Freeman Mbowe atoa magari ya wagonjwa Hai

Tatizo la Hai sio ambulance ni ukosefu wa madatari na madawa hospitalini.Sasa hiyo ambulance itakuwa inawakimbiza watu kuwapeleke mahali kusiko na madawa na madaktari?

Sio kazi ya Mbunge kufanya kazi ya utabibu! Yeye kama mbunge ametoa Ambulance kusaidia watu wake ambayo itawafikisha mahala husika kupata tiba yaani Hospitalini ambako mgonjwa akifika huko ataonana na tabibu/daktari ambaye atamuandikia dawa stahili! Dawa zinapatikana chini ya usimamizi wa Serikali((MSD), yeye Mbowe kama mbunge wa jimbo hana bohari ya madawa nyumbani kwake na wala siyo kazi yake kujua matatizo ya mgonjwa isipokuwa daktari tu! Kama dawa hospitalini hakuna ataipigia kelele Serikali ili watu wake wapate dawa! Kama dawa hakuna lawama zinapaswa ziende kwa CCM kupitia Serikali yake kwakuwa CCM ndiyo wasimamizi wa Serikali na ndiyo wanaounda Serikali na ndiyo wanapanga utaratibu wote kuhusu usambazaji wa dawa kwenye Zahanati/Mahospitalini na kwenye vituo vya afya! Usitupotoshe hapa! Ova
 
Huu ndio uzalendo wa hali ya juu viva Chadema

CCM ikitoa magari kwa wapiga kura mnaita rushwa kwa wapiga kura.CHADEMA mkitoa mnaita mfano wa kuigwa.

Subirini CCM ijibu na yenyewe ianze kuwapa wapiga kura vitu kuanzia kanga,vitenge n.k Msipige yowe kuwa CCM inatoa Rushwa CCM itakuwa inatatua matatizo ya wananchi ya kanga,vitenge,n.k kama mlivyofanya kutatua tatizo la ambulance mwaka huu wa uchaguzi.

CCM ikitoa kitu kwa wapiga kura msipige yowe mnyamaze kimya.MuMEONYESHA NJIA YA KUIGWA na CCM NINA UHAKIKA WATAIGA HUU MFANO WA MBOWE.
 
Tatizo la Hai sio ambulance ni ukosefu wa madatari na madawa hospitalini.Sasa hiyo ambulance itakuwa inawakimbiza watu kuwapeleke mahali kusiko na madawa na madaktari?
mkuu ni hai ipi ambayo ina uhaba waadakta coz wizar inasema hai kuna zaid ya idadi husika wakat hospital ni changa haina facolity za kuwafanya wawe weng hivyo. Kuna Medical dr zaid ya saba pale hai sasa cjui ni hai ipi unazungumzia
 
Bajeti ya kuyahudumia hayo magari itapatikana? Other Charges (OC) ni issue yenye utata serikalini
 
CCM ikitoa magari kwa wapiga kura mnaita rushwa kwa wapiga kura.CHADEMA mkitoa mnaita mfano wa kuigwa.

Subirini CCM ijibu na yenyewe ianze kuwapa wapiga kura vitu kuanzia kanga,vitenge n.k Msipige yowe kuwa CCM inatoa Rushwa CCM itakuwa inatatua matatizo ya wananchi ya kanga,vitenge,n.k kama mlivyofanya kutatua tatizo la ambulance mwaka huu wa uchaguzi.

CCM ikitoa kitu kwa wapiga kura msipige yowe mnyamaze kimya.MuMEONYESHA NJIA YA KUIGWA na CCM NINA UHAKIKA WATAIGA HUU MFANO WA MBOWE.

Umeona hilo gari limeandikwa Chadema? Zile kanga kofia zinaandikwa nini?
 
CCM ikitoa magari kwa wapiga kura mnaita rushwa kwa wapiga kura.CHADEMA mkitoa mnaita mfano wa kuigwa.

Subirini CCM ijibu na yenyewe ianze kuwapa wapiga kura vitu kuanzia kanga,vitenge n.k Msipige yowe kuwa CCM inatoa Rushwa CCM itakuwa inatatua matatizo ya wananchi ya kanga,vitenge,n.k kama mlivyofanya kutatua tatizo la ambulance mwaka huu wa uchaguzi.

CCM ikitoa kitu kwa wapiga kura msipige yowe mnyamaze kimya.MuMEONYESHA NJIA YA KUIGWA na CCM NINA UHAKIKA WATAIGA HUU MFANO WA MBOWE.

Sio vibaya hao CCM wakitoa sasa hivi, napo itategemea uelewa wa Wananchi wenyewe je, mbunge wao huwa anakawaida ya kutoa misaada kwa Wananchi wake au ameona uchaguzi upo kwenye kona ndiyo anaamua kutoa ili akumbukwe! Hivyo binafsi sioni tatizo kama watatoa sasa ila wakisubiri August/September/October hiyo moja kwa moja itakuwa ni rushwa na si vinginevyo!!!
 
Sio kazi ya Mbunge kufanya kazi ya utabibu! Yeye kama mbunge ametoa Ambulance kusaidia watu wake ambayo itawafikisha mahala husika kupata tiba yaani Hospitalini ambako mgonjwa akifika huko ataonana na tabibu/daktari ambaye atamuandikia dawa stahili! Dawa zinapatikana chini ya usimamizi wa Serikali((MSD), yeye Mbowe kama mbunge wa jimbo hana bohari ya madawa nyumbani kwake na wala siyo kazi yake kujua matatizo ya mgonjwa isipokuwa daktari tu! Kama dawa hospitalini hakuna ataipigia kelele Serikali ili watu wake wapate dawa! Kama dawa hakuna lawama zinapaswa ziende kwa CCM kupitia Serikali yake kwakuwa CCM ndiyo wasimamizi wa Serikali na ndiyo wanaounda Serikali na ndiyo wanapanga utaratibu wote kuhusu usambazaji wa dawa kwenye Zahanati/Mahospitalini na kwenye vituo vya afya! Usitupotoshe hapa! Ova
Nampongeza sana !
Pamoja na hayo kwanza ametoa kibaguzi na kwa upendeleo bora asingetoa hiyo ambulance MOJA kwanza sehemu alipozaliwa yeye maana inaongeza chuki kwa wapiga kura wake wa maeneo mengine ikizingatia jimbo letu la HAI ni kubwa mno
Hata NA hivo hatuna shida nae tena
Naye analifaham hilo
Kwa mda wote huo akiwa mbuge wetu amelitelekaza jimbo la hai kana KWAMBA hatukuwa na mbuge kabisa
Siku akija anaishia huko huko BOMANGOMBE kwa mtoto wa ndesamburo au huko huko macheme aliko toa hiyo ambulance moja.
Halafu nadhan amekuja kupima upepo maana tunaelrkea KWENYE uchaguzi mkuu ili apime ni kwa kiasi gan anakubalika na wanahai
 
Ulitaka akija hawe anashukia kwako?
 
Pole sana ndugu hayo matatizo ya viashiria vya ubaguzi na upendeleo wa baadhi ya maeneo kwa Wawakilishi wetu sio huko tu, ni sehemu nyingi inafanyika hivyo! Hata mimi binafsi nakeleka na hili kama mwananchi(mwanakijiji) Matatizo hayo pia yapo Mpwapwa, Kongwa na hata Gairo, cha ajabu baadhi ya Wananchi ni kama wamelishwa limbwata na CCM!
 
Tatizo la Hai sio ambulance ni ukosefu wa madatari na madawa hospitalini.Sasa hiyo ambulance itakuwa inawakimbiza watu kuwapeleke mahali kusiko na madawa na madaktari?

Swali zuri sana hili. Mhusika mkuu pale Magogoni anayechezea kodi zetu atakuwa amekusikia.
 
Jakaya Kikwete alitoa Ambulance ya Bajaji! Sijui zinawasaidia vipi wananchi ... Kudos Kamanda ... Magamba yanaweweseka! Lyamungo inabidi wajitafakari sana na siasa zao za kuifagilia CCM yenye kuwananga WAchaga kila kukicha ...

Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA, Mbunge wa Jimbo la HAI,,na Kiongozi wa kambi RAsmi bungeni MH FREEMAN MBOWE ameendeleza juhudi zake katika kuokoa maisha wa watu wa jimbo lake ambapo wiki hii ametoa ambulances kwa ajili ya watu wa jimbo lake....

Kutolewa kwa ambulance hiyo itakuwa ni ukombozi mkubwa kwa wakazi wa HAI jimbo ambalo limetawaliwa na mito na mabonde mbalimbali ambapo litatumika kuwawaisha wagonjwa hospitali za teule ya Machame na ile ya Wilaya.

Kufuatia kutolewa kwa ambulance hiyo mkazi mmoja wa kata ya Machame Mashariki(LYAMUNGO KATI) amesema itakuwa ni msaada mkubwa sana kwao maana itarahisisha kupeleka wagonjwa kutoka Kituo cha afya Lyamungo Hadi hospitali teule ya Machame.

Baadhi ya wakazi wa Masama(Masama Bweera) wameonekana kufurahia na wengine kudiriki kusema kama FREEMAN MBOWE atagombea tena watampa ushiindi wa kishindo kutokana na mheshimiwa Mbowe kutoa Ahadi zake bila kupendelea upande wowote.

10933724_345578208967134_2984157386036978574_n.jpg
 
Wewe Msalani ndio uache ulimbukeni. Hakuna ubaya wowote wa Watanzania kumpongeza Mtanzania mwenzao aliyetoa msaada muhimu hata kama yeye si wa kwanza kufanya hivyo. Fisadi Chenge kakwapua mabilioni ya Rada na Escrow mbona hatumsikii kusaidia Watanzania? Acha ujinga wewe!!

Kwani Mbowe ndiye Mbunge wa kwanza kutoa Ambulance?
Acheni ulimbukeni.Kwanza alikuwa wapi siku zote?
 
Back
Top Bottom