeleka maji kwenye jimbo lake la Hai, anazurura tu kwenye majimbo ya wenzake, asubiri october aone, ubunge atausikia redioni tu
Hapa hakuna hoja ya maji kwani Mbowe ni waziri wa maji CCM mwaka mtalia na kusaga meno
 
Mbowe uwezo wake kiuongozi ni finyu sana, yaani kajimbo kadogo tu ka hai kamemshinda ndio anataka apewe nchi ,dah, hizi bange na viroba ni hatari kwa afya ya akili
Tunakupuuzia kama ulivyo mpuuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom