Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

Naona wote wanaokuja húmu na kumtaka Mbowe aachie ngazi ni wana Lumumba.

Sasa nyinyi ndio wapiga debe nani akae na nani asikae?

Hebu tafuteni kazi za kufanya.

Mbowe mnamuogopa kama ebola.

Msiwe maskini wa fikra.

Akichaguliwa jee mtamfanya nini?

Haondoki kwasababu inajulikana Lumumba wote ndiye anaewakosesha usingizi.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiko kwenye mchakato Wa Uchaguzi wa ngazi ya Taifa. Kuna kila dalili kuwa Mwenyekiti Wa chama hicho Taifa anayemaliza muda wake, Freeman Mbowe atajitosa tena kuwania nafasi hiyo kwa kipindi kingine (sijui ni cha miaka mingapi).

Kinachoshangaza ni sababu zinazotolewa na Watiifu wa Mbowe kwanini wanaona anafaa kuendelea kuongoza chama hicho kwa kipindi kingine, eti wengine watakuwa mapandikizi ya CCM.

Ni kweli kwamba yeyote atakayejitokeza kupambana na Mbowe atakuwa ni pandikizi la CCM? au hii ndiyo namna ya kuwazuia wengine kuchukua fomu wakiogopa kuitwa jina baya la pandikizi la CCM? CHADEMA kuna Mbowe tu? Tukubaliane na kuamini hivyo?

Binafsi naona kama kauli hii inakidhalilisha Chama na Wanachama kwa ujumla.
View attachment 1225568
Ha ha ha !!siasa buana hatari !!yeye bulaya alipandikizwa na nani hapo chadema?
 
Ushauri wako umepokelewa, anatoka Mboye anaingia Tundu Lisu, vipi sauti iñatosha au niongeze volume?
 
Umetumia kiungo gani kufikiri ndugu mawazo haya umewahi kuimbia ccm iliyokaa mamlakani tangu Uhuru lkn mpaka leo bado unaichagua ?
Waungwana Habari za majukumu ya kujenga Taifa? Natumai tunaendelea vzr. Rai yangu na wito wangu kwa Chama cha CHADEMA ni kuwa na Uongozi mpya ngazi ya M/Kiti. Mara nyingi binadamu anapokaa madarakani kwenye nafasi moja tu kwa mda mrefu Sana huzoeleka, ubunifu huisha na mtazamo mpya hukosekana. Nishauri kama kweli CHADEMA ina nia ya dhati ya kukua iwe tayari kupata M/Kiti mwenye maono MAPYA, mwenye Hari na kasi ya mabadiliko. Mh MBOWE awe mshauri mkuu wa Chama. Ikiwa mnawambia wannchi juu ya Demokrasia tunaomba ianzie kwenu pia Ili na sisi vijana tujifunze kwenu.
 
It has occured that Chadema is what it is because of its leadership. People who wants to weaken Chadema are calling for leadership change. This is absurd
 
Na hicho ndicho chama kinachojinasibu kuwa na demokrasia ya hali ya juu sana
 
CCM iliwaunga mkono akina Askofu Tutu na wenzake katika kuuondoa utawala wa kibaguzi Afrika Kusini, CCM ina mbunge anayemiliki kanisa mchungaji mama Lwakatare lakini inambeza mchungaji Msigwa asiye na kanisa! Kutokana na kauli tata za CCM ndiyo sababu uchumi wa Tanzania unadumaa na tumebaki kufikiria manunuzi ndiyo kukua kwa uchumi!
Pointless
Elewa mada
 
Kustawi siyo tu kwa demokrasia ya vyama vingi nchini bali hata ustawi wa taasisi za serekali na zisizo za serekali vitategemea uongozi mzuri wa nchi/taifa husika. Serekali inayo haramisha vitu halali ndani ya sekunde 1, kamwe haiwezi kujenga taasisi imara.
 
Sisi kama ccm tunataka mbowe atoke kwa namna yoyote kuliko mrema na cheyo kuachia ngazi
 
Mmh! huyu jamaa kuachia hicho Kiti, ugumu wake sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Waungwana Habari za majukumu ya kujenga Taifa? Natumai tunaendelea vzr. Rai yangu na wito wangu kwa Chama cha CHADEMA ni kuwa na Uongozi mpya ngazi ya M/Kiti. Mara nyingi binadamu anapokaa madarakani kwenye nafasi moja tu kwa mda mrefu Sana huzoeleka, ubunifu huisha na mtazamo mpya hukosekana. Nishauri kama kweli CHADEMA ina nia ya dhati ya kukua iwe tayari kupata M/Kiti mwenye maono MAPYA, mwenye Hari na kasi ya mabadiliko. Mh MBOWE awe mshauri mkuu wa Chama. Ikiwa mnawambia wannchi juu ya Demokrasia tunaomba ianzie kwenu pia Ili na sisi vijana tujifunze kwenu.
 
Taarifa zilizonifikia hivi punde kiongozi mkuu wa kambi rasmi ya upinzani na mwenyekiti wa chama Cha demokrasia na maendeleo kupitia kwa wanachama wake wanaomuunga mkono ametahadhalisha kuwa yeyote atakayechukua fomu ya kuwania unyekiti ndani ya chama huyo ataitwa pandikizi la CCM, na atakachofanyiwa atachafuliwa kwenye mitandao ya kijamii Hadi yamtokee yale yaliyojitokeza kwa Zitto Kabwe.Kwa hali ilivyo sasa mtaona Mambo mengi ikiwemo waraka wa Siri yasiyoelezeka.

Taarifa Kama hii imenisikitisha Sana na kuhuzunika Sana nimekuwa nikiona wanachama na viongozi wao wanahubiri demokrasia Sasa naona demokrasia waliyoihubiri miaka yote inawatokea puani sasa hivi ni mwendo wa kuraluana kwenye uchaguzi huu wa viongoz ndani ya chama.

Poleni makada watiifu wa chama Cha demokrasia na maendeleo kwa kipindi mnachokipitia na mnachoendelea nacho,
 
Kwa ccm katiba hairuhusu kwa CHADEMA katiba inaruhusu.

Hata CHADEMA awali Katiba ilikuwa hairuhusu, ila 2006 yakafanyika mabadiliko kijanja yaliyomuweka Mbowe mpaka leo madarakani.

Hivyo amini hata CCM wanaweza kufanya hivyovyo kuanzia kwenye katiba ya Chama hadi bungeni kwenye katiba ya jamhuri ambako bunge ni lao kwa asilimia 90.

Hivyo kama hupendi Magufuli kutawala milele anza kwanza kupinga ujinga unaoendelea ndani ya CHADEMA..
Ujinga wa namna yako hata siku moja hautakuletea mafanikio.
Sielewi na sitaelewa katiba za chama kuwa chanzo cha katiba ya nchi. Una haki ya kuutetea ugali wako siyo bure.
 
Baba Askofu, labda utuambie hiyo injili imetoka kitabu kipi ili sisi waumini wako tuelewe, maana naona siasa imechukua nafasi kubwa kwenye maisha yako kuliko neno LA Mungu!
Au au uliingia taranta isiyo yako?
Soma vizuri biblia inaposisitiza, 'msiwe wanafiki' Warumi 2: 1-5; Wagalatia 6:3.

Kwenye maelezo ya Baba Askofu inadhihirisha CCM na wapambe wao jinsi walivyo wanafiki. Nindhahiri wanaCCM wanaotoa hizo kauli ni wanafiki wakubwa. Ni watu wasioyaishi maneno yao.
 
Ebu jiunge na CHADEMA kwanza ili ufuate taratibu za hoja yako kusikilizwa. Kwa sasa hoja unayoitolea chooni haitasikilizwa na Mbowe wala CHADEMA.
 
Kwa vile Mbowe hajichagui mwenyewe bali anachaguliwa na wana Chadema wenyewe wameridhika na uwezo wake na uongozi wake, tuwaacheni, tusiwasakame, baada ya matokeo ya serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020, kuna baadhi ndio watafunguka macho, by that time it will be too little too late kufanya kitu cha maana.
Chadema haina succession plan hivyo instead of growing up kuwa chama tawala, it's shrinking and reduced to nothing by 2020!.
P
Mkuu ina maana Pole Pole ,Bashiru na Mh.Magufuli wote waliandaliwa tangu enzi ili kushika hizo nafasi?
Succession plan ya CCM imekaaje? Mambo aya inabidi uyaongee ukiwa ujavaa nguo au kunywa togwa ya CCM au CHADEMA
 
Ilibidi niangalie kwanza usajili wako JamiiForums (June 12, 2019). Nyie ndio wale kila week mnaanzisha ID mpya ili muanzishe threads halafu mshushe comment kujiunga mkono wenyewe.

Hongera.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom