Freeman Mbowe atoa magari ya wagonjwa Hai

Freeman Mbowe atoa magari ya wagonjwa Hai

Nyerere aliiuwa nchi kabisa katika utawala wake wa miaka 24, Mwinyi akaja kuwapa watu ahueni "ruksa", Mkapa akaanza vizuri halafu akawa kubwa la kujilimbikizia mali.

Kikwete kaja kubomoa misingi yote mibovu aliyotuwekea Nyerere. Kaanza Alif kwa kijiti, mimi nnahesabu miaka 9 ya Kikwete ndiyo iliyoleta mabadiliko na maendeleo ya ukweli, hao wengi sijaona cha maendeleo walichokifanyia Tanzania.


Kumbuka kuwa Mwinyi na Mkapa walikuwa remote na vikaragosi vya yule yule aliyeiuwa Tanganyika.

Si bure weye mwanamke wanasemaga kuwa weye ni Salma. Naanza kuwaamini hao. Kama umeona maendeleo kwenye hii miaka 9 basi sina ubishi. Maendeleo ya EPA au Escrow?? Maendeleo ya kuwashitaki madagaa ukayaacha makambale, kweli wanasema kipenda roho hula nyama mbichi. Leo sijaambiwa, nimeona na kusikia. Ptuuuu
 
Katoe lako,serikali chakavu imeshindwa

Lakini mkuu wao walikuja na kusema hizi ndio Ambulance bora kabisa na wakazitangaza kwa mbwembwe sana.
ImageUploadedByJamiiForums1421998912.330337.jpg
 
Back
Top Bottom