Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

Kawadanganye wadanganyika wenzako.
Wewe tunakujua upo ccm unadoea makombo
sio kweli

unathibitisha my hypothesis

pambana njaa mbaya

sina chama tangu nilipoondoka chenu 2006'kwa kumbukumbu hizi hizi
 
Mambo ya Chadema waachie wanachama wenyewe
Haipo hyo
Uhuru wa kutoa maoni mnaouhubir hamuapply kwa chadema kumbe tena kwa yale msiopenda kuyasikia

Tukiwapa nchi si mtakuwa zaid ya hawa mnaowatuhum washamba????

Haipo hyoooooo
 
Mbona usihangaike na mambo ya TLP au UDP?
 
Nafasi ya Mbowe ni sawa na Nafasi ya Mwenyekiti wa CCM.Mbowe si Rais wa nchi hivyo siwezi kulinganisha nafasi yake na ya Urais.Ni vitu viwili tofauti.Ni sawa na mbingu na ardhi
kinachozungumziwa hapa ni ukiukwaji wa katiba.
 
Na tangu ulipoanza kutukana kuchafua na kukashifu CDM tangu 2006 umefanikiwa nini?

Kila uchaguzi wa CDM si umekuwa ukitabiri CDM itakufa ikimchagua Mbowe?

Haya mwenzetu mjuaji na hypothesis zako feki CDM imekufa kwa kumchagua Mbowe tangu 2006?

Usiwe kama Kanga anayeficha kichwa huku mwili wote ukiwa nje

CDM ya mwaka 2019 ni sawa na 2006????

CDM yote ya ss inamtegemea zitto kwa kila kitu
 
JAMBO KUBWA NILILOLIONA KWA SISI WAAFRICA UJINGA BADO UPO KWA KIASI KIKUBWA SANA.MTU ANAMKATAA MAGUFULI ASIONGEZEWE MUDA WA KUKAA MADARAKANI LAKINI ANAUNGA MKONO MBOWE AENDELEE.HALAFU ATALETA UTETEZI KUWA KILE NI CHAMA NA HUKU NI MAMBO YA NCHI ANACHOSAHAU NI KUWA CHAMA NDIO KINACHOOMBA NAFASI YA KUONGOZA NCHI.SASA KAMA CHAMA HAKINA MTU MWINGINE MWENYE PESA,AKILI,UJASIRI KULIKO MBOWE,TUTAKUWA WAJINGA KAMA TAIFA KUKIKABIDHI NCHI CHAMA KISICHOKUWA NA VIONGOZI WAZURI.NI SAWA WALIOPO HATUWATAKI ILA WANAOTAKA TUWAPE NDIO HOVYO KABISA NI HERI CCM MBOVU KULIKO CHADEMA HII ISIYO NA SUB.NISEMEE MATHALANI MUNGU AMEMPENDA ZAIDI MWENYEKITI JE NDIO MWISHO WA CHAMA CHETU.
 
Mbona hatujawahi kuwasikia mnamuuliza Lyatonga kwamba uchaguzi wanafanya lini?
Kumbe Mbowe wapo sawa na Lyatonga,na Chadema ni sawa na TLP,hapa cha msingi ni kuwa demokrasia mnayoidai ni ya nini wakati wenyewe ni madikteta,katiba ya Chaidaima inasemaje kuhusu chaguzi za nafasi mbalimbali za chama,hizo zingine ni porojo za kuhararisha haramu,Mbowe na Chaidama hamna jeuri ya kudai demokrasia wakati wenyewe hamna demokrasia.
 
CDM ya mwaka 2019 ni sawa na 2006????

CDM yote ya ss inamtegemea zitto kwa kila kitu
Kwa ulichoandika umeonekana wazi uwezo wako wa kufikiri ni sawa na mtoto wa chekechea.Kijana wangu wa darasa la tatu ana akili kukushinda.Pole
 
JAMBO KUBWA NILILOLIONA KWA SISI WAAFRICA UJINGA BADO UPO KWA KIASI KIKUBWA SANA.MTU ANAMKATAA MAGUFULI ASIONGEZEWE MUDA WA KUKAA MADARAKANI LAKINI ANAUNGA MKONO MBOWE AENDELEE.HALAFU ATALETA UTETEZI KUWA KILE NI CHAMA NA HUKU NI MAMBO YA NCHI ANACHOSAHAU NI KUWA CHAMA NDIO KINACHOOMBA NAFASI YA KUONGOZA NCHI.SASA KAMA CHAMA HAKINA MTU MWINGINE MWENYE PESA,AKILI,UJASIRI KULIKO MBOWE,TUTAKUWA WAJINGA KAMA TAIFA KUKIKABIDHI NCHI CHAMA KISICHOKUWA NA VIONGOZI WAZURI.NI SAWA WALIOPO HATUWATAKI ILA WANAOTAKA TUWAPE NDIO HOVYO KABISA NI HERI CCM MBOVU KULIKO CHADEMA HII ISIYO NA SUB.NISEMEE MATHALANI MUNGU AMEMPENDA ZAIDI MWENYEKITI JE NDIO MWISHO WA CHAMA CHETU.
Vibaraka wa CCM mnajulikana tu kwa nnachoandika
 
Kumbe Mbowe wapo sawa na Lyatonga,na Chadema ni sawa na TLP,hapa cha msingi ni kuwa demokrasia mnayoidai ni ya nini wakati wenyewe ni madikteta,katiba ya Chaidaima inasemaje kuhusu chaguzi za nafasi mbalimbali za chama,hizo zingine ni porojo za kuhararisha haramu,Mbowe na Chaidama hamna jeuri ya kudai demokrasia wakati wenyewe hamna demokrasia.
Mbowe Tano Tena
 
Kwa ulichoandika umeonekana wazi uwezo wako wa kufikiri ni sawa na mtoto wa chekechea.Kijana wangu wa darasa la tatu ana akili kukushinda.Pole

Molemo umeikuta CDM iko active, very active...kipindi unakaribishwa humu

umejikuta CDM inakufia maana kila kilichosemwa kimetimia

najua unaumia, unaujua ukweli ila njaa sasa!..ID yako lazima ionekane kazini

we said it, CDM imekufa

btw nani anagombea urais mwakani? najua mbowe atajipa!!!!!!!!!!! can he?

mtoto wako wa darasa la tatu anajua CDM ya slaa ilikuwaje?

ona aibu
 
Pumbafu
Kumbe Mbowe wapo sawa na Lyatonga,na Chadema ni sawa na TLP,hapa cha msingi ni kuwa demokrasia mnayoidai ni ya nini wakati wenyewe ni madikteta,katiba ya Chaidaima inasemaje kuhusu chaguzi za nafasi mbalimbali za chama,hizo zingine ni porojo za kuhararisha haramu,Mbowe na Chaidama hamna jeuri ya kudai demokrasia wakati wenyewe hamna demokrasia.
 
Molemo umeikuta CDM iko active, very active...kipindi unakaribishwa humu

umejikuta CDM inakufia maana kila kilichosemwa kimetimia

najua unaumia, unaujua ukweli ila njaa sasa!..ID yako lazima ionekane kazini

we said it, CDM imekufa

btw nani anagombea urais mwakani? najua mbowe atajipa!!!!!!!!!!! can he?

mtoto wako wa darasa la tatu anajua CDM ya slaa ilikuwaje?

ona aibu
Mbowe Tano Tena

Nimemalizana na wewe maana naona IQ yako imeshuka mno
 
lazima uumie sana, ndio mmebakiza hicho kutukana

all these days wabunge wako cdm wanahama, issues za EL ulikuwa kimyaaaaaa

ghafla molemo katokea kipindi cha uchaguzi

mzee una faidi!!!! hauna uzalendo kwa nchi. na cdm hauipendi wewe. Pata hela za Mbowe lipa ada za watoto wako kimya kimya....humu unararuriwa
 
Vibaraka wa CCM hawanitishi ndugu
 
Kazi waliobaki nayo ccm ni kucheza michezo ya kuigiza na kupigiana makofi ndio wanalojua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom