Freeman Mbowe atoa magari ya wagonjwa Hai

Freeman Mbowe atoa magari ya wagonjwa Hai

Ni hatua nzuri lakini wenye hela za ufisadi watakuwa wamepata sababu ya kutumia vibaya hela zao na CHADEMA tutashindwa kuhoji lolote.
 
Mwaka wa uchaguzi, tutayaona mengi sana.

FaizaFoxy;
Aheri huyo aliyetoa gari, wale wa kwako wanaotoa flana na khanga tena nyepesiii zenye sanamu za wagombea, tena kipindi hiki hiki cha uchaguzi pamoja na pilao la nyama ya tembo mliochukua zile tusker zake, wamwona ni yupi bora?? Angeuza hiyo gari, hiyo pesa ingeweza gawa khanga ngapi na vest na chepeo ngapi??
Jamani, msiangalie kipindi cha zawadi kutolewa; angalieni thamani ya zawadi na watakao ifaidi hiyo zawadi. Hakuna mgonjwa anayeulizwa itikadi
 
Jana nilimuona mbunge wa morogoro abdulaziz abood kakaa chini na wananchi nikachoka. Siasa hizi basi tu.hongera mh.mbowe.
 
FaizaFoxy;
Aheri huyo aliyetoa gari, wale wa kwako wanaotoa flana na khanga tena nyepesiii zenye sanamu za wagombea, tena kipindi hiki hiki cha uchaguzi pamoja na pilao la nyama ya tembo mliochukua zile tusker zake, wamwona ni yupi bora?? Angeuza hiyo gari, hiyo pesa ingeweza gawa khanga ngapi na vest na chepeo ngapi??
Jamani, msiangalie kipindi cha zawadi kutolewa; angalieni thamani ya zawadi na watakao ifaidi hiyo zawadi. Hakuna mgonjwa anayeulizwa itikadi

Watu walitoa wakati hakuna uchaguzi:

Tena mpaka ma Land Cruiser, wacha vipanya:

Tena brand new siyo mtumba:

Kijana usicheze na chama dume.
 
ametoa pia na katapila yake halmashauri inajaza mafuta tuu kurekebisha barabra za mitaa na tayari barabara ya st dorcas imekwishakusawazishwa na kuwekwa vifusi na kushindiliwa, viva mbowe viva chadema
 
Kwani Mbowe ndiye Mbunge wa kwanza kutoa Ambulance?
Acheni ulimbukeni.Kwanza alikuwa wapi siku zote?

John Komba, Samwel Sita na wengineo wengi wa huko CCM wameishatoa msaada kama huu kwa wananchi? niliyemshuhudia akijinadi katoa Amburance ni RIZIONE lakini nina uhakika 150% amburance aliyotoa RIZIONE imenunuliwa na fedha za serikali kupitia IKULU. tofauti na hii ya Mh. Mbowe.
 
Watu walitoa wakati hakuna uchaguzi:

Tena mpaka ma Land Cruiser, wacha vipanya:

Tena brand new siyo mtumba:

Kijana usicheze na chama dume.

Unasifia hizo zinazotolewa na Serikali hao wabunge wanachofanya ni kukabidhi ili kujipa ujiko na CCM kutaka kuonyesha kuwa Wabunge wao wanawajibika kitu ambacho hakipo.
 
Unasifia hizo zinazotolewa na Serikali hao wabunge wanachofanya ni kukabidhi ili kujipa ujiko na CCM kutaka kuonyesha kuwa Wabunge wao wanawajibika kitu ambacho hakipo.
Kwakifupi wambie hizo nikodi za wananchi kama si ufisadi isingetakiwa wakabizi gari tena ingetakiwa ndege
 
Watu walitoa wakati hakuna uchaguzi:

Tena mpaka ma Land Cruiser, wacha vipanya:

Tena brand new siyo mtumba:

Kijana usicheze na chama dume.

Faizafoxy;
Kweli usichezee chama dume. Lakini, ukiangalia miaka ulioitawala Tz na kipimo hicho luwa mpaka leo bado tunatembeza bakuli. It is a shame. Sisi si waku tembeza bakuli tena. Kumbuka vita yetu kuu tangu uhuru, Ujinga, Maradhi na Umasikini. Leo, vyote vimetushinda.
Hakuna madawa Hospitali, Hakuna vitanda kwa ajili ya hao wagonjwa, madaktari migomo kila uchwao, hatuna access bank hata kukopa na elimu yetu haina sylabus mpaka leo 53 yrs old Taifa.
Na zaidi ya yote Faizafoxy anasema tumepiga maendeleo. Moyo unauma sana kwani najua weye ni miongoni mwa waliofaidi Escrow. Msifia mvua imemnyea
 
Unasifia hizo zinazotolewa na Serikali hao wabunge wanachofanya ni kukabidhi ili kujipa ujiko na CCM kutaka kuonyesha kuwa Wabunge wao wanawajibika kitu ambacho hakipo.

Serikali inaongozwa na nani?
 
Mkuu, povu la nini? Wenzio wamepewa Ambulance wewe ile bajaj yako uliyoahidiwa na JK iko matumboni mwa wenye nji hii!
Kamanda zaidi ya miaka 50 ccm wameshindwa kuwapa wananchi hata gari la wagonjwa kamanda kaingia juzi katimiza ingekua ni sisi wenye dollar tungewapa ndege wananchi
 
Faizafoxy;
Kweli usichezee chama dume. Lakini, ukiangalia miaka ulioitawala Tz na kipimo hicho luwa mpaka leo bado tunatembeza bakuli. It is a shame. Sisi si waku tembeza bakuli tena. Kumbuka vita yetu kuu tangu uhuru, Ujinga, Maradhi na Umasikini. Leo, vyote vimetushinda.
Hakuna madawa Hospitali, Hakuna vitanda kwa ajili ya hao wagonjwa, madaktari migomo kila uchwao, hatuna access bank hata kukopa na elimu yetu haina sylabus mpaka leo 53 yrs old Taifa.
Na zaidi ya yote Faizafoxy anasema tumepiga maendeleo. Moyo unauma sana kwani najua weye ni miongoni mwa waliofaidi Escrow. Msifia mvua imemnyea

Nyerere aliiuwa nchi kabisa katika utawala wake wa miaka 24, Mwinyi akaja kuwapa watu ahueni "ruksa", Mkapa akaanza vizuri halafu akawa kubwa la kujilimbikizia mali.

Kikwete kaja kubomoa misingi yote mibovu aliyotuwekea Nyerere. Kaanza Alif kwa kijiti, mimi nnahesabu miaka 9 ya Kikwete ndiyo iliyoleta mabadiliko na maendeleo ya ukweli, hao wengi sijaona cha maendeleo walichokifanyia Tanzania.

Kumbuka kuwa Mwinyi na Mkapa walikuwa remote na vikaragosi vya yule yule aliyeiuwa Tanganyika.
 
Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA, Mbunge wa Jimbo la HAI,,na Kiongozi wa kambi RAsmi bungeni MH FREEMAN MBOWE ameendeleza juhudi zake katika kuokoa maisha wa watu wa jimbo lake ambapo wiki hii ametoa ambulances kwa ajili ya watu wa jimbo lake....

Kutolewa kwa ambulance hiyo itakuwa ni ukombozi mkubwa kwa wakazi wa HAI jimbo ambalo limetawaliwa na mito na mabonde mbalimbali ambapo litatumika kuwawaisha wagonjwa hospitali za teule ya Machame na ile ya Wilaya.

Kufuatia kutolewa kwa ambulance hiyo mkazi mmoja wa kata ya Machame Mashariki(LYAMUNGO KATI) amesema itakuwa ni msaada mkubwa sana kwao maana itarahisisha kupeleka wagonjwa kutoka Kituo cha afya Lyamungo Hadi hospitali teule ya Machame.

Baadhi ya wakazi wa Masama(Masama Bweera) wameonekana kufurahia na wengine kudiriki kusema kama FREEMAN MBOWE atagombea tena watampa ushiindi wa kishindo kutokana na mheshimiwa Mbowe kutoa Ahadi zake bila kupendelea upande wowote.

10933724_345578208967134_2984157386036978574_n.jpg
Ametoa magari mangapi ya wangojwa? Miaka tisa yote alikuwa wapi mpaka atoe mwaka wa uchaguzi.
 
Nyerere aliiuwa nchi kabisa katika utawala wake wa miaka 24, Mwinyi akaja kuwapa watu ahueni "ruksa", Mkapa akaanza vizuri halafu akawa kubwa la kujilimbikizia mali.

Kikwete kaja kubomoa misingi yote mibovu aliyotuwekea Nyerere. Kaanza Alif kwa kijiti, mimi nnahesabu miaka 9 ya Kikwete ndiyo iliyoleta mabadiliko na maendeleo ya ukweli, hao wengi sijaona cha maendeleo walichokifanyia Tanzania.

Kub ka kuwa Mwinyi na Mkapa walikuwa remote na vikaragosi vya yule yule aliyeiuwa Tanganyika.

Kwa hiyo
1. Barabara ya Dar to Mwanza Kajenga Kikwete?
2. Uwanja wa Ndege wa JK Nyerere kajenga Kikwete?
3. Uwanja wa kisasa wa Taifa kajenga Kikwete?
4. Ukumbi wa Kisasa wa Bunge kajenga Kikwete?

** Naomba unitajie kitu kimoja tu kinacho onekana kwa macho alichokijenga Mwinyi ambacho kipo hadi sasa lakini usinitajie misikiti kwani wakati wa utawala wake ndio ilijengwa kwa wingi.

Ndugu jitahidi kuwa na fikra zenye ukweli kuliko kuwa na fikra za kutumika kwa kuegemea misingi ya kidini, Kikwete ndugu ndio aliyeibomoa hii nchi hadi kufanya CCM kupoteza mvuto na imani kutoka kwa wananchi kama Kikwete angekuwa kafanya vizuri inakuwaje CCM inazidi kupoteza mvuto kwa Watanzania.
 
Ametoa magari mangapi ya wangojwa? Miaka tisa yote alikuwa wapi mpaka atoe mwaka wa uchaguzi.

Wakazi wa CHALINZE wameongozwa na Kikwete akiwa Mbunge baadae akawa Waziri wa Wizara mbalimbali na sasa Rais kwa miaka 9 na baadae yule Marehemu Bwana Mdogo lakini juzi ndio tumeshuhudia Rizione akitoa Amburance ambayo imenunuliwa na fedha za Umma je kati ya Mbowe na Kikwete aliyeongoza Chalinze zaidi ya miaka 15 bila kutoa Amburance ni nani unayepaswa kumtolea maneno ya hovyo kama hayo uliyoyaandika?
 
Back
Top Bottom