Freeman Mbowe atoa magari ya wagonjwa Hai

Uliona matokeo ya serikali za mtaa wilaya ya HAI?

Mkuu nimeyaona ndio!

Unaweza kunisaidia kueleza kidogo kabla ya matokeo hayo CHADEMA ilikuwa na viti vingapi vya vijiji/vitongoji na mitaa na baada ya uchaguzi matokeo yamekuwaje? Utajitendea haki kama utachora na graph aidha bar graphs au line graphs.

Karibu
 
Mkuu hizi ndio porojo zenu za "chenga twawala" lakini haina haja ya kuandikia mate na wino upo.
Tusubiri uchaguzi mkuu. Mwezi wa kumi Inshaallah! Naamini sio mbali na wote tutafika kwa majaaliwa ya mwenyezi Mungu. Ila Mtoi wewe ni muislam wa ajabu sana. Maana unasapoti ujinga wa Chadema.
 
Freeman Mbowe amefanya jambo zuri sana na la kupigiwa mfano. Ila mimi kama shabiki wa cdm sifurahishwi sana na hali hii ya kutoa mambo ya maendeleo haswa mwaka wa uchaguzi. Kwa kiasi kikubwa hali hii tunaipigia kelele huko ccm kwani ikifika wakati wa uchaguzi ndio unawaona viongozi wao wakianza kurekebisha miundo mbinu kama ya maji, barabara, umeme nk. Lakini wakishapata kura huwaoni tena jimboni. Kama amewahi kutoa misaada mingine yenye tija katika jimbo lake kabla ya mwaka huu ni sawa lakini kama ni sasa naona tunaanza kutumia mbinu zilezile za kiccm.

Kwa mtu anayeangalia ukweli hapa anaweza kupata shida na dhamira ya mtoaji. Ni kweli kwamba ni muwajibikaji ama ndi walewale wanaotumia uelewa finyu wa wananchi kuwapiga bao? Nasema hivo huku nikizingatia wajibu mkubwa sana wa mbunge ni kuisimamia na kuiwajibisha serekali na wala sio mfadhili, lakini hazuiwi kutoa msaada kutoka kwenye mfuko wake au kuhamisisha watu waliokaribu naye kusaidia kutatua kero zilizo jimboni mwake na taifa kwa ujumla. Ila hali hii isisubiri tu mwaka wa kampeni maana kuna uwezekano wa kuwa ni walewale. Watanzania tuwe makini ili tusirudie kosa.

Mbowe alitoa caterpillar kwa halmashauri ya Hai , uliza kwanza ili uelimishwe
 
Mkuu hizi ndio porojo zenu za "chenga twawala" lakini haina haja ya kuandikia mate na wino upo.
Tusubiri uchaguzi mkuu. Mwezi wa kumi Inshaallah! Naamini sio mbali na wote tutafika kwa majaaliwa ya mwenyezi Mungu. Ila Mtoi wewe ni muislam wa ajabu sana. Maana unasapoti ujinga wa Chadema.

Wenye udini hapa ni Chadema au ccm tafakari alafu jichukulie hatua
 
Freeman Mbowe amefanya jambo zuri sana na la kupigiwa mfano. Ila mimi kama shabiki wa cdm sifurahishwi sana na hali hii ya kutoa mambo ya maendeleo haswa mwaka wa uchaguzi. Kwa kiasi kikubwa hali hii tunaipigia kelele huko ccm kwani ikifika wakati wa uchaguzi ndio unawaona viongozi wao wakianza kurekebisha miundo mbinu kama ya maji, barabara, umeme nk. Lakini wakishapata kura huwaoni tena jimboni. Kama amewahi kutoa misaada mingine yenye tija katika jimbo lake kabla ya mwaka huu ni sawa lakini kama ni sasa naona tunaanza kutumia mbinu zilezile za kiccm.

Kwa mtu anayeangalia ukweli hapa anaweza kupata shida na dhamira ya mtoaji. Ni kweli kwamba ni muwajibikaji ama ndi walewale wanaotumia uelewa finyu wa wananchi kuwapiga bao? Nasema hivo huku nikizingatia wajibu mkubwa sana wa mbunge ni kuisimamia na kuiwajibisha serekali na wala sio mfadhili, lakini hazuiwi kutoa msaada kutoka kwenye mfuko wake au kuhamisisha watu waliokaribu naye kusaidia kutatua kero zilizo jimboni mwake na taifa kwa ujumla. Ila hali hii isisubiri tu mwaka wa kampeni maana kuna uwezekano wa kuwa ni walewale. Watanzania tuwe makini ili tusirudie kosa.

Hata kama ni mwaka wa uchaguzi ni bora hii kuliko kanga na t shirt ambazo hazisaidii kitu chochote
 
Back
Top Bottom