kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
Sijapenda hili gari lilivyondikwa na jina la Mbowe pia pale kwa juu.
Hili ndio umependa kwa kuwa tu huyu aliyetoa ni miongoni mwa maCCM?
Sijapenda hili gari lilivyondikwa na jina la Mbowe pia pale kwa juu.
Kwa hiyo
1. Barabara ya Dar to Mwanza Kajenga Kikwete?
2. Uwanja wa Ndege wa JK Nyerere kajenga Kikwete?
3. Uwanja wa kisasa wa Taifa kajenga Kikwete?
4. Ukumbi wa Kisasa wa Bunge kajenga Kikwete?
** Naomba unitajie kitu kimoja tu kinacho onekana kwa macho alichokijenga Mwinyi ambacho kipo hadi sasa lakini usinitajie misikiti kwani wakati wa utawala wake ndio ilijengwa kwa wingi.
Ndugu jitahidi kuwa na fikra zenye ukweli kuliko kuwa na fikra za kutumika kwa kuegemea misingi ya kidini, Kikwete ndugu ndio aliyeibomoa hii nchi hadi kufanya CCM kupoteza mvuto na imani kutoka kwa wananchi kama Kikwete angekuwa kafanya vizuri inakuwaje CCM inazidi kupoteza mvuto kwa Watanzania.
Tatizo la Hai sio ambulance ni ukosefu wa madatari na madawa hospitalini.Sasa hiyo ambulance itakuwa inawakimbiza watu kuwapeleke mahali kusiko na madawa na madaktari?
Tatizo la Hai sio ambulance ni ukosefu wa madatari na madawa hospitalini.Sasa hiyo ambulance itakuwa inawakimbiza watu kuwapeleke mahali kusiko na madawa na madaktari?
Mwaka wa uchaguzi, tutayaona mengi sana.
Halikua wap?
Sijapenda hili gari lilivyondikwa na jina la Mbowe pia pale kwa juu.
Wewe umetoa nini?Ametoa magari au gari?
Bora huyu amejitahidi, mwenzake Godbless J Lema yeye alipewa msaada na bado akayauza.
Kub ka= kumbuka!Nyerere aliiuwa nchi kabisa katika utawala wake wa miaka 24, Mwinyi akaja kuwapa watu ahueni "ruksa", Mkapa akaanza vizuri halafu akawa kubwa la kujilimbikizia mali.
Kikwete kaja kubomoa misingi yote mibovu aliyotuwekea Nyerere. Kaanza Alif kwa kijiti, mimi nnahesabu miaka 9 ya Kikwete ndiyo iliyoleta mabadiliko na maendeleo ya ukweli, hao wengi sijaona cha maendeleo walichokifanyia Tanzania.
Kub ka kuwa Mwinyi na Mkapa walikuwa remote na vikaragosi vya yule yule aliyeiuwa Tanganyika.
Teh Teh wana hai kuweni makini yasije kuwa chakavu mkaingizwa mjini kama chadema walivyo pewa Fuso chakavu.
Nyerere aliiuwa nchi kabisa katika utawala wake wa miaka 24, Mwinyi akaja kuwapa watu ahueni "ruksa", Mkapa akaanza vizuri halafu akawa kubwa la kujilimbikizia mali.
Kikwete kaja kubomoa misingi yote mibovu aliyotuwekea Nyerere. Kaanza Alif kwa kijiti, mimi nnahesabu miaka 9 ya Kikwete ndiyo iliyoleta mabadiliko na maendeleo ya ukweli, hao wengi sijaona cha maendeleo walichokifanyia Tanzania.
Kumbuka kuwa Mwinyi na Mkapa walikuwa remote na vikaragosi vya yule yule aliyeiuwa Tanganyika.
Hivyo ndivyo unavyoamini. Ila sio reality.Nyerere aliiuwa nchi kabisa katika utawala wake wa miaka 24, Mwinyi akaja kuwapa watu ahueni "ruksa", Mkapa akaanza vizuri halafu akawa kubwa la kujilimbikizia mali.
Kikwete kaja kubomoa misingi yote mibovu aliyotuwekea Nyerere. Kaanza Alif kwa kijiti, mimi nnahesabu miaka 9 ya Kikwete ndiyo iliyoleta mabadiliko na maendeleo ya ukweli, hao wengi sijaona cha maendeleo walichokifanyia Tanzania.
Kumbuka kuwa Mwinyi na Mkapa walikuwa remote na vikaragosi vya yule yule aliyeiuwa Tanganyika.
Ametoa magari au gari?
Bora huyu amejitahidi, mwenzake Godbless J Lema yeye alipewa msaada na bado akayauza.
John Komba, Samwel Sita na wengineo wengi wa huko CCM wameishatoa msaada kama huu kwa wananchi? niliyemshuhudia akijinadi katoa Amburance ni RIZIONE lakini nina uhakika 150% amburance aliyotoa RIZIONE imenunuliwa na fedha za serikali kupitia IKULU. tofauti na hii ya Mh. Mbowe.