Freeman Mbowe atoa magari ya wagonjwa Hai

Freeman Mbowe atoa magari ya wagonjwa Hai

Tatizo la Hai sio ambulance ni ukosefu wa madatari na madawa hospitalini.Sasa hiyo ambulance itakuwa inawakimbiza watu kuwapeleke mahali kusiko na madawa na madaktari?
Mkuu hivi anayekusanya kodi toka kwa wananchi wa Hai na Tanzania kwa ujumla ni nani?hiyo kodi yao inafanya kazi gani kama hata dawa wanakosa.Huyu anayekusanya kodi hivi hajui kama hawa wananchi wasipokuwa na afya njema hawataweza kufanya kazi na hivyo kushindwa kuendelea kulipa kodi?
 
Kasubiri kapora kaiba kakaba mwaka wa uchaguzi ndiyo watu wanakumbukwa haya mnyika maji ya ubungo vipi.
Mkuu, povu la nini? Wenzio wamepewa Ambulance wewe ile bajaj yako uliyoahidiwa na JK iko matumboni mwa wenye nji hii!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nani kakudanganya kuna shida ya madaktari?? Machame Hospital kuna chuo cha uganga sasa hiyo shida inatokea wapi?? Na hilo suala la dawa ni ujinga unaojaribu kuwadanganya wajinga wenzako. Hakuna hiyo shida kabisa..

Hilo sio gamba tu bali gome la ugambani. Gamba angalau linaweza kutofautisha kazi au wajibu wa m-bunge na wajibu wa serikali. Gome ni kupinga na kutetea chama cha magamba hata bila kutoa hoja. Aliemwambia ni wajibu wa m-bunge kuajiri madaktari na kunulia mahosipitali madawa ni nani?
 
Kasubiri kapora kaiba kakaba mwaka wa uchaguzi ndiyo watu wanakumbukwa haya mnyika maji ya ubungo vipi.

Mbona zaidi ya miaka 50 ccm imewakumbuka kwa lipi? Panua ubongo kabla ujapanua mdomo
 
Hapo Mbowe isiwe invoice kaenda kuidai chadema, millioni 300! Maana Mchagga huyo simuamini hata kiduchu.
Chadema inajali uhai wa Watanzania. Vipi zile Bajaji za JK zenye labor ward ndani kwa ndani, zipo wapi?
 
hehehe! unajitia hauzijuwi eeh!

hapo sijakuuliza kuhusu Kigoma kuwa Dubai.

Nduguyangu Kigoma kuwa Dubai haiwezekani kwa utawara huu wa Viporo.Hivi niko hapa Kigoma kesho nasafiri kwenda Kahama lakini Sina amani nawaza kuzimaliza Km 350 kuiona lami ntafikaje nyakanazi?,achilia ahadi lukuki zikiwemo Meli mbili hakuna dalili
 
Hapo Mbowe isiwe invoice kaenda kuidai chadema, millioni 300! Maana Mchagga huyo simuamini hata kiduchu.

Yaani wewe kwa akiri yako nafikiri unatamani hii nchi ingekuwa ya kabila lako na Dini yako tu!.Sijui ikiwa hivyo unapata faida gani?,Sijawahi kuona sehemu umechangia bila kutaja Ukabila au Udini,Yaani natamani sana nikuone nikufahamu hata kwa Sura kwa sababu nakufananisha na shetani kwa kila kitu!
 
= akili

Sasa Mbowe si Mchagga? Unanchekesha!
 
Back
Top Bottom