Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

Kwa ccm katiba hairuhusu kwa CHADEMA katiba inaruhusu.

Hata CHADEMA awali Katiba ilikuwa hairuhusu, ila 2006 yakafanyika mabadiliko kijanja yaliyomuweka Mbowe mpaka leo madarakani.

Hivyo amini hata CCM wanaweza kufanya hivyovyo kuanzia kwenye katiba ya Chama hadi bungeni kwenye katiba ya jamhuri ambako bunge ni lao kwa asilimia 90.

Hivyo kama hupendi Magufuli kutawala milele anza kwanza kupinga ujinga unaoendelea ndani ya CHADEMA..
Kwamba CCM inafanya mambo yake kwa kutizama CDM?
 
Hongereni wanacdm kwa kumuamini mbowe mpeni tano tena akamilishe ishirini madarakani, ila tunawapa tahadhari sisi wanaccm hatuna time na mambo yenu wala hatuwapangii, ila na sisi jiwe tunamwamini ikifika 2025 nasi tutaimba nyimbo zenu za tano tena kwa jiwe na ole wenu mpige kelele ya ccm hayawahusu.
Hongereni sana.Mbowe Tano Tena
 
Ati mawazo ya wote yanafanana Mbowee..
is this just a coincidence?... No
Demokrasia imebana hakuna alternative[emoji1787]

Mbowe ni mzuri sana ila chadema tunamuhitaji Heche... mkulya atabambana na JPM....

waumini wa Mbowe msini tundulisu pls
Pole sana
Mbowe Tano Tena
 
Hili siwezi kulishangaa, hata Mwita Waitara anasema hakuna kama Magufuli duniani.
 
Hyo anayejitokeza atahimili mateso ya polisi na Jiwe? Atahimili kufungwa? Atahimili kuharibiwa mali zake? AU ITAFIKA MAHALI ANA SUCCUMB KWA JIWE NA KUIFANYA CDM KUWA KAMA CUF YA LIPUMBA. THERE IS NO WAY MBOWE CAN GO OUT IN THIS DICTATORIAL ERA
#Mbowe Tano Tena#
Kweli kabisa hata bungeni pia akae angalau miaka Saba akiwa KUB hakuna haja ya uchaguzi mwakani
 
kama unazijua vizuri siasa za nchi hii ccm wanamwitaji Mbowe kuzidi unavyofikiria.
wanasiasa wanaongea lugha moja mkuu wanajua wanachofanya ila sisi mashabiki hatujui tunachotaka.
 
Mambo ya FLY to KIA baby yamewafanya wanawake wawe watiifu kwa DJ
 
Kwa vile Mbowe hajichagui mwenyewe bali anachaguliwa na wana Chadema wenyewe wameridhika na uwezo wake na uongozi wake, tuwaacheni, tusiwasakame, baada ya matokeo ya serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020, kuna baadhi ndio watafunguka macho, by that time it will be too little too late kufanya kitu cha maana.
Chadema haina succession plan hivyo instead of growing up kuwa chama tawala, it's shrinking and reduced to nothing by 2020!.
P
 
CHADEMA wana hofu kwamba Mbowe akiondoka Chama kitakufa kitu ambacho sio sahihi, Naamini Chama kitajengeka na kukua zaidi. CHADEMA wapeni Uongozi Watu wengine wajaribu kama ambayo Mbowe alijaribu na akaweza
 
Nakubaliana nawewe lakini hawawezi kuamlia vyama vingine kufanya maamuzi. Tuangalie kama Conservative wanaweza lazimisha Labour kufanya uchaguzi. Je, Jubilee yaweza kuwaambia Kanu au wengine wabadili viongozi? Internal affairs za vyama zisihusishwe na uendeshaji wa serikali.
True
 
Kwa mantiki hii na sisi bado tunamhitaji MAGUFULI.

Rais jasiri na mwamba wa maendeleo kwa walau miaka kumi na tano mbele

Na tukiamua hivyo tafadhali tuheshimiwe na tusiambiwe tunataka kuisigina katiba kwani na sisi tunawavumilia wenzetu mlioamua kumfanya mbowe kua mfalme wa chama

Au mnataka anye kuku tu akinya bata awe AMEHARA?
 
Waungwana Habari za majukumu ya kujenga Taifa? Natumai tunaendelea vzr. Rai yangu na wito wangu kwa Chama cha CHADEMA ni kuwa na Uongozi mpya ngazi ya M/Kiti. Mara nyingi binadamu anapokaa madarakani kwenye nafasi moja tu kwa mda mrefu Sana huzoeleka, ubunifu huisha na mtazamo mpya hukosekana. Nishauri kama kweli CHADEMA ina nia ya dhati ya kukua iwe tayari kupata M/Kiti mwenye maono MAPYA, mwenye Hari na kasi ya mabadiliko. Mh MBOWE awe mshauri mkuu wa Chama. Ikiwa mnawambia wannchi juu ya Demokrasia tunaomba ianzie kwenu pia Ili na sisi vijana tujifunze kwenu.
 
Ni rahisi zaidi kuidai demokrasia kwa mwenzio kuliko wewe kuitoa kwa wenzio.
Nadio maana mi naunga mkono anachofanya magufuli sababu mifano tunaiona kwenye vyama vya upinzani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom