Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

Kwani Kamati Kuu ya CCM inamtaka nani awe M/Kiti CDM? Maana CUF, UDP, TLP , UPDP & PONA tayari hawahitaji kufanya uchaguzi tena.
Tunataka mabadilikooo ndiyo maana wabunge wa chadema wamekataa kuchangia chama
 
Hahaha nawewe kakusambaza?! Mbona unafanya wanayofanya waliosambazwa?!
 
My son umeongea la maana sana na nakupa kongole kwa hilo. Ila la kushangaza ni kuona CCM na watu wake wanataka kwa kila hali Mbowe aachie CHADEMA na hawana sababu ya msingi. Kwanini wasianzane pia na kina Lipumba na Cheyo? Siasa ni mbinu ila mbiunu za CCM kutumia Polisi NEC na Msajili dhidi ya wapinzani hasa CHADEMA ni upuuzi mtupu na sio siasa. Siasa ni hoja na si mabavu.
 
Vijana waliosambazwa mitandaoni ni pamojA na wewe maana hujielewi, sasa unaweka hizo taarifa humu maana yake unawapasha zaidi habari watu.

All is all bila Mbowe hakuna upinzani imara tanzania.
Ninyi mijitu ni wivu tu kuona cdm chini ya mbowe ikiwa ilivyo.
Habari.

Kwa masikitiko makubwa nimepewa taarifa kutoka ndani ya Chadema kwamba ,baada ya msajili wa vyama vya siasa kuiandikia Chadema ijieleze kwa nini hawafanyi uchaguzi wa mwenyekiti wa chama kinyume na katiba ya chama ,sasa Mbowe ameanza kuhaha!!

Kinyume kabisa na katiba ya chama na ni uvunjwaji mkubwa wa katiba ya chama kinachojiita cha kidemocrasia nchini ,sasa Freeman Mbowe amesambaza vijana mitandaoni wanaoendesha kampeni ya ## mbowe 5 tena#, Lengo kubwa la kampeni hii ni kumfanya Mbowe aonekane anakubalika sana ndani ya chama na awe mwenyekiti wa milele !!

Ukweli ni kwamba Mbowe tangu alipokiuza chama kwa Lowasa hakubaliki tena ndani ya chadema kwa sasa ndiyo maana kuna kundi la wabunge wamekataa kuchangia chama kila mwezi.
Vijana mliosambazwa mitandaoni mkae mjiulize je Mbowe ndiyo ana akili pekee ya kuiongoza chadema hamna mwingine? Na kama jibu ni ndiyo basi ili kukamilisha huo udikteta ondoeni neno democrasia kwenye chama chenu.
View attachment 1225084
 
Kuna mambo yanakera sana Bongo

Hoja ya kuwaangalia wenzetu wamefanya na sisi tufanye kama wao ni hoja dhaifu sana kwa msomi kuisema kama kigezo cha rais kuongezewa muda

Vile vile hoja ya kusema yeye kafanya mambo makubwa kwa muda mchache hakuna wengine walio wenza huo pia ni upungufu wa kufikir

Ila twende mbele turud nyuma kuna mambo bongo yanaumiza sana tena yanakera
Ni maoni tu, kama unaona mfumo wa kupokezana una mantiki basi shusha hoja tuzione. Mie nimejaribu kutoa sababu zangu toa na zako tuzisome
 
Habari.

Kwa masikitiko makubwa nimepewa taarifa kutoka ndani ya Chadema kwamba ,baada ya msajili wa vyama vya siasa kuiandikia Chadema ijieleze kwa nini hawafanyi uchaguzi wa mwenyekiti wa chama kinyume na katiba ya chama ,sasa Mbowe ameanza kuhaha!!

Kinyume kabisa na katiba ya chama na ni uvunjwaji mkubwa wa katiba ya chama kinachojiita cha kidemocrasia nchini ,sasa Freeman Mbowe amesambaza vijana mitandaoni wanaoendesha kampeni ya ## mbowe 5 tena#, Lengo kubwa la kampeni hii ni kumfanya Mbowe aonekane anakubalika sana ndani ya chama na awe mwenyekiti wa milele !!

Ukweli ni kwamba Mbowe tangu alipokiuza chama kwa Lowasa hakubaliki tena ndani ya chadema kwa sasa ndiyo maana kuna kundi la wabunge wamekataa kuchangia chama kila mwezi.
Vijana mliosambazwa mitandaoni mkae mjiulize je Mbowe ndiyo ana akili pekee ya kuiongoza chadema hamna mwingine? Na kama jibu ni ndiyo basi ili kukamilisha huo udikteta ondoeni neno democrasia kwenye chama chenu.
View attachment 1225084
Umepewa kama nani? Acha unafiki mkuu
 
Taifa mfu haliwezi kuwa na wazalendo
Sijawahi kuona watu wa ajabu Kama vijana wa UVCCM, Kila siku wanaandika mada humu kutaka Mbowe atoke Kwenye uenyekiti kwa kile wanachodai kuwa ni Demokrasia.
La kushangaza na kuchekesha ni kwamba, wana CHADEMA halisi hawana muda na hayo majungu, yaani CCM inataka Demokrasia ifanyike ndani ya CHADEMA.
kama CCM wana uchungu sana na Demokrasia kwanini wanampongeza mwenyekiti wao, John Pombe Magufuli, kwa kutumia nafasi aliyonayo ya Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, amepiga marufuku shughuli za kisiasa kinyume na katiba ya nchi aliyoapa kuilinda inavyoamuru na kutambua shughuli za vyama vya siasa.
Tunajua lengo la CCM ni kuua CHADEMA kwa kupandikiza mamluki Kama walivyofanya NCCR na CUF.
Mbaya zaidi wanatumia raslimali za umma kwa sababu zao za kisiasa, TISS ni raslimali ya umma lakini wameigeuza itumike hadi kisiasa.
Nimeshasema mara nyingi, linapokuja suala la nchi, CCM na CHADEMA zote ni takataka, Tanzania kwanza.
Tuheshimiane Tafadhali, CCM haitatawala hii nchi milele na hata CHADEMA.
Whinpeg ni chama kilichoiletea uhuru Marekani, leo hakipo na hata wamarekani wengi hawakijui, lakini Marekani ipo na itaendelea kuwepo.
Magufuli baki na CCM yako na vijana wako, na wewe Mbowe baki na CHADEMA yako na vijana wako, tuachieni Tanzania yetu, au la mtupishe, tafuteni pa kwenda .
Tumechoka sasa.
 
Habari.

Kwa masikitiko makubwa nimepewa taarifa kutoka ndani ya Chadema kwamba ,baada ya msajili wa vyama vya siasa kuiandikia Chadema ijieleze kwa nini hawafanyi uchaguzi wa mwenyekiti wa chama kinyume na katiba ya chama ,sasa Mbowe ameanza kuhaha!!

Kinyume kabisa na katiba ya chama na ni uvunjwaji mkubwa wa katiba ya chama kinachojiita cha kidemocrasia nchini ,sasa Freeman Mbowe amesambaza vijana mitandaoni wanaoendesha kampeni ya ## mbowe 5 tena#, Lengo kubwa la kampeni hii ni kumfanya Mbowe aonekane anakubalika sana ndani ya chama na awe mwenyekiti wa milele !!

Ukweli ni kwamba Mbowe tangu alipokiuza chama kwa Lowasa hakubaliki tena ndani ya chadema kwa sasa ndiyo maana kuna kundi la wabunge wamekataa kuchangia chama kila mwezi.
Vijana mliosambazwa mitandaoni mkae mjiulize je Mbowe ndiyo ana akili pekee ya kuiongoza chadema hamna mwingine? Na kama jibu ni ndiyo basi ili kukamilisha huo udikteta ondoeni neno democrasia kwenye chama chenu.
View attachment 1225084
(2)...Itikadi ya kisiasa ni upangiliaji unaohusu mawazo ya kimaadili na namna ya ( 640 X 640 ).jpg

Hili hapa jabali la kisiasa
 
My son drink water acha hasira mwisho wa kila baya umekaribia hauhitaji kukasirika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom