Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

Ni kweli, ila sio kwa cdm ile iliyokuwa inashine. Kaa kumtetea Mbowe kwa maslahi yako binafsi, lakini ujue Mbowe ataiongoza cdm inayoshuka, moja ni kwa hujuma za vyombo vya dola, na pili kwa yeye kuchuja na kuifubaza cdm kwa kuishiwa na mbinu. Wakati ukuta hata atanyeje kwa sasa ni muda wake wa kushuka, hivyo ni bora ashuke mwenyewe kuliko akishushe na chama.
kama Chadema inashuka mbona wewe nafoka huku kama mbwa koko
 
Tuwekane sawa kwenye hili. Chama kinachopigania ukombozi au kutaka kushika dola, kikipata kiongozi imara hakimbadilishi ovyoovyo. Hii ni ‘prinsipo’. Yasser Arafat kafa akiwa kiongozi wa PLO kwa miaka mingi kule Palestina.
Acha njaa,katiba ya chasema iheshimiwe
 
Nakubaliana na CCM kabisa.Maswala ya Mwenyekiti wa CCM inawahusu nini upinzani? Waachiwe wanachama wa CCM waamue juu ya Mkiti wanayemtaka
Kwahiyo wapinzani wasiulize hata kama Mkiti wa CCM anaendelea kutawala miaka 20?
 
Mwenyekiti wa CCM akiongoza CCM hata miaka 50 baada ya kukubaliana wenyewe ndani ya chama chao ni sawa kabisa.Sasa wewe siyo mwanachama wa CCM kitakuuma nini kuhoji mambo yao?
 
kwa kuwa nyie mnataka mlifanye ndo mana unasema hata CCM wakifanya sawa tu.

ila kama kusingekua na hili swala la MBOWE kung'ang'ania madaraka, na ingetokea Mwenyekiti wa CCM kuendeleza nafasi yake kwa zaidi ya muda uliohalalishwa kikatiba, nyie nyie CHADEMA mngekua wa kwanza kuwashambulia na kusema hawana Demokrasia.

HUU NI UNAFIKI.
 
Kwani Katiba yenu ya CCM inasemaje kuhusu Muda wa Mwenyekiti kuwa madarakani?
Mambo ya CDM hayana uhusiano wowote na CCM.
 
Sasa naona ya CDM yaachiwe kwa wenyewe na ya CCM yaachiwe kwa wenyewe huko huko. Kila mtu ashugulike na ya chama chake na kila Mkiti aendelee kama anavyoruhusiwa na wanachama wapande yake. FULL STOP.!!!!!!!
 
Ni dhahiri kuwa kwa sasa Fukuto la uchaguzi mkuu wa ndani kwa chama kikuu na tishio cha upinzani nchini limepamba moto.

Vichwa vya habari vya vyombo mbalimbali vimepambwa na habari hizi lakini hususani nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa chama anayetarajiwa kuchaguliwa Decemba mwaka huu.Ni nafasi muhimu sana kwani ndiyo inayoamua hatma ya chama kwa miaka mingine mitano.

Freeman Mbowe jabali la kisiasa Tanzania na tajiri mwenye ukwasi mkubwa aliyeamua kuweka starehe pembeni na kuitikia wito wa kuwakomboa wananchi kupitia chama alichoshiriki kukiasisi cha CHADEMA amekitumikia chama hicho kwa awamu 3 sasa na akitarajiwa kupata ushindi mkubwa kuongoza awamu nyingine ya nne hapo December.

Mafanikio ya Freeman Mbowe ndani ya CHADEMA yanahitaji vitabu na vitabu kuviandika kwani tunaweza kusema ni Mwenyekiti aliyewezesha chama alichokiongoza kupata mafanikio makubwa zaidi kwa Tanzania tangu mfumo wa vyama vingi uanze 1992.

Freeman Mbowe anao wapinzani wake wanaotaka aondoke madarakani hata leo na asipewe nafasi nyingine kabisa ya kukiongoza chama hicho.Lakini bahati nzuri ni kwamba wapinzani wote wa Freeman wanatoka nje ya chama hicho na akitokea mtu kujifanya anampinga Mbowe akiwa chini ya Chadema ni wazi ni kibaraka mwenye lengo la kuvuruga umoja ndani ya chama.Tumeshuhudia hivi karibuni waasi wachache wabunge walioanza kumtukana Freeman na baada ya muda mchache wote wakaunga mkono juhudi na kujiunga na CCM.

Wengine tunajiuliza kwanini wasiomtaka Freeman watoke nje ya chama hicho? Kwamba wanaoipenda Chadema ni wanaCCM na vibaraka wao? Ili iweje??

Tutarajie kushuhudia makubwa zaidi kuelekea uchaguzi mkuu wa chama mwishoni mwa mwaka huu.Tusishangae kuona maadui wa Chadema wakitumia kila njia kutaka kuichagulia Chadema kiongozi.Na kila adui wa Chadema ombi lake ni moja Kwamba Mbowe Hafai na Asichaguliwe tena.Hiyo ndiyo kaulimbiu ya kila asiyeitakia mema Chadema.

Jambo la kumshukuru Mungu kwa sasa ndani ya Chadema wapo viongozi wengi watiifu kwa Katiba ya chama.Viongozi wengi wanaomtii na kumheshimu Freeman Mbowe kama Jabali la kisiasa Tanzania.Viongozi wanaoamini bila jitihada kubwa za Mbowe basi CDM ingekuwa katika kaburi la kisiasa leo hii kama CUF,NCCR,TLP na wengine.

Kati ya viongozi wengi wanaomtii na kumheshimu Mbowe nimtaje mmoja tu Tundu Antipas Mughwai Lissu.Hakuna asiyemjua jemedari huyu ambaye pamoja na usomi wake na umaarufu wake duniani kote Lakini kila azungumzapo hakosi kumtaja na kumpa heshima Freeman Mbowe kwamba ni Profesa wa upinzani Tanzania.

Kwamba kwa aliyopitia na heshima na uvumilivu wake kwa Chama chake basi anastahili siku moja kuvikwa Taji.Kwamba ni Hazina ndani ya Chadema.Kwamba ni Hazina ndani ya nchi.Kwamba siku moja miaka ijayo anafaa kabisa kuchukua mikoba.Kwamba anastahili kabisa kuwa mbadala wa Jabali la kisiasa Tanzania.Heshima nyingi zimwendee Tundu Lissu.

Nimalizie kwa kusema bado tunamhitaji Freeman Mbowe walau kwa miaka mingine mitano.

#Mbowe Tano Tena#
 
Hyo anayejitokeza atahimili mateso ya polisi na Jiwe? Atahimili kufungwa? Atahimili kuharibiwa mali zake? AU ITAFIKA MAHALI ANA SUCCUMB KWA JIWE NA KUIFANYA CDM KUWA KAMA CUF YA LIPUMBA. THERE IS NO WAY MBOWE CAN GO OUT IN THIS DICTATORIAL ERA
#Mbowe Tano Tena#
 
Mpaka sasa Mbowe siyo Mwenyekiti wa CHADEMA na kwa vyovyote vile Ubunge Jimbo la Hai (2020- 2025) hawezi kuupata. Watu tumemchoka.

Atakuwa mshauri wa chama na mjumbe wa CC !
 
Hyo anayejitokeza atahimili mateso ya polisi na Jiwe? Atahimili kufungwa? Atahimili kuharibiwa mali zake? AU ITAFIKA MAHALI ANA SUCCUMB KWA JIWE NA KUIFANYA CDM KUWA KAMA CUF YA LIPUMBA. THERE IS NO WAY MBOWE CAN GO OUT IN THIS DICTATORIAL ERA
#Mbowe Tano Tena#
Hakika MbowecTano Tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom